SOMO;MAOMBI YA KAMBI YA MATESO KUJIONDOA HUKO UNAPOTESEKEA
Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro
WhatsApp+255710889892
Kambi ya Mateso ni Nini?
Kambi ya mateso kiroho ni hali ya "kufungwa" (spiritual captivity). Ni mahali ambapo adui anashikilia hatima ya mtu, uchumi wake, afya yake, au ndoa yake ili asione nuru ya mafanikio.
MAMBO YA KUZINGATIA HAYA MAOMBI
. A) Usiombe Ukiwa Hujui Eneo Ulipowekwa mateka au unachoteswa nacho Muda mrefu
. B) Usiombe Ukiwa Umecho hii ni Vita ya Kiroho.
C) Utaanza na Toba na Utafata hatua nilizoelekeza BILA Kukosea utasimama na MISTARI niliyokuwekea
D) Utaomba Siku 5 Na Utayatolea Sadaka Yako Nzuri Unajua Sadaka Ndio inaenda kuleta Nguvu ya Kuvunja mamlaka Ya Kafara zao na miungu yao inayokutesa.
.
E) Utayawekea Muda Uliotulia Utaomba BILA Kupishanisha Muda.
2. Mistari ya Kusimamia (Silaha za Vita)
Isaya 49:24-25 (Uhakika wa Ukombozi):
"Je! Aliyepata mateka aweza kunyang’anywa mateka yake? Au yeye aliyetekwa na mwenye nguvu aweza kuponyoka? Lakini Bwana asema hivi, Hata mateka yake aliye na nguvu atanyang’anywa, na mateka yake aliye dhalimu ataponyoka..."
Zaburi 107:14-16 (Kuvunja Milango yao):
"Aliwatoa katika giza na kivuli cha mauti, akavunja vifungo vyao... Maana amevunja milango ya shaba, amekata mapigo ya chuma."
Obadia 1:17 (Kumiliki Milki Yako):
"Lakini katika mlima Sayuni watakuwako wale...
NAMNA YA KUOMBA MAOMBI HAYA FATA MTIRIRIKO NA MAELEKEZO HAYA
ππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏ
1. Kuharibu Ngome na Kambi za Adui
Hii ni hatua ya Kwanza Tutaomba hivi Kuagusha Ngome Zinazokutesa.
Mfano;Madeni Hii ni Ngome Mfano huolewi hii ni Ngome mfano hupati Kazi magonjwa Nk
Utatamka Maneno "Naagusha Ngome Naagusha Ngome ya madeni Ngome ya Kutokuolewa utatulia kwenye Kuagusha Ngome inayokutesa
. Utaomba huku unatembea Utafanya ishara ya Kuagusha Unakaza Maneno.
MWANANGU Simama hii misitari rudia Rudia kuisoma
2 Wakorintho 10:4 – "Maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome."
Zaburi 68:1-2 – "Mungu na ainuke, adui zake wapanyanyike, nao wamchukiao wakimbie mbele zake. Kama moshi upeperushwavyo, ndivyo uwapeperushe..."
Yeremia 51:20 – "Wewe u rungu langu na silaha zangu za vita; kwa wewe nitawavunja-vunja mataifa; na kwa wewe nitaharibu falme."
2. Kukombolewa Kutoka Utumwani (Kambi ya Mateso)
Hapa Utaomba hivi Ninatoka utumwani Mimi Richard utajitaja Jina Halafu unatamka Utumwa unaokutesa kama unamuombea Mtu naye utaelekeza kwa kumtaja Jina unasema hivi mfano: Mchumba wangu Richard namtoa kwenye Utumwa Wa Uchumi akapate mahari akanitolee Katika Jina la Yesu. Unatulia Kwenye Kuwa unamtoa Utumwani tu.
MWANANGU HAPA SOMA MISTARI RUDIA RUDIA
Isaya 49:24-25 –
24 "Je! aliyepata mateka aweza kunyang'anywa mateka yake? Au yeye aliyetekwa na mwenye nguvu aweza kuponyoka?
25;Lakini Bwana asema hivi, Hata mateka yake aliye na nguvu atanyang'anywa, na mateka yake aliye dhalimu ataponyoka; kwa maana nitateta na yeye atetaye nawe..."
Zaburi 107:10, -14 "Wale walioketi katika giza na kivuli cha mauti, waliofungwa katika mateso na vyuma... Aliwatoa katika giza na kivuli cha mauti, akavunja vifungo vyao."
Kutoka 3:7 – "Bwana akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao."
3. Kuzuia Mateso Yasirudie Tena
Baada ya kambi kuvunjwa, ni muhimu kusimama na Mungu Kuwa Muombaji Hapa Utaomba hivi ili Adui Asirudi Tena.
Ninakataa Kurudia PITO nililopitia Mwaka Jana Nakataa Kurudia PITO Nililopitia Mwezi uliopita Omba kukukataa Hali Kuwa Inajirudia Omba Na Usimame Upone Kinywa chako Kisiwe Kinarudisha Matatizo.
SOMA MISTARI HII RUDIA MARA 5
Nahumu 1:9 – "Mnawaza nini juu ya Bwana? Yeye atakomesha kabisa; mateso hayatainuka mara ya pili."
Yohana 8:36 – "Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli."
4. Kambi ya Mungu Dhidi ya Kambi ya Adui
Mungu pia ana kambi yake (Majeshi ya mbinguni) inayowalinda walio wake dhidi ya kambi za mateso:
Kwa hiyo Hapa Omba Uwe na Ulizi Wa Kiroho Uwe Kwenye Kambi Ya Mungu TOKA Kuwa Kwenye Kambi Ya Adui Tumia KINYWA CHAKO Kujiondoa Huko.
Vitabu Soma RUDIA ×4
Zaburi 34:7 – "Malaika wa Bwana hufanya kituo (hupiga kambi) akiwazunguka wamchao, na kuwaokoa."
Zekaria 9:8 – "Nami nitapiga kambi karibu na nyumba yangu kwa ajili ya jeshi hilo, ili mtu asipite wala asirudi; wala mtesi hatapita kati yao tena..."
KAMBI KATIKA MAENEO HUSIKA YA KUDHIBITI AU KUSHUGHULIKA
1:Kambi ya Kiuchumi ;(Umasikini na madeni).
Hapa Adui humuendesha Mtu katika Utumwa Wa Uchumi.
2:Kambi ya Kifikra: (Hofu na kukata tamaa).
Hapa Fikira hukamatwa Kufikiri Kushindwa Shindwa tu.
3:Kambi ya Miili :(Magonjwa sugu).
Hapa Adui huweka magonjwa matatizo mwilini.
4:Kambi ya Kiroho (Vifungo vya kishirikina au vya ukoo).
Hapa Wachawi Humtesa Mtu na Mateso Mtu Yasiyoisha
5;Kambi Ya Mawazo(nikuwa na msongo Wa mawazo
Hapa Huwa Wanakutumikisha Kupitia Kuwaza kufakufa au Mungu Amekuacha Kukata Tamaa
SADAKA YAKO Iombee Hivi
Baba Hii Sadaka Yangu Yakunitoa Kwenye Umateka na Kambi Zao Walipokuwa Wameniweka Katika Jina la Yesu. Amen
Kisha unatoa Kwa;
M-PESA 0759861768
Mix by Yas 0710889892.
Airtel Money 0780508066
Halo Pesa 0628355985
Jina :Richard Julius Kushoka.
Ukituma Tu Muda huo huo nipigie Simu niombe nawewe utaniambia ulikuwa Maombi Haya.
HITIMISHO
Maombi Haya Ni Vita Utagusa Vitu Vingi Unatakiwa Uwe tayari kutoka Kwenye Kambi Zao Jijenge Kwenye Ulimwengu Wa Roho Uwe Na Kambi Ya Mungu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni