Jumamosi, 28 Machi 2026

SALA YA KURDISH KILICHOCHAKO

​SOMOπŸ”₯ SALA YA KURUDISHA KILICHO CHAKO πŸ”₯

Mlengwa: Hii ni kwa ajili ya kila mmoja ambaye anahisi maisha yake yameibiwa (kwa namna ya kiroho, kiuchumi, au kimaendeleo).


​πŸ“– NAMNA YA KUOMBA


​Tamka maneno haya kwa imani:

​"Bwana, nayarudisha maisha yangu, pesa zangu, malengo yangu, mipango yangu, na hatua zangu sawasawa na neno lako."


MSTARI WA IMANI:

πŸ“Œ Yoeli 2:25-26

(Usome na kuukiri kwa sauti mara tatu (3))

             Yoeli 2:25-26 

 25:Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.

 26:Nanyi mtakula chakula tele na kushiba, na kulihimidi jina la Bwana, Mungu wenu, aliyewatendea mambo ya ajabu; na watu wangu hawatatahayari kamwe.



​🎁 SADAKA YA KUUNGANISHWA


​Maombi haya yaambatane na Sadaka yoyote kama ishara ya imani na uaminifu mbele za Mungu.

Namba Za Kutoa Sadaka

M-PESA +255759861768

Airtel Money+255780508066

HaloPesa +255628355985

CRDB BANK: 0152361572400


Jina : Richard Julius Kushoka


​πŸ“ž WASILIANA NASI

​Ili kuuliza swali au kupata mwongozo zaidi, tumia njia zifuatazo:

  • WhatsApp: +255 710 889 892
  • Facebook: [Bishop Richard Tz]
  • Instagram: [@Moto_Wa_Yesu]

SOMO; HATARI YA KUKATALIWA NA BWANA

SOMO: HATARI YA KUKATALIWA NA BWANA

Ninaitwa Pastor Richard Wa Morogoro
Kanisa la Holy Spirit Church Tanzania
Karibuni Somo hili la Muhimu Kujifunza Wana Wa Mungu na litakusaidia

Lengo: Kuelewa sababu zinazomfanya Mungu amuondoe mtu kwenye nafasi yake na jinsi ya kujirekebisha.



​REJEA KUU ZA BIBLIA:SOMAπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ



  • 1 Samweli 15:23, 26: "Kwa kuwa umelikataa neno la Bwana, yeye naye amekukataa wewe usiwe mfalme."

  • Hosea 4:6: "Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe..."

​UTANGULIZI: Siri ya Sauli



​Watu wengi leo wanaishi kama Mfalme Sauli; wanaendelea na huduma, vyeo, na kazi zao huku rohoni wakiwa tayari wameshapoteza kibali cha Mungu (Kukataliwa). Sauli alijiona ana elimu, cheo, na nguvu, akasahau kuwa chanzo cha vyote ni utii kwa Mungu kupitia nabii wake, Samweli.



​SABABU ZINAZOFANYA MUNGU AKUKATAE



  1. Kukataa Maelekezo ya Baba wa Kiroho


  2. Mungu huweka mamlaka duniani ili kutuongoza. Sauli aliamua kufanya "ibada" yake mwenyewe badala ya kusubiri maelekezo ya Samweli. ​“Kutii ni bora kuliko dhabihu.” (1 Samweli 15:22)
  3. “Kutii ni bora kuliko dhabihu.” (1 Samweli 15:22)


    1. Kupuuza Maarifa na Neno la Mungu


    2. Watu wengi wanapenda maombi na miujiza, lakini wanachukia mafundisho. Ukikataa kujifunza Neno, unakataa maarifa ya Mungu, na matokeo yake ni kukataliwa.

    1. Kiburi cha Cheo na Mafanikio


    1. Unapofika mahali unajiona huwezi kuambiwa kitu kisa una pesa, elimu, au cheo, unajitengenezea mazingira ya kuanguka. Mungu huwapinga wenye kibali bali huwapa neema wanyenyekevu.

    ​TUFANYE NINI ILI KUREJESHA KIBALI?


    ​Ili usikataliwe na Bwana, unapaswa kuzingatia misingi hii:


    • Kuwa Mtoto Mtiifu: Utii ni kipimo cha upendo wako kwa Mungu.

    • Heshimu Mamlaka ya Kiroho: Fuata maelekezo ya Baba yako wa kiroho aliyewekwa na Mungu juu yako; yeye ni kinywa cha Bwana kwako.

    • Tafuta Kujitambua: Jua kusudi la kuumbwa kwako. Usiishi tu, bali ishi kwa sababu (Purpose).

    • Penda Neno: Usiwe mkristo wa 'kudekezwa' na maombi tu, simama kwenye zamu yako kwa kujifunza Biblia.

    ​TAHADHARI YA MWISHO


    ​Mungu ana watu wengi na Huwa Hadekewi. Ukikataa kuitumia nafasi yako kwa utii, Mungu atamuinua mwingine kama alivyomuinua Daudi baada ya Sauli kukataliwa.


       "​HITIMISHO"

    Simama kwenye zamu yako kwa unyenyekevu, maana kiongozi wako wa kiroho ndiye aliyebeba maono na baraka ambazo Mungu amezikusudia kwako.


                Wito

Kama ukajiona unaishi unashuhudiwa Upo unaishi Katika Maisha Ya Kukataliwa na Bwana Nipigie Simu au nifate inbox nikusaidie Kuomba na wewe +255710889892

Jumanne, 24 Machi 2026

SOMO:SALA YA KUAMSHA UTUME NDANI YETU

SOMO: SALA YA KUAMSHA BIDII KATIKA UTUMISHI WA BWANA

πŸ”²πŸ”²πŸ”²πŸ”²πŸ”²πŸ”²πŸŸ₯πŸŸ₯πŸŸ₯πŸŸ₯πŸŸ₯πŸŸ₯πŸ”²πŸ”²πŸ”²πŸ–₯πŸ–₯

​       UTANGULIZI WA KIIMANI


Vita kubwa ya kiroho mara nyingi hulenga kukuzuia usitimize kusudi la Mungu. Moyo wako unaweza kutamani kutoa, kufundisha, au kushauri wengine, lakini unajikuta umenaswa na mambo ya ulimwengu. Tambua kuwa kuna roho zinazoinuka kupinga kile Mungu alichoweka ndani yako. Leo tunavunja vizuizi hivyo.


​1. MAOMBI YA TOBA NA KUREJESHA


(Soma maombi haya kwa kumaanisha, kisha rudia mara 3)

​"Baba Mtakatifu, nakushukuru kwa kuniumba na kuniweka duniani ili nikuabudu na kukutumikia. Najua kuwa baraka zangu zimefungamanishwa na utumishi wangu kwako.

​Bwana, nakuja mbele zako nikiungama kuwa nimekuwa mlegevu. Mahangaiko ya ulimwengu huu, kuanzia asubuhi hadi jioni, yamenitega na kunifanya nishughulike na mambo yangu binafsi badala ya kazi yako. Nimeiacha zamu yangu na kulegalega katika utume ulionipa.

​Ee Mungu, nitengeneze upya leo. Sitaki shida zangu zinitenge nawe, wala maisha yangu yaongozwe na mapenzi yangu mwenyewe. Nataka uyashikilie maisha yangu yaishi ndani ya utume wako. Mimi mwanao [Taja Jina Lako], nakuomba upokee sala hii. Niondoe kwenye ulegevu na uniweke kwenye nafasi yangu ya utumishi. Katika Jina la Yesu Kristo, Amen."


​2. MISTARI YA BIBLIA  YA KUSIMAMIA (Silaha za Neno)


(Soma mistari hii kwa sauti kuu)

  • Waroma 12:11: "Msilegee katika bidii; muwe na moto katika roho zenu; mkamtumikie Bwana."

  • Wagalatia 6:9: "Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia mioyo."

  • 1 Wakorintho 15:58: "Basi, ndugu zangu wapendwa, msimame imara, msitikisike, mkazidi sana kufanya kazi ya Bwana sikuzote, kwa kuwa mnajua ya kwamba taabu yenu si bure katika Bwana."

​3. SALA YA KUJIUGAMANISHA SADAKA na MAOMBI YA UTUMISHI


(Shika sadaka yako mkononi na useme:)

​"Bwana, mimi ni mali yako na siyo mali ya mahangaiko ya dunia hii. Sadaka hii ninayoitoa ni ishara ya kujiunganisha (Connection) na utume uliouweka ndani yangu. Nakataa kuwa hasara mbele zako; nataka niwe faida kwa Ufalme wako.

​Niumbe moyo mpya wa kukupenda na kukutumikia kwa bidii. Kupitia sadaka hii ninayoitoa kwenye madhabahu yako, ninaamsha moto wa utumishi ndani yangu. Ikanene mema na ikashuhudie mbele ya kiti chako cha enzi kuwa nimejitoa kwako kikamilifu. Katika Jina la Yesu, Amen."



​4:MAELEKEZO YA SADANA NA MAWASILIANO YA KUONGEA NA PASTOR RICHARD

πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›

​Baada ya maombi haya, toa sadaka yako kwa moyo wa ukunjufu kupitia njia zifuatazo:

  • M-PESA: +255 759 861 768

  • Airtel Money: +255 780 508 066

  • Halo Pesa: +255 628 355 985

  • Tigo Pesa (Mix by Yas): +255 710 889 892


  • CRDB BANK: 0152361572400

  • Jina litakalotokea: RICHARD JULIUS KUSHOKA

5;​Hatua ya Mwisho:


Ukimaliza kutoa, nipigie simu au nitumie ujumbe WhatsApp kupitia +255 710 889 892 ili nikuombee na kukuunganisha kwenye kundi letu la mafundisho.

Pastor Richard(Bishop Richard) 

Holy Spirit Church Tanzania, Makao Makuu – Morogoro Veta Dakawa.

Jumapili, 22 Machi 2026

SOMO: MALAIKA MKUU JADUEL

SOMO: MALAIKA JADUIL NA NGUVU YA REHEMA ZA MUNGU



​Utangulizi

​Jina Jaduil (Zadkiel) linamaanisha "Haki ya Mungu". Yeye ni malaika anayesimama upande wa rehema, akitusaidia kuingia katika toba na kupokea msamaha wa kweli ili tuweze kusonga mbele kimaisha.



​1. Kazi ya Kwanza: Malaika wa Msamaha (The Angel of Forgiveness)



​Jaduil huwasaidia watu waliofungwa na vifungo vya chuki, vinyongo, na maumivu ya moyo.

  • Lengo la Somo: Kufundisha umuhimu wa kusamehe wengine ili na sisi tusamehewe.
  • Andiko la Kutafakari: Mathayo 6:14-15 (Umuhimu wa kusamehe).
  • Kazi ya Jaduil: Huleta utulivu moyoni pale mtu anapoamua kuachilia maumivu ya zamani.

​2. Kazi ya Pili: Msaidizi wa Kumbukumbu na Maarifa


​Katika ulimwengu wa roho, Jaduil anahusishwa na kusaidia akili ya mwanadamu kukumbuka mambo ya msingi na kupata ufahamu.

  • Lengo la Somo: Kuhimiza bidii katika kujifunza na kutumia akili vizuri.
  • Maombi: Kuomba msaada wa Mungu kupitia malaika wake ili kuondoa usahaulifu na kupata wepesi wa kuelewa masomo au kazi.

​3. Kazi ya Tatu: Kubadilisha Hali (Transformation)


​Jaduil husaidia kugeuza nishati hasi (kama huzuni au hofu) kuwa nishati chanya (kama furaha na amani).

  • Lengo la Somo: Kujifunza jinsi ya kuvuka vipindi vigumu vya mabadiliko (Transition) kwa msaada wa Mungu.
  • Mfano: Kama unahama kituo cha kazi au kuanza maisha mapya, Jaduil ni msaidizi wa kukuongoza katika hatua hizo mpya.

​4. Kazi ya Nne: Kuzuia Maamuzi ya Hasira


​Kama alivyomzuia Nabii Ibrahimu asimchinje mwanawe (kama inavyoaminika katika baadhi ya mapokeo), Jaduil hufanya kazi ya kuzuia maamuzi ya haraka yanayoweza kuleta majuto.

  • Lengo la Somo: Kujifunza kusikiliza sauti ya Mungu kabla ya kuchukua hatua kubwa.

​Hitimisho na Maombi


​Malaika Jaduil anatukumbusha kuwa Mungu ni wa haki lakini pia ni mwingi wa rehema. Tunapohitaji kuanza upya, tunapaswa kuomba rehema za Mungu zitutangulie.



Zoezi kwa Washiriki:

  1. ​Orodhesha watu watatu unaohisi ni vigumu kuwasamehe.
  2. ​Omba Mungu akusaidie kuachilia vinyongo hivyo kupitia malaika wake wa rehema.

Jumamosi, 21 Machi 2026

SOMO:2Majina Ya Malaika

SOMO MAJINA YA MALAIKA NA MAKUNDI NA KAZI ZAO

Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro
Nipo Morogoro Veta Dakawa

Karibu Elimu hii nzuri Ya Kuwajua MAKUNDI ya Malaika Mbiguni Kuna Malaika Wengi Sana Ambao Kwenye Biblia Hawakujitambulisha au Kutajwa Ambao Wapo Wanatenda Kazi Na Mungu. 

Ni Jukumu la Kila Mkristo Kuwajua Malaika hata namna ya kazi zao nakuwatumia

Leo nakutajia MAKUNDI Yao na kazi zao kule mbiguni

1;Malaika Mikaeli (Michael)


​Jina lake lina maana ya "Nani aliye kama Mungu?". Yeye anajulikana kama mkuu wa majeshi ya mbinguni na mlinzi wa watu wa Mungu.


  • Kazi yake: Kupigana vita vya kiroho dhidi ya shetani na kulinda taifa la Mungu.

  • Mistari ya Biblia:
    • Danieli 10:13: "Lakini mkuu wa ufalme wa Uajemi alinipinga siku ishirini na moja; bali, tazama, huyo Mikaeli, mmoja wa hao wakuu wa mbele, akaja kunisaidia..."

    • Yuda 1:9: "Lakini Mikaeli, mkuu wa malaika, aliposhindana na Ibilisi, na kuhojiana naye kwa ajili ya mwili wa Musa..."

    • Ufunuo 12:7: "Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka..."

​2. Malaika Gabrieli (Gabriel)

​Jina lake lina maana ya "Mungu ni nguvu yangu" au "Shujaa wa Mungu". Yeye ni mjumbe mkuu wa habari njema na mafunuo.



  • Kazi yake: Kufikisha jumbe muhimu za Mungu kwa wanadamu na kufafanua maono.

  • Mistari ya Biblia:

    • Danieli 8:16: "Nikasikia sauti ya mwanadamu katikati ya mto Ulai, iliyoita na kusema, Gabrieli, mfamulishe mtu huyu maono haya."

    • Luka 1:19: "Malaika akamjibu akamwambia, Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele za Mungu; nami nalitumwa niseme nawe, na kukupasha habari hizi njema."

    • Luka 1:26-27: "Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti, kwa bikira mmoja..."

​Makundi ya Malaika na Kazi Zao (Kulingana na Maandiko)



​Ingawa Biblia haitaji majina mengine mengi, inataja makundi yenye kazi maalum:.


​A. Makerubi (Cherubim)


  • Kazi: Walinzi wa utakatifu wa Mungu na kiti chake cha enzi.

  • Mstari: Mwanzo 3:24"Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi upande wa mashariki wa bustani ya Edeni..."

​B. Maserafi (Seraphim)

  • Kazi: Kumwabudu na kumtukuza Mungu daima mbele ya kiti chake cha enzi.

  • Mstari: Isaya 6:2-3"Juu yake walisimama maserafi... wakaitana, kila mmoja na mwenzake, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, ni BWANA wa majeshi..."

​C. Malaika Walinzi/Watumishi

  • Kazi: Kuwalinda waaminifu na kuwatumikia wale watakaourithi wokovu.

  • Mistari:


  • Zaburi 91:11: "Kwa kuwa atakuagizia malaika zake, wakulinde katika njia zako zote."


    • Waebrania 1:14: "Je! Hao wote si roho watumikao, wakitumwa kuwahudumia wale watakaourithi wokovu?".

Tuma Elimu  hii kwa watu Wengi na ma group Waunge Wanaopenda kujifunza

SOMO:MAJINA YA MALAIKA

DARASA LA MALAIKA

SOMO;MAJINA YA MALAIKA
. Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro
Kanisa la Holy Spirit Church


Malaika Wakuu (Archangels)

​Hawa ndio wenye vyeo vya juu na majukumu ya kipekee:

  • Mikaeli (Michael): Jina lake lina maana ya "Nani aliye kama Mungu?" Anajulikana kama kiongozi wa majeshi ya mbinguni na mlinzi dhidi ya nguvu za giza.
  • Gabriel (Gabrili): Jina lake lina maana ya "Mungu ni nguvu yangu." Yeye ni mjumbe mkuu wa Mungu; alileta habari za kuzaliwa kwa Yohana Mbatizaji na Yesu, na pia anaaminika kufikisha mafunuo kwa manabii.
  • Rafaeli (Raphael): Jina lake lina maana ya "Mungu ameponya." Anajulikana kama malaika wa uponyaji na msaidizi wa wasafiri.

​Malaika Wengine Wanaotajwa


​Kuna majina mengine yanayopatikana katika vitabu vya kidini, historia, na mapokezi ya kitheolojia:

  • Urieli (Uriel): Mara nyingi anahusishwa na hekima, nuru, na elimu.
  • Selafieli (Selaphiel): Anatajwa kama malaika wa maombi na dua.
  • Yegudieli (Jegudiel): Anajulikana kama mlinzi wa watu wanaofanya kazi kwa bidii kwa ajili ya utukufu wa Mungu.
  • Barakieli (Barachiel): Anatajwa kama mtoaji wa baraka za Mungu.

​Makundi ya Malaika (Hierarkia)



​Mbali na majina binafsi, malaika wamegawanywa katika makundi kulingana na majukumu yao:


  1. Maserafi (Seraphim): Malaika wanaokaa karibu zaidi na kiti cha enzi cha Mungu, wakimsifu daima.
  2. Makerubi (Cherubim): Walinzi wa utakatifu wa Mungu (mfano: walinda bustani ya Edeni).
  3. Malaika Walinzi: Malaika wanaotumwa kumlinda na kumwongoza kila mtu mmoja mmoja katika maisha yake






SOMO:MAJINA YA MALAIKA

DARASA LA MALAIKA

SOMO;MAJINA YA MALAIKA
. Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro
Kanisa la Holy Spirit Church


Malaika Wakuu (Archangels)

​Hawa ndio wenye vyeo vya juu na majukumu ya kipekee:

  • Mikaeli (Michael): Jina lake lina maana ya "Nani aliye kama Mungu?" Anajulikana kama kiongozi wa majeshi ya mbinguni na mlinzi dhidi ya nguvu za giza.
  • Gabriel (Gabrili): Jina lake lina maana ya "Mungu ni nguvu yangu." Yeye ni mjumbe mkuu wa Mungu; alileta habari za kuzaliwa kwa Yohana Mbatizaji na Yesu, na pia anaaminika kufikisha mafunuo kwa manabii.
  • Rafaeli (Raphael): Jina lake lina maana ya "Mungu ameponya." Anajulikana kama malaika wa uponyaji na msaidizi wa wasafiri.

​Malaika Wengine Wanaotajwa


​Kuna majina mengine yanayopatikana katika vitabu vya kidini, historia, na mapokezi ya kitheolojia:

  • Urieli (Uriel): Mara nyingi anahusishwa na hekima, nuru, na elimu.
  • Selafieli (Selaphiel): Anatajwa kama malaika wa maombi na dua.
  • Yegudieli (Jegudiel): Anajulikana kama mlinzi wa watu wanaofanya kazi kwa bidii kwa ajili ya utukufu wa Mungu.
  • Barakieli (Barachiel): Anatajwa kama mtoaji wa baraka za Mungu.

​Makundi ya Malaika (Hierarkia)



​Mbali na majina binafsi, malaika wamegawanywa katika makundi kulingana na majukumu yao:


  1. Maserafi (Seraphim): Malaika wanaokaa karibu zaidi na kiti cha enzi cha Mungu, wakimsifu daima.
  2. Makerubi (Cherubim): Walinzi wa utakatifu wa Mungu (mfano: walinda bustani ya Edeni).
  3. Malaika Walinzi: Malaika wanaotumwa kumlinda na kumwongoza kila mtu mmoja mmoja katika maisha yake

Ijumaa, 20 Machi 2026

SOMO:MADHARA YA KUCHELEWESHA NADHIRI

​SOMO:MADHARA YA KUPITILIZA KUTEGUA NADHIRI. 

Naitwa Pastor Richard. 
Holy Spirit Church Tanzania
Morogoro Vera Dakawa

Ni Mambo mengi hutokea huharibu kazi au kile ulichotendewa Mungu hukuona Adui yake tens huanza Kukuharibia vitu vyako va mikono kuitengua huwa kazi Sana. 


1. Unatenda Dhambi

​Biblia iko wazi kuwa kuchelewa kutimiza ulichoahidi ni dhambi.

​"Utakapoweka nadhiri kwa Bwana, Mungu wako, usiwe mlegevu katika kuiondoa; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, hataacha kuitaka kwako; nayo itakuwa ni dhambi kwako." (Kumbukumbu la Torati 23:21)


​2. Inaharibu Kazi ya Mikono Yako

​Mungu hapendezwi na mtu anayeahidi kisha anaghairi au anachelewa bila sababu yako binafsi. Hupelekea Mambo yako kuharibika



​"Usikiache kinywa chako kikukoseshe mwili wako; wala usiseme mbele ya mjumbe wa Mungu ya kuwa ni kosa; kwani Mungu akasirishwe na sauti yako, na kuiharibu kazi ya mikono yako?" (Mhubiri 5:6)


​3. Kupoteza Sifa ya Kuwa Mwaminifu (Mtego wa Kiroho)

​Kuchelewa kutimiza nadhiri kunamfanya mtu aonekane kama "mpumbavu" machoni pa Mungu kwa sababu ametoa ahadi ambayo hana nia ya kuitimiza haraka. Biblia inashauri ni afadhali usiahidi kuliko kuahidi na usilipe.


Hii Machoni Pake atajiona Mungu Atamsamehe number huwa hatia

​"Ni heri usitoe nadhiri, kuliko kuitoa usiiitekeleze." (Mhubiri 5:5)



JE, UMEPUUZA NADHIRI AU UNAICHUKULIA RAHISI RAHISI NI BORA USIWEKE KULIKO UWEKE UJE UCHELEWE 


KESI NYINGI ZA WATU WANATESWA NA NADHIRI. 



. OMBA TOBA KAMA UMEPITILIZA KUIFUTA NADHIRI. 

Naitwa Pastor Richard

WhatsApp+255710889892

Holy Spirit Church Tanzania

Morogoro Veta Dakawa

Karibuni Tujue Namna Ya Kuomba Toba Kama Tulizembea Kutengua Nadhiri

Sala ya Toba kwa ajili ya Nadhiri


OMBA HIVI

​"Mungu Mwenyezi, Baba wa Rehema, nakuja mbele zako kwa unyenyekevu nikitambua ukuu wako na uaminifu wako usio na mwisho.

​Ninakiri mbele zako leo kuwa niliweka nadhiri [taja hapa nadhiri uliyoweka kama unakumbuka], lakini nimechelewa kuitekeleza kama nilivyoahidi. Ninatubu kwa uzembe, kusahau, au kukosa uaminifu katika maneno ya kinywa changu.

​Neno lako linasema ni heri nisiahidi kuliko kuahidi na nisilipe. Naomba unisamehe kwa kosa hili na usiruhusu kazi ya mikono yangu iharibike kwa sababu ya hatia hii. Damu ya Yesu Kristo initakase na kuniondolea mtego huu wa kiroho uliokuwa unanikabili.

​Ee Bwana, nipe neema na njia ya kutimiza kile nilichokusudia, na ikiwa uwezo wangu umepungua, nakuomba unipe hekima ya kuikomboa nadhiri hii kwa namna inayokupendeza. Tangu sasa, ninaomba unipe moyo wa tahadhari nitakapokuja mbele zako na dhabihu ya midomo yangu.

​Asante kwa kunisikia na kunisamehe, kwa maana wewe ni Mungu wa nafasi ya pili. Amina."

​Jambo la Kuzingatia:

​Baada ya kuomba sala hii, unapaswa kujisikia mwenye amani. Hatua inayofuata ni kufanya juhudi za dhati kuitimiza ile nadhiri haraka uwezavyo. Biblia inasisitiza kuwa toba ya kweli huambatana na matendo ya kurejesha pale tulipokosea.

Tengua Haraka Usiendelee Kupuuza au kuzembea Kutengua Nadhiri



SOMO: MAOMBI YA TOBA


.SOMO:MAOMBI YA TOBA

Eeh Bwana  Yesu Ninakuja Mbele Zako Mimi Mwenye dhambi Nimekukosea Bwana Nimekutenda dhambi Katika Kinywa changu Nimekosea Katika Matendo Yangu Nimekosea Katika Uaminifu Wa zaka na maangizo yako Mimi ni Mwanao Richard(Taja Jina lako)Naomba Unisamehe Pokea Maombi Yangu Baba Yangu Kwenye kiti chako Katika Jina la Yesu. Amen×5

MISTARI:WA KUSOMA
2Nyakati:7:14

ZIGATIA HAYA UNAPOTUBU:

1:Unapoomba Uwe umepinga magoti

2:Unapotamka Nyenyekea Omba kwa uchungu Kuugulia Moyoni

3:Fanya Maombi Haya Kila Unapokosana na MUNGU

4:Endeleaa Kujifunza Kwenye Group letu la Maombi na Mafundisho masomo mbalimbali



      2 Mambo ya Nyakati 7:14
 Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.

Jumatatu, 16 Machi 2026

MWONGOZO NA UTARATIBU 2026 KWENYE GROUP

MWONGOZO NA UTARATIBU WA GROUP LETU LA MAOMBI NA MAFUNDISHO: MWAKA 2026


​"MWAKA WA MAMLAKA" (Luka 9:1)

​KANISA LA HOLY SPIRIT CHURCH TANZANIA


Makao Makuu: Morogoro, VETA Dakawa.




​1. UTANGULIZI NA MSINGI WA IMANI


Msingi Wa Imani Yetu ni Maombi na Mafundisho kukufunza kujisimamia

​Tunakukaribisha katika safari ya kiroho ya mwaka 2026. Lengo letu kuu ni kukuwezesha muumini kupitia Neno na Mafundisho.


​Imani Yetu: Hatutegemei vitu kama maji, chumvi, sukari, wala vitambaa.


​Lengo: Kukufundisha wewe binafsi usimame kwa miguu yako mwenyewe, imani yako ikue, na ufunguliwe kupitia masomo na kusikiliza mafundisho (Audio).


​2. MAWASILIANO NA USALAMA (Tahadhari)


​Ili kuepuka utapeli wa mtandaoni, zingatia yafuatayo:




​Admin wa Group ni mmoja tu: Pastor Richard 


​Namba ya WhatsApp: 0710 889 892


                 TAHADHARI(USALAMA) 


: Epuka mtu yeyote atakayekufuata 'Inbox' kwa namba nyingine akiomba fedha au michango ya mashaka. Ukiona jambo lisilo la kawaida, wasiliana na Bishop moja kwa moja.



​3. MAJUKUMU YA MWANACHAMA ANAYEKUWA NDANI YA GROUP 



(Ili Ufunguliwe na Kubarikiwa)

​Ili kupata matokeo ya kiroho ndani ya madhabahu hii, mwanachama anapaswa kuzingatia mambo matano (5) yafuatayo:







JUKUMU LA MUUMINI NA MWANAGROUP

πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ




1:MSIMAMO WA KIROHO



Kuwa na msimamo na Madhabahu hii. Fuatilia masomo, maombi, na uliza maswali unapohitaji ufafanuzi. Kataa kutagataga Kuwa na msimamo hata fungu lako la kumi ili Ufunguliwe na usitawi kiroho na kimwili. 




2:UAMINIFU WA FUNGU LA KUMI NDIO UTAMBULISHO WAKO KAMA MTOTO WA MADHABAHU HII. 



Hili ni sharti la utambuzi kama mwana wa Bishop Richard. Kataa roho ya wizi Wa zaka(Malaki 3:8-11). Ukimaliza kutuma, piga simu kwa ajili ya maombi.




3:KUJITENGEMEA KIROHO



Kataa maisha ya unyonge wa kutegemea kuombewa kila wakati. Jifunze kujisimamia na kuomba mwenyewe kupitia mwongozo unaopewa. Mateso Siyo haki yako( MAOMBOLEZO:3:33




4:USHAURI NA HUDUMA YA MAOMBI



Kwa hitaji lolote la ushauri wa kiroho au mazungumzo na Askofu, wasiliana na Admin (Pastor Richard) moja kwa moja kwenye Inbox yake. Atakusikiliza




5:RATIBA ZA MAOMBI



✍🏾Ijumaa: Siku ya mfungo (Masaa 12) na Sadaka ya mfungo. 


✍🏾Kila Siku: Maombi ya usiku wa manane (Midnight Prayers).Kuanzia Saa Saba Usiku mpaka Saa Kumi Alfajiri




HITIMISHO



​Group hili litakuwa likirusha Masomo, Audio, Maombi ya maandishi, na Shuhuda mbalimbali za nguvu ya Mungu. Tunakukaribisha kuwaalika na wengine ili wajifunze na kufunguliwa.




​"Kuwa mwaminifu wa kuomba, kwani kadiri unavyoomba ndivyo unavyopanda viwango vya Kiroho."



​KARIBUNI SANA 2026 - MWAKA WA MAMLAKA!


Kwa English rahisi soma


GUIDELINES AND PROCEDURES FOR OUR PRAYER & TEACHING GROUP: 2026

"THE YEAR OF AUTHORITY" (Luke 9:1)

HOLY SPIRIT CHURCH TANZANIA.


Headquarters: Morogoro, VETA Dakawa.


1. INTRODUCTION AND FOUNDATION OF FAITH. 


​Our foundation is built on Prayer and Teachings designed to empower you to stand on your own. We welcome you to this spiritual journey of 2026. Our primary goal is to equip every believer through the Word.



  • Our Core Belief: We do not rely on physical objects such as water, salt, sugar, or cloths.. 

  • The Goal: To teach you to stand on your own two feet, grow your faith, and receive deliverance through studying the Word and listening to our audio teachings.

2. COMMUNICATION AND SECURITY (Important Notice)


​To protect yourself from online scams, please note the following:


  • Official Group Admin: There is only one Admin, Pastor Richard

  • Official WhatsApp Number: +255 710 889 892

  • SECURITY ALERT: Beware of anyone who messages you privately (Inbox) using a different number to ask for money or suspicious contributions. If you notice anything unusual, contact the Bishop directly.

3. RESPONSIBILITIES OF A GROUP MEMBER


​To experience spiritual breakthrough and blessings within this altar, every member is expected to observe these five (5) pillars:


I. Spiritual Firmness


​Be committed to this Altar. Follow the lessons and prayers diligently, and ask questions when you need clarity. Avoid "spiritual wandering." Stay firm in your faith and your tithes to ensure your spiritual and physical prosperity.


II. Faithfulness in Tithing


​Tithing is the primary identification of a true child of this Altar and a son/daughter of Bishop Richard. Reject the spirit of "stealing from God" (Malachi 3:8-11). After sending your tithe, call for a prayer of blessing.


III. Spiritual Independence


​Reject a life of weakness and over-dependence on others for prayer. Learn to stand and pray for yourself using the guidance provided. Suffering is not your portion (Lamentations 3:33).


IV. Counseling and Prayer Services


​For any spiritual advice or a personal conversation with the Bishop, contact the Admin (Pastor Richard) directly in his Inbox. He is available to listen to you.. 


V. Prayer Schedule


  • Fridays: A 12-hour Fasting Day, accompanied by a Fasting Offering.

  • Daily: Midnight Prayers from 1:00 AM to 4:00 AM.

CONCLUSION

​This group will share Lessons, Audio Teachings, Written Prayers, and various Testimonies of God’s power. You are encouraged to invite others so they may learn and be set free.

"Be faithful in prayer; the more you pray, the higher you rise in spiritual levels."


WELCOME TO 2026 – THE YEAR OF AUTHORITY!


Jumanne, 3 Machi 2026

SOMO:MAISHA YA NDOA YA KIKRISTO

DARASA LA NDOA

​SOMO: MAISHA YA NDOA YA KIKRISTO

​Sifa Muhimu za Ndoa Imara ya Kikristo:


1:​Kujitengemea: "Mwanamume atamwacha babaye na mamaye..." - Mwanzo 2:24

2:​Upendo wa Kweli: "Waume, wapendeni wake zenu..." - Waefeso 5:25


3:​Kufurahi Pamoja: "Furahi pamoja na mke wa ujana wako." - Mithali 5:18

4:​Kuvumiliana: "Mkichukuliana katika upendo..." - Waefeso 4:2-3


5:Umoja Usiovunjika: "Alichokiunga Mungu, mwanadamu asikitenganishe." - Marko 10:9


​6;Kujitolea Kamili: "Nitie kama muhuri juu ya moyo wako..." - Wimbo 8:6-7


7;;​Kuheshimu Agano: "Ndoa na iheshimiwe na watu wote..." - Waebrania 13:4


8;;​Ushirikiano: "Njia ya mwanamume pamoja na msichana." - Mithali 30:18-19


9:​Tabia Njema: "Mke mwema...thamani yake yapita kima cha marijani." - Mithali 31:10


10;​Kusaidiana: "Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja..." - Mhubiri 4:9-11


11;​Kutokuwa na Ubinafsi: "Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja." - Mathayo 19:6


12;​Busara: "Vivyo hivyo, ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili..." - 1 Petro 3:7


13;​Kudumu Katika Ndoa: "Maana mimi nachukia kuachana..." - Malaki 2:16


14;​Uaminifu: "Popote utakakokwenda nitakwenda..." - Ruthu 1:16-17


15:​Upendo Usio na Masharti: "Amri mpya nawapa, Mpendane..." - Yohana 13:34


16:​Kutunza Agano: "Nawe ulimtenda mkeo kwa hila..." - Malaki 2:14-15