Jumamosi, 21 Februari 2026

MASWALI NA MAJIBU YA BIBLIA 2026

MASWALI NA MAJIBU YA BIBLIA

Naitwa Pastor Richard 

Karibu kipindi cha maswali na majibu


1:SWALI LA KWANZA. Baada ya Yesu kufufuka alikaa na wanafunzi wake siku ngapi kabla ya kupaa kwenda mbinguni?. N.b weka andiko ku sapoti jibu lako

JIBU:   Alikaa na wanafunzi wake muda wa siku Arobaini(40). Matendo ya Mitume 1:3  wale aliowadhihirishia nafsi yake, kwa dalili nyingi, baada ya kuteswa kwake, ya kwamba yu hai, *akiwatokea muda wa siku arobaini*, na kuyanena mambo yaliyouhusu ufalme wa Mungu.


2:SWALI LA PILI. Tukio la Yesu kupaa kwenda mbinguni lilitukia eneo gani?. N.b weka andiko ku sapoti jibu lako

JIBU:    Mlima wa mzeituni. Matendo ya Mitume 1:12 [12]Kisha wakarudi kwenda Yerusalemu kutoka mlima ulioitwa wa Mizeituni, ulio karibu na Yerusalemu, wapata mwendo wa sabato.


3:SWALI LA TATU. Ni wanafunzi wangapi waliopokea Roho Mtakatifu ile siku ya pentekoste? N.b weka andiko ku sapoti jibu lako

JIBU: Wanafunzi miq na ishirini (120). Matendo ya Mitume 1:15 [15]Siku zile akasimama Petro kati ya hao ndugu ( *jumla ya majina ilipata mia na ishirini*), akasema,



4:SWALI LA NNE. Je! Malaika wote wana mabawa?

A) ndio

B) hapana✅

N.b weka andiko ku sapoti jibu lako

JIBU: Hapana Waebrania 1:13-14 [13]Je! Yuko malaika aliyemwambia wakati wo wote, Uketi mkono wangu wa kuume. Hata nitakapoweka adui zako chini ya nyayo zako? [14]Je! Hao wote *si roho watumikao*, wakitumwa kuwahudumu wale watakaourithi wokovu? Malaika ni roho (A spirit being does not need wings in order to fly)


5;SWALI LA TANO. Taja majina ya wanafunzi wawili wa Yesu waliopigiwa kura kuchukua nafasi ya utume ya Yuda Iskarioti aliyemsaliti Yesu N.b weka na andiko kusapoti jibu lako

JIBU:   Yusufu na Mathiya

Matendo ya Mitume 1:23 [23]Wakaweka wawili, *Yusufu*, aitwaye Barsaba, aliyekuwa na jina la pili Yusto, na *Mathiya*.


6;SWALI LA SITA. Mwandishi wa sura ya kwanza ya kitabu cha Matendo ya mitume ni;

A) Petro

B) Luka 

C) Theofilo

D) Mariamu mama yake Yesu

N.b weka na andiko ku sapoti jibu lako


JIBU:   Luka. Kwa sababu ya utangulizi wake alio uweka ambao unaendana na mwanzo wa injili ya Luka

Matendo ya Mitume 1:1 [1]Kitabu kile cha kwanza nalikiandika, *Theofilo*, katika habari ya mambo yote aliyoanza Yesu kufanya na kufundisha

Luka 1:3 [3]nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, *kukuandikia kwa taratibu, Theofilo* mtukufu,


7;SWALI LA SABA Je! Ni kweli kwamba siku ya pentekoste ni siku ya kujazwa Roho Mtakatifu? N.b weka na andiko ku sapoti jibu lako

JIBU:  Hapana,ni siku ya kukumbuka ujio wa Roho Mtaktifu ndani ya watu. Tuanzie hapa

Matendo ya Mitume 2:1,4 [1]Hata *ilipotimia siku ya Pentekoste* walikuwako wote mahali pamoja. [4] *Wote wakajazwa Roho Mtakatifu*, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.

 Asili ya pentekoste ni kutokana na sikuku kuu zilizokuwa zikifanywa huko nyuma na zilikuwa zikiendelea. Sikukuu za mavuno baada ya mavuno walikuwa wakikusanyika pamoja kusherekea mavuno yao

Matendo ya Mitume 2:5 [5]Na walikuwako Yerusalemu Wayahudi wakikaa, watu watauwa, watu wa kila taifa chini ya mbingu.

Hawa walikusanyika yerusalemu kusherekea mavuno/malimbuko  yao na kuleta malimbuko  siku ya hamsini. Sikukuu ya malimbuko  tunalinganisha na UFUFUKO wa Yesu

1 Wakorintho 15:23 [23]Lakini *kila mmoja mahali pake; limbuko ni Kristo*; baadaye walio wake Kristo, atakapokuja. Kwa Hiyo siku ya Pentekoste tuadhimisha kumbukumbu ya ujio wa Roho Mtakatifu na sio kwamba ndiyo siku mtu anatakiwa kujazwa Roho Mtakatifu




Alhamisi, 19 Februari 2026

SILAHA ZA MAOMBI YA USIKU WA MANANE

SOMO:SILAHA ZA MAOMBI LEO USIKU WA MANANE 


Jifunze Kutumia Silaha Za Bwana unapopambana katika Maombi yako ya Vita shambulia Adui Zako kwa Silaha.
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa 


1) KUTAWANYWA USEMI: 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Andiko la kusimamia (Mwanzo 11:7-9)
. Kama alivyouvuruga usemi wa wajenzi wa wasielewane, vivyo hivyo akavuruge hila za ibilisi na mapepo yake zisipatane juu yangu Vikao vyote na mipango inayopangwa kwenye maisha yangu Vurunga vurunga Bwana Kwa Jina la Yesu.Amen 

RUDIA×5


2) MOTO WA BWANA: 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Andiko la kusimamia (2Wafalme 1:10). 
"Moto ukaunguze mapando yote, ya ibilisi, aliyoyapanda moyoni mwangu kila roho na nguvu zozote ndani yangu zinazonifatilia au kutilia mkazo naziunguza Moto wako Bwana Katika Jina la Yesu.Amen 

RUDIA ×5


3) NZIGE, PARARE, MADUMADU, TUNUTU:
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 Andiko la kusimamia (Yoeli 2:25).

 Bwana akatumie jeshi lake la Nzige, Parare,Tunutu,wakatafune kazi zote za mwovu, wakalete hasara, warudishe nyuma, na kudhoofisha ufalme wote wa giza Katika Jina la Yesu.Amen 

RUDIA ×7

4) MAJIPU YA BWANA: 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Andiko la kusimamia (Kutoka 9:9). 

Bwana alete hali mbaya ya mateso, kwa wakuu wote wa giza wafanyao vita juu yangu wanaopanga ubaya juu yangu katika Jina la Yesu.Amen 

RUDIA ×4

    (5) TETEMEKO:
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 Andiko la kusimamia (1Samweli 14:15) . 
"Bwana alete utisho na mashaka, na tetemeko kwa wakuu wa giza na mapepo yasimamopo kinyume cha kazi ya Mungu Ndani yangu au kwenye Maisha Yangu Katika Jina la Yesu.Amen 

RUDIA ×9



  (6) UKAME (KIU na NJAA): 

Andiko la kusimamia (Amosi 8:11).

 Bwana alete ukame wa kiroho, kwa majoka yote yanayosimama kutaka kumeza uchumi wangu au kazi yangu Katika Jina la Yesu.Amen 

RUDIA×5

  (7) RUNGU LA BWANA: 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Andiko la kusimamia (Yeremia 51:20).  

RUGU LA BWANA Lipige na kuleta majeraha katika ufalme wa giza, liziraishe na kupoozesha mapepo yote na vikaragosi vyake vyote vifanyavyo vita na wewe 
Zipo na silaha nyingine nyingi katika maandiko Hatuwezi kuziorodhesha zote, Hivyo kwa jinsi Neno la Mungu linavyokaa ndani yako, ndivyo utakavyoweza kuzivumbua na kuzitumia. Na zote hizo ni sharti tuziombe katika jina la Yesu na uweza wa damu yake.Maombi ya namna hii yana nguvu sana, na yatakufanya udumu kwa muda mrefu katika kuomba. Na kufungua vifungo vingi sana katika ulimwengu wa Roho.
Kumbuka pia, vita hivi hatuvielekezi kwa wanadamu, bali kwa Shetani na majeshi yake ya mapepo na kazi zake zote. Kwasababu maandiko yanasema vita vyetu sio juu ya damu na nyama, maana yake ni kwamba sio juu ya wanadamu wenzetu. Bali ni juu ya falme za giza, zikawaachilie mateka, waje kwa Bwana, na sio tuwaue wao pamoja na mateka wao.

Waefeso 6:12  “Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. 6.13  Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama”

Nasimama Kuwapinga majeshi na wakuu wa ngiza hili wanaofatilia hatua za maisha yangu Katika Jina la Yesu.Amen 


Share kwenye Group Zako mbalimbali 

WhatsApp Group +255710889892

Endelea Kuwaunga Watu Kwa Group

UTARATIBU WA IJUMAA KUFUNGA

✍🏾✍🏾✔️UTARATIBU WA MAOMBI YA MFUNGO WA IJUMAA KANISA LA HOLY SPIRIT CHURCH MOTO WA YESU. ✍🏾✍🏾✔️

    ✍🏾MAOMBI HAYA
YATAABATANA NA SADAKA Soma mpaka mwisho uelewe kama ndiyo mara yako ya kwanza

πŸ‘ˆπŸ‘‰KAMA HUTAKUWA NA SADAKA USIACHE KUFUNGA  NA KUNITUMIA MAJINA

πŸ‘ˆπŸ‘‰KILA IJUMAA GROUP  LA MAOMBI LOTE TUNAFUNGA  MASAA 12


   UTARATIBU WA KUOMBA

TUTAOMBA  KWA MTIRIRIKO HUU.

✍🏾ASUBUHI  saa 12;00 Alfajir mpaka Saa 4:45 Asubuhi 

✍🏾Mchana utaomba Saa.6:00 mchana mpaka Saa.8:45 Mchana

 ✍🏾Jion Saa.10;00 mpaka Saa.12:45 

Omba hapa kabla hujafungulia  kisha utume Sadaka yako na mahitaji yako inbox WhatsApp. Ni vizuri Mahitaji Yako Uyatume Asubuhi ili nisafiri Nayo Katika Madhabahu ya Moto Wa Yesu. 


 MAOMBI  YA KUFUNGA YANAMANISHA

Nikuutisha mwili wako ukae bila kula au kunywa siku Zima ukae miguuni mwa Bwana.



■□□□□■Mistari Ya Biblia■ □□□□■


Mathayo 4:2 


Baada ya kufunga siku arobaini usiku na mchana, hatimaye akaona njaa.



Zab 119:105 Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.



FAIDA ZA KUFUNGA NA KUOMBA 



1:Maombi ya Kufunga Yana nguvu Sana Yakukuvusha Pale umekuwa ukishindwa kuvuka miaka na miaka.


Mstari huu Soma;


Mt 17:21 


[Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.



••••°°°°°OMBA HIVI••••°°°°°


●Kupitia kitabu cha Mathayo 17:21 Mungu Umesema Kuna Mambo hayawezi Kufunguka Kwangu mpaka nifunge Leo hii ninaamuru roho ya usingo roho ya utasa roho ya malipizi katika ulimwengu wa roho ninaupiga katika Jina la Yesu kila kilichoshindikana kwangu kupitia maombi haya yatafunguka pokea na Sadaka yangu nakutolea katika madhabahu hii ya moto wa Yesu: Amen


Rudia×8 



2;Maombi Ya Kufunga Yatakupa Kibali Kwa Watu na Kwa Mungu Yaani mpaka utashagaa


Utakavyokubarika 


Soma huu mstari;


1 SAMWELI 2:26 ”Na Yule mtoto, Samweli, akazidi kukua akapata kibali kwa BWANA, na kwa watu pia.”



••••°°°°°OMBA HIVI••••°°°°


●Bwana Naomba Unipe Kibali na Unitambulishe ofisini Kwangu na Kwa Bosi wangu kwa wateja wangu kwa watu wangu nataka wakiniona tu wakuone wewe ndani Yangu Unipe utambulisho Ambao mwanadamu hatauzima au Adui Yoyote Yule katika ulimwengu wa Roho sawasawa na kitabu cha 1samweli 2:26 Naabatanisha na Sadaka Yangu Ya Maombi Katika Jina la Yesu.Amen 


Rudia ×4



3:Maombi Ya Kufunga Yatakufumbua Macho yako Ya Rohoni uone uliyokuwa huyaoni uyaone na hata adui zako utawajua mengi utajua vyema.



Soma huu mstari:


Zaburi 119:18 Unifumbue macho yangu niyatazame Maajabu yatokayo katika sheria yako.



••••••°°°°°°OMBA HIVI ••••°°°°°°°


●Bwana Yesu Fumbua macho yangu niweze Kuwa naona katika roho nipe macho ya rohoni kama Zaburi 119:18 Umesema nitakapokuja mbele zako kwa kuomba na kufunga Utanifumbua macho yangu nifumbue sasa katika Jina La Yesu.Amen 


Rudia ×4



4:Maombi Ya Kufunga huwa yakuongeza kiwango cha imani na mpaka kupelekea ufanye miujiza mikubwa ya kuponya watu nakufungua watu.



Warumi:10;17


▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎


Soma mistari hii


Yohana 20:30 


Yesu alifanya miujiza mingine mingi mbele za wanafunzi wake, ambayo haikuandikwa katika kitabu hiki.


▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎


Matendo Ya Mitume 19:11


Wana Wa Skeva Wajaribu Kutoa PepoNa Mungu alifanya miujiza mingi ya ajabu kwa mkono wa Paulo



°°°°•••OMBA HIVI•••°°°



●Baba Yangu Naja mbele zako mimi mwanao Richard Ninaomba Ukanitumie kutenda miujiza mikubwa mikubwa unitendee miujiza Bwana Uniponye magonjwa Yangu Unitengeneze  Sawaswa na miujiza uliyotenda zamani naabatanisha na sadaka yangu hii ya Maombi Katika Jina la Yesu.Amen 


Rudia ×7



5:Maombi Ya Kufunga Utafungulia malango ya Baraka na Milango itafunguka kwa kasi ya Juu Sana.


▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎


Soma mstari huu


Kumb.Torati 28:3 


Utabarikiwa mjini, utabarikiwa na mashambani



••••°°°OMBA HIVI°°°••


●.Baba Nashukuru Maana umenibariki Sasa kila kazi nayoifanya na kila Biashara ninayoifanya iwe mjini au iwe huko kijijini kwetu nilikotoka umeibariki na hayupo atakayezuia Baraka hizi Naabatanisha maombi Yangu Na Sadaka hii ya maombi ipokee katika madhabahu yako naomba nikiamini katika jina la Yesu.Amen 


Rudia ×5



6.Maombi Ya Kufunga yatakufanya uwe na ujazo wa Roho Mtakatifu uliofurumia masaa yote.



Mstari huu Soma


Matendo 11:24 


Maana alikuwa mtu mwema amejaa Roho Mtakatifu na imani; watu wengi wakaongezeka upande wa Bwana.



••••°°°OMBA HIVI °°°•••••


●Bwana Yesu Ansate Yesu Ansate Yesu Nashukuru kwa ajili ya kunijaza nguvu zako za Roho Mtakatifu ninaomba Bwana Uogeze kila siku ufurike kabisa niwe wa ujazo wa Roho Mtakatifu Naabatanisha na Sadaka yangu Bwana nakutolea wewe Katika Jina la Yesu.Amen


Rudia ×10



7:Maombi Ya Kufunga Huachilia Toba Ya Kweli  Yenye nguvu mbele za Bwana.


°°°°•••••~~~~


Mstari huu soma;



2 Nyakati 7:14 


ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.



°°°°••OMBA TOBA YA KUMANISHA°°°°°•••••



●Eeeh Bwana Yesu Naomba unisamehe mimi mwenye dhambi nimekukosea Sana Katika mawazo yangu fikira zangu nature nakuziugama dhambi zangu nifutie kila hatia unifute kwenye kitabu cha hukumu na mateso ukaniandike kwenye kitabu cha Uzima Katika Jina la Yesu.Amen 


Rudia ×3



8:Maombi Ya Kufunga Yakupa mume/mke sahihi na utafurahia ndoa yako.


-----=====


Soma hii mistari 


Mithali. 31:10-11


10. Mke mwema, ni nani awezaye kumwona?Maana kima chake chapita kima cha marijani.



11. Moyo wa mumewe humwamini,Wala hatakosa kupata mapato.




••••°°°OMBA HIVI •••°°°°


●Bwana wewe ndiye unayemjua mume wangu/Mke wangu Katika akili zangu na mawazo yangu nimeshindwa kumjua naomba unikutanishe naye mwaka huu kabla kuisha niwe nimeolewa katika Jina la Yesu.Amen 


Rudia×3



9;Maombi Ya Kufunga hufanya kila kitu na kukupa matokeo ya haraka Sana.


=========~~~~~~~


Mstari huu Soma.


Marko 9:23 


Yesu akamwambia, “Kama ukiweza kuamini, yote yawezekana kwake yeye aaminiye



°°°°°••••OMBA HIVI °°°°••••


●Baba ninaamini hata hili nalopitia wewe Bwana Unaenda Kutenda na Kunijibu Katika Jina la Yesu.Amen 


Rudia ×4



10:OMBI LA KUMI ENDELEA KUOMBA SASA MAHITAJI MBALIMBALI NENDA HATA NUSU SAA.



Ni muda wowote Mwisho jioni Saa 12:00 Jioni unapofungulia



KISHA SADAKA YAKO UTAITUMA KABLA YA SAA MBILI USIKU SIJAPANDA MADHABAHUNI



M-PESA +255759861768

Airtel Money +255780508066

Tigo Pesa+255710889892

Halo Pesa +255628355985

CRDB BANK 🏦 0152361572400


KAMA UPO NJE YA NCHI TUMIA NJIA HIZI KUTUMA SADAKA 

Worldremit/Moneygram/Narra/west union 



Jina ;πŸ‘‰πŸ‘ˆRICHARD JULIUS KUSHOKA  Litatokea



    FRIDAY OF PRAYER AND FASTING

             Welcome







FRIDAY FASTING AND PRAYER PROCEDURES: HOLY SPIRIT CHURCH – MOTO WA YESU ✍🏾✍🏾✔️


​✍🏾 THESE PRAYERS SHALL BE ACCOMPANIED BY AN OFFERING.

Read until the end to understand, especially if it is your first time.



​πŸ‘ˆπŸ‘‰ IF YOU DO NOT HAVE AN OFFERING, DO NOT SKIP THE FAST; SEND ME YOUR NAMES REGARDLESS.



​πŸ‘ˆπŸ‘‰ EVERY FRIDAY, THE ENTIRE PRAYER GROUP FASTS FOR 12 HOURS.



​PRAYER SCHEDULE

​We shall pray in the following sequence:



  • ​✍🏾 Morning: 6:00 AM to 10:45 AM

  • ​✍🏾 Afternoon: 12:00 PM to 2:45 PM

  • ​✍🏾 Evening: 4:00 PM to 6:45 PM

​Pray here before you break your fast, then send your offering and prayer requests to my WhatsApp inbox. It is best to send your requests in the morning so I can carry them to the Moto Wa Yesu Altar.



WHAT FASTING PRAYER MEANS:

It is humbling your body by refraining from eating or drinking the entire day to stay at the feet of the Lord.

​           ■ Bible Verses ■


  • Matthew 4:2: After fasting forty days and forty nights, he was hungry.

  • Psalm 119:105: Your word is a lamp for my feet, a light on my path.

​BENEFITS OF FASTING AND PRAYER



1. Power to Breakthrough:

Fasting prayers have great power to help you cross over where you have been stuck for years.



  • Read: Matthew 17:21 – "However, this kind does not go out except by prayer and fasting."

  • PRAY LIKE THIS: "Lord, through Matthew 17:21, You said some things won't open until I fast. Today, I command the spirit of heaviness, barrenness, and retribution in the spiritual realm to be struck down in Jesus' name. Everything that was impossible shall open. Receive my offering at this Moto wa Yesu altar. Amen." (Repeat 8x)


2. Favor with God and Man:

You will be amazed at how you are accepted.

  • Read: 1 Samuel 2:26 – "And the boy Samuel continued to grow in stature and in favor with the Lord and with people."

  • PRAY LIKE THIS: "Lord, give me favor and identify me in my office, to my boss, my customers, and my people. Let them see You in me. Give me an identity that no man or enemy can extinguish, according to 1 Samuel 2:26. I attach this to my prayer offering in Jesus' name. Amen." (Repeat 4x)

3. Spiritual Vision:

Fasting opens your spiritual eyes to see things you couldn't see before, including the plans of your enemies.


  • Read: Psalm 119:18 – "Open my eyes that I may see wonderful things in your law."

  • PRAY LIKE THIS: "Lord Jesus, open my eyes to see in the spirit. Give me spiritual eyes as in Psalm 119:18. You said when I come before You in fasting, You will open my eyes. Open them now in Jesus' name. Amen." (Repeat 4x)

4. Increased Faith and Miracles:

Fasting increases your level of faith to perform miracles and healing.



  • Read: John 20:30 & Acts 19:11.

  • PRAY LIKE THIS: "Father, I come before You, Your son Richard (replace with your name if applicable). Use me to perform great miracles. Heal my diseases and restore me according to the miracles of old. I attach this to my prayer offering in Jesus' name. Amen." (Repeat 7x)


5. Opening Doors of Blessing:

Gates of blessing will open at high speed.



  • Read: Deuteronomy 28:3 – "You will be blessed in the city and blessed in the country."

  • PRAY LIKE THIS: "Father, I thank You for blessing me. Every work and business I do in the city or my home village is blessed. No one shall block these blessings. Receive my offering at Your altar. Amen." (Repeat 5x)

6. Fullness of the Holy Spirit:


  • Read: Acts 11:24.

  • PRAY LIKE THIS: "Thank You, Jesus, for filling me with the power of the Holy Spirit. Lord, increase it daily until I overflow. I attach this to my offering in Jesus' name. Amen." (Repeat 10x)

7. Powerful Repentance:

  • Read: 2 Chronicles 7:14.

  • PRAY LIKE THIS: "Lord Jesus, forgive me, a sinner. I have sinned in my thoughts and nature. I confess my sins; erase my guilt from the book of judgment and write my name in the Book of Life. Amen." (Repeat 3x)


8. Right Spouse and Marriage:

  • Read: Proverbs 31:10-11.

  • PRAY LIKE THIS: "Lord, You know my husband/wife. I have failed to identify them on my own; let us meet this year before it ends, so I may be married in Jesus' name. Amen." (Repeat 3x)

9. Fast Results:

  • Read: Mark 9:23 – "Everything is possible for one who believes."

  • PRAY LIKE THIS: "Father, I believe that even in what I am going through, You are going to act and answer me in Jesus' name. Amen." (Repeat 4x)

10. PERSONAL REQUESTS:


Continue praying for various needs for at least 30 minutes.


OFFERING SUBMISSION:


Send your offering before 8:00 PM in the evening, before I ascend to the Altar.

  • M-PESA: +255759861768

  • Airtel Money: +255780508066

  • Tigo Pesa: +255710889892
  • Halo Pesa: +255628355985

  • CRDB BANK: 0152361572400

  • International (Worldremit/Moneygram/Western Union):.


    • Name: RICHARD JULIUS KUSHOKA






Jumapili, 1 Februari 2026

RATIBA YA CHUONI NA SHERIA

RATIBA YA VIPINDI  CHUONI  NA SHERIA ZA CHUONI 2026

  Holy Spirit Bible CollegeπŸŽ“
Tunaripot Chuo Tunatakiwa Wanafunzi Tufike chuoni Tar.2/2/2026

Tupo Morogoro Veta Dakawa

Natunaanza Kupokea na Kusajili Wanafunzi Wanna 2/2/2026 Mpaka 3/3/2026

Ikumbukwe Chuo ni Bure Hosteli Zipo Umeme upo maji yapo vyote buree MASOMO buree cheti buree Isipokuwa Kula unajigharamia. 

VITU VYA KUJA NAVYO.. 
1;Rimu 1
2;Counter 4
3:Pen
4:Biblia

VIPINDI DARASANI. 

1:Saa 11:40 Alfajiri Mpaka Saa:12:00 Asubuhi Maombi Wanafunzi Wote Tu naingia Kanisani Naongoza Mwenyewe Maombi haya. 

2:Saa 12;00 Alfajiri Mpaka 7;00 Asubuhi  Ni Usafi Wa Mazingira Ya Chuo Ambao napo Kuna Max Kwenye Mtihani wako utapata Wanafunzi wataajibika Kuligana Na Walivyopagiwa. 

3:Saa:2:00 Asubuhi Mpaka Saa:6;00 mchana  DARASA KIPINDI CHA KWANZA. 


4;Saa:10:00 Jioni Mpaka 12:00 Jioni 
DARASA KIPINDI CHA PILI

5:Tutakuwa na MASOMO ya DARASANI NA VITENDO HAPA HAPA CHUONI. 

6:Kila Somo Tutalifanyia Mtihani na Alama Zitajazwa kwenye Cheti chako ukihitimu. 



SHERIA ZA CHUONI

1:Hurusiwi Kutoka nje ya chuo bila ruhusa Wa Viongozi Wa Chuo. 

2:Hurusiwi Kuchat au Kuongea Na Simu Ukiwa Darasani.

3:Hurusiwi Uchelewe Ibada Yoyote Uwe umepangwa kuhudumu au hujapangwa. 

4;Hurusiwi Uchelewe Darasani Mwalimu umkute Darasani

5:Hurusiwi Kutoleana Lugha chafu au Kugombana na Mwanafunzi mwezako ukipatikana na Kosa Hili Tunakufuta uanachuo unarudi nyumbani Mara moja wote wawili Hatutasikiliza Kesi Ya Kugombana CHUONI. 

6;Tutaishi Kama ndugu na Tutapendana. 

7;Kula Utajigharamia Mwenyewe chuo hakihusiki kukulisha. 

8;Kama Unaenda Kutumika nje ya Kanisa letu la Holy Spirit Church Tanzania Cheti Utachangia 50000 Tu. 

9;Tutaitaji Kuwajua Wazazi wako au walezi wako Wa Kiroho na Tutaongea nao kabla hatujakusajili 

10:Ukisajiliwa ndio unatambulika kuwa  Mwanafunzi Wa Chuo cha Holy Spirit Bible College

11;Utafata miongozo yote ya kichuo utakayokuwa unapewa na Viongozi wako. 


     FAIDA TUTAKAZO PATA

1:Kukuza Huduma Zetu 

2;Kuheshimika na Kupata Mialiko ya kuhudumu Sehemu mbalimbali

3;Kwenda Kuidhinishwa Na Kuwekewa Nikon kuwa Wachungaji Tunaotambulika.

4;Ajira ya Kudumu na Tutafanya kazi Tunayoijua Vizuri

5;Kubadili Hali za Maisha Yetu Kiroho na Kimwili. 

6;Kuwa Daraja la Kuwavusha Wengine Na Kuwa Faida Katika Taifa letu. 

7;Kuishi na Kutumikia Kusundi la Mungu. 

8;Tutakupagia Kituo na Kukuwezesha Kuanza Kazi Ya Mungu uliyoitiwa. 

9;Tutailea Na Kuitambulisha Kwa Watu Huduma uliyopewa Na Mungu.

10;Tutakuwa Wazazi Wako Wa Kiroho na Tutakusimamia Kujua uliyofundishwa Darasani ndio unayaishi


WASILIANA NA SISI CHUO UONGOZI. 

MKURUNGEZI WA CHUO;0759861768
                                   
KATIBU WA CHUO:0785450965


WhatsApp Ya Mkurungezi Wa Chuo:
0710889892


SOMO: MAOMBI YA KUFUNGUA MALAGO

SOMO: MAOMBI YA KUFUNGUA MALANGO YA MJI/KATA/KIJIJI/MTAA UNAPOISHI. 

Tambua Hili Popote Unapoishi Kama Eneo Hilo hujalishika na kulifungua litakutesa Sana Kiuchumi Kimaisha Kibali na Kutambulika huwa lazima Tuombe Kweli Kweli Wapo WATU hawaolewi kutokana Manner wanayoishi yamewakataa Wapo Ambao Wanaharibu mimba number ni mahali ulipo tu Hebu Tukaingie Pamoja HAYA Maombi unielewe ninavyokuelekeza mimi namna ya kuomba. 
MISTARI WA KUSIMAMIA
πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

Ezekieli 48:31
Na malango ya mji yatatajwa kwa majina ya kabila za Israeli, malango matatu upande wa kaskazini; lango la Reubeni, moja; lango la Yuda, moja; na lango la Lawi, moja.

MUNGU HUWA ANAKUSUNDI KUBWA MTU WA MUNGU KUKUPELEKA UKAISHI SEHEMU AU MJI WA UGENINI. 
πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
Ezekieli 26:3 
 Basi Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, Ee Tiro, nami nitaleta mataifa mengi kupigana nawe, kama bahari iinuavyo mawimbi yake.

TUTASHUGHULIKIA MAMBO MATATU. 

1;MALANGO YA WENYEJI ULIOWAKUTA  ENEO HILO.. 

Utabomoa vitu hivi 
a) Tabia za Wenyeji  

             OMBA HIVI;
Bwana Yesu nakushukuru kunipa KIJIJI hiki cha mateteni Nimekuta Wenyeji wa KIJIJI hiki wana tabia na Desturi Zao Mimi Mtumishi wako na simama Kubadilisha Tabia Zao Wakakujue wewe waache ushirikina Waache Dhambi Waache Ubishi wa Kiroho Waokoke na kujue wewe kuwa ndiye Bwana Wangu nayadhibitisha haya Maombi Yangu Kupitia Madhabahu Ya Holy Spirit Church Madhabahu Ya Moto Wa Yesu Katika Jina la  Yesu. 
Ameen

RUDIA ×7

b) Imani Zao Zisizompendeza Mungu. 

Popote Unapoishi Wenyeji huwa wana Imani Zao ambazo zinnaweza kuwa nzuri au mbaya. Unaweza kwenda kuishi Wanaamini kulogana au kigodoro nk. 

OMBA HIVI
Kila Malango Ya Imani za Wenyeji Wa Mateteni (Hapa naweka kijiji nilipo Mimi nawewe utaweka chako) niliowakuta kile wanachokiamini Kinyume nawewe Mungu Wangu ninayekutumikia Mimi mjumbe wako katika kijiji hiki nabomoa nabomoa Bomoa Bomoa Kuta Zao Tabia Zao Imani Zao Najenga Imani Ya Holy Spirit Church Ndani Ya Mioyo Yao Ndani Ya Akili Zao Nadhibitisha Haya Katika Jina la Yesu. πŸ™Amen

RUDIA×5


Baada ya hapa Endelea Kuomba Sasa Tamka maneno Sawasawa na  Wenyeji Tabia Zao Shughulikia Kweli Kweli. 



2;MALANGO YA BARABARA ZOTE ZA MJI UNAPOISHI. 

Watoto Wa Mungu Wengi Barabara Zao Za Kuwaletea Watu Sahihi au Kuwaowa au Kuwainua Kimaisha Zimefungwa Unajikuta MTU anaotaga anaokota Peas nyingi lakini Anaishi maisha magumu Sababu unaishi Eneo malango yako ya Baraka Yamefungwa. 

HAPA SHUGHULIKIA HIVI:

a) Barabara Zinazoingiza Wageni. 
Namanisha Barabara Kubwa za Eneo hilo itapendeza ukitaja Kwa Majina kulingana na Majina take. 

OMBA HIVI:
Kila Barabara Zakuingilia mateteni Zinazopitisha magari Zinazopitisha watu wakubwa wakubwa Zinazopitisha Mawaziri Marais Wabunge Watu Wenye Pesa Nazifungua Nazifungua Watakuja Kunitafuta Mimi nawaleta Watu Nawavuta Watu walioandaliwa Nakupitishwa Na Mungu kuwa waje walete Baraka Zangu Ninaamuru Malango Yawe Wazi Wakaingie Mji huu wa Mateteni Wakanitafute Mimi Pastor Richard Katika Jina la Yesu. Ameen

RUDIA×4


b) Barabara Za Kutoka nje ya MJi. 
Hapa utaombea Barabara Za Kutoka nje ya MJi. 

OMBA HIVI;-

Nafungua Barabara Zote za Kutoka Katika Kijiji hiki cha Mateteni Kila Ambacho Hakitakiwi nakiamru Kitoke na Kisirundi ninamiliki hiki Kijiji Kuingia Kwenye na Kutoka Barabara Zote haijalishi vizuizi na Walizi wa MJi huu Wapingwe Wapingwe Wapingwe Wapingwe Katika Jina la Yesu. Ameen

Rudia×6


3:SHUGHULIKIA   KABILA  LA WENYEJI
 MOYO WAO NYAYO ZAO. Nk


Hapa Utaombea HIVI:


Nafungua MOYO wa Wenyeji Kila Kifungo cha Wenyeji Ambao Kimeumiza Mioyo Yao fugua Mioyo Yao Katika Jina la Yesu. Amen
Rudia×4

Nafugua nyayo za Wenyeji hatua ZAO Kila walipofungwa wafunguliwe watoke Kwenye umateka wa hatua ZAO Katika Jina la Yesu. Ameen. 
Rudia×3


Endelea Kuomba Sawasawa na Roho Mtakatifu Tamka Maneno. 



MAOMBI HAYA OMBA SIKU 3  MFULULIZO. 

Siku Ya Kumaliza Ombea Sadaka Yako kuabatanisha MAOMBI Yako. 

UTATUMA KWA.. 

M-PESA 0759861768

Mix by Yas 0710889892

HALO PESA 0628355985

Airtel Money 0780508066

JINA: RICHARD JULiUS KUSHOKA. 


HAYA MAOMBI Yabebe Kwa Uzito OMBA huku unatembea tembea

Unaweza hata kuendelea Kama Roho Mtakatifu atakushuhudia uendelee nayo.. 

KAMA UNASWALI NIULIZE INBOX WHATSAP


Group namba 3 Link yake

JIUNGE.GROUP LA MAOMBI NA MAFUNDISHO

KARIBU GROUP NAMBA3️⃣
Kinachopostiwa huku nikimoja na NAMBA 1️⃣Na2️⃣
Soma utaratibu ukiwa tayari joini kama haupo tayari puuza usijoin

UTARATIBU WA GROUP LETU 2026
MWAKA WA MAMLAKA. Luka;9:1

KANISA LA HOLY SPIRIT CHURCH TANZANIA
TUPO Morogoro ✍🏾Veta Dakawa Tunawakaribisha

#UTANG:
Tafadhali Soma Utaratibu na Uwe Tayari Kufata ili Ufunguliwe kupitia Masomo tu ukiwa msomaji mzuri na msikilizaji Wa audio kwanza lazima Ufunguliwe na lazima Imani Yako ikue na kuongezeka. Hatuamini maji chumvi sukari vitambaa Imani yetu nikukufundisha mwenyewe ukajisimamia mwenyewe. Sisi Ni Holy Spirit Church Tanzania Makao Makuu Tupo Morogoro VETA DAKAWA.
KARIBUNI 2026

ADMIN: Ni Mmoja Tu Ambaye Ni Bishop Richard Tz Namba yake Itakayokuwa inawasiliana nawewe ni moja Tu nayo ni 0710889892

EPUKA MATAPELI WA MTANDAONI. 
Watakaokufata inbox kwa Namba nyigine au kuomba Pesa au Kukuchangisha Kitu chochote cha kutilia mashaka nifate inbox WhatsApp Ukiwa ndani ya Group . 

MATUMIZI YA NDANI YA GROUP LETU. 

Group litapost Masomo Mbalimbali ,Audio na Maombi ya Kuandika Mbalimbali na Shuhuda Mbalimbali. 

MAMBO AMBAYO MWANAGROUP UYAFANYE ILI UFUNGULIWE. HAYA

1:Uwe Mtoto Wa Pastor Richard na Mwenye Msimamo na Madhabahu hii Moja Kufata Masomo na Maombi kujifunza nakuuliza maswali inbox Kama hujaelewa somo. Usihame hame Madhabahu hata ukitendewa. 

2:Uwe Mwaminifu Wa Fungu la Kumi Na Kutuma Kwa Uaminifu Kupitia maelekezo Tunayotoaga Kwenye Group Hatutakutambua kuwa Mtoto Wa Pastor Richard Kama hutoagi Fungu la Kumi na ukituma unipigie nikuombee Kataa Maisha ya Wizi Malaki:3:8-11

3:Uwe Mwaminifu Kujifunza Kujisimamia mwenyewe Siyo kulia Lia kuombewa ombewa Kataa Maisha ya unyonge Wa kumtengemea mchungaji akuombee Jifunze Mwenyewe. 

4;Kama Unakuwa na Matatizo au Unataka ushauri Wa Kiroho Huduma ya Kiroho Kuongea nami utanifata inbox
πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ Bonyeza  hii link ujiunge

https://chat.whatsapp.com/L4PQijdjZqQ2P1sYKYYPqe