.SOMO:MAOMBI YA TOBA
Eeh Bwana Yesu Ninakuja Mbele Zako Mimi Mwenye dhambi Nimekukosea Bwana Nimekutenda dhambi Katika Kinywa changu Nimekosea Katika Matendo Yangu Nimekosea Katika Uaminifu Wa zaka na maangizo yako Mimi ni Mwanao Richard(Taja Jina lako)Naomba Unisamehe Pokea Maombi Yangu Baba Yangu Kwenye kiti chako Katika Jina la Yesu. Amen×5
MISTARI:WA KUSOMA
2Nyakati:7:14
ZIGATIA HAYA UNAPOTUBU:
1:Unapoomba Uwe umepinga magoti
2:Unapotamka Nyenyekea Omba kwa uchungu Kuugulia Moyoni
3:Fanya Maombi Haya Kila Unapokosana na MUNGU
4:Endeleaa Kujifunza Kwenye Group letu la Maombi na Mafundisho masomo mbalimbali
Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni