Holy Spirit Bible College🎓
Tunaripot Chuo Tunatakiwa Wanafunzi Tufike chuoni Tar.2/2/2026
Tupo Morogoro Veta Dakawa
Natunaanza Kupokea na Kusajili Wanafunzi Wanna 2/2/2026 Mpaka 3/3/2026
Ikumbukwe Chuo ni Bure Hosteli Zipo Umeme upo maji yapo vyote buree MASOMO buree cheti buree Isipokuwa Kula unajigharamia.
VITU VYA KUJA NAVYO..
1;Rimu 1
2;Counter 4
3:Pen
4:Biblia
VIPINDI DARASANI.
1:Saa 11:40 Alfajiri Mpaka Saa:12:00 Asubuhi Maombi Wanafunzi Wote Tu naingia Kanisani Naongoza Mwenyewe Maombi haya.
2:Saa 12;00 Alfajiri Mpaka 7;00 Asubuhi Ni Usafi Wa Mazingira Ya Chuo Ambao napo Kuna Max Kwenye Mtihani wako utapata Wanafunzi wataajibika Kuligana Na Walivyopagiwa.
3:Saa:2:00 Asubuhi Mpaka Saa:6;00 mchana DARASA KIPINDI CHA KWANZA.
4;Saa:10:00 Jioni Mpaka 12:00 Jioni
DARASA KIPINDI CHA PILI
5:Tutakuwa na MASOMO ya DARASANI NA VITENDO HAPA HAPA CHUONI.
6:Kila Somo Tutalifanyia Mtihani na Alama Zitajazwa kwenye Cheti chako ukihitimu.
SHERIA ZA CHUONI
1:Hurusiwi Kutoka nje ya chuo bila ruhusa Wa Viongozi Wa Chuo.
2:Hurusiwi Kuchat au Kuongea Na Simu Ukiwa Darasani.
3:Hurusiwi Uchelewe Ibada Yoyote Uwe umepangwa kuhudumu au hujapangwa.
4;Hurusiwi Uchelewe Darasani Mwalimu umkute Darasani
5:Hurusiwi Kutoleana Lugha chafu au Kugombana na Mwanafunzi mwezako ukipatikana na Kosa Hili Tunakufuta uanachuo unarudi nyumbani Mara moja wote wawili Hatutasikiliza Kesi Ya Kugombana CHUONI.
6;Tutaishi Kama ndugu na Tutapendana.
7;Kula Utajigharamia Mwenyewe chuo hakihusiki kukulisha.
8;Kama Unaenda Kutumika nje ya Kanisa letu la Holy Spirit Church Tanzania Cheti Utachangia 50000 Tu.
9;Tutaitaji Kuwajua Wazazi wako au walezi wako Wa Kiroho na Tutaongea nao kabla hatujakusajili
10:Ukisajiliwa ndio unatambulika kuwa Mwanafunzi Wa Chuo cha Holy Spirit Bible College
11;Utafata miongozo yote ya kichuo utakayokuwa unapewa na Viongozi wako.
FAIDA TUTAKAZO PATA
1:Kukuza Huduma Zetu
2;Kuheshimika na Kupata Mialiko ya kuhudumu Sehemu mbalimbali
3;Kwenda Kuidhinishwa Na Kuwekewa Nikon kuwa Wachungaji Tunaotambulika.
4;Ajira ya Kudumu na Tutafanya kazi Tunayoijua Vizuri
5;Kubadili Hali za Maisha Yetu Kiroho na Kimwili.
6;Kuwa Daraja la Kuwavusha Wengine Na Kuwa Faida Katika Taifa letu.
7;Kuishi na Kutumikia Kusundi la Mungu.
8;Tutakupagia Kituo na Kukuwezesha Kuanza Kazi Ya Mungu uliyoitiwa.
9;Tutailea Na Kuitambulisha Kwa Watu Huduma uliyopewa Na Mungu.
10;Tutakuwa Wazazi Wako Wa Kiroho na Tutakusimamia Kujua uliyofundishwa Darasani ndio unayaishi
WASILIANA NA SISI CHUO UONGOZI.
MKURUNGEZI WA CHUO;0759861768
KATIBU WA CHUO:0785450965
WhatsApp Ya Mkurungezi Wa Chuo:
0710889892
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni