Jumatatu, 16 Machi 2026

MWONGOZO NA UTARATIBU 2026 KWENYE GROUP

MWONGOZO NA UTARATIBU WA GROUP LETU LA MAOMBI NA MAFUNDISHO: MWAKA 2026


​"MWAKA WA MAMLAKA" (Luka 9:1)

​KANISA LA HOLY SPIRIT CHURCH TANZANIA


Makao Makuu: Morogoro, VETA Dakawa.




​1. UTANGULIZI NA MSINGI WA IMANI


Msingi Wa Imani Yetu ni Maombi na Mafundisho kukufunza kujisimamia

​Tunakukaribisha katika safari ya kiroho ya mwaka 2026. Lengo letu kuu ni kukuwezesha muumini kupitia Neno na Mafundisho.


​Imani Yetu: Hatutegemei vitu kama maji, chumvi, sukari, wala vitambaa.


​Lengo: Kukufundisha wewe binafsi usimame kwa miguu yako mwenyewe, imani yako ikue, na ufunguliwe kupitia masomo na kusikiliza mafundisho (Audio).


​2. MAWASILIANO NA USALAMA (Tahadhari)


​Ili kuepuka utapeli wa mtandaoni, zingatia yafuatayo:




​Admin wa Group ni mmoja tu: Pastor Richard 


​Namba ya WhatsApp: 0710 889 892


                 TAHADHARI(USALAMA) 


: Epuka mtu yeyote atakayekufuata 'Inbox' kwa namba nyingine akiomba fedha au michango ya mashaka. Ukiona jambo lisilo la kawaida, wasiliana na Bishop moja kwa moja.



​3. MAJUKUMU YA MWANACHAMA ANAYEKUWA NDANI YA GROUP 



(Ili Ufunguliwe na Kubarikiwa)

​Ili kupata matokeo ya kiroho ndani ya madhabahu hii, mwanachama anapaswa kuzingatia mambo matano (5) yafuatayo:







JUKUMU LA MUUMINI NA MWANAGROUP

πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ




1:MSIMAMO WA KIROHO



Kuwa na msimamo na Madhabahu hii. Fuatilia masomo, maombi, na uliza maswali unapohitaji ufafanuzi. Kataa kutagataga Kuwa na msimamo hata fungu lako la kumi ili Ufunguliwe na usitawi kiroho na kimwili. 




2:UAMINIFU WA FUNGU LA KUMI NDIO UTAMBULISHO WAKO KAMA MTOTO WA MADHABAHU HII. 



Hili ni sharti la utambuzi kama mwana wa Bishop Richard. Kataa roho ya wizi Wa zaka(Malaki 3:8-11). Ukimaliza kutuma, piga simu kwa ajili ya maombi.




3:KUJITENGEMEA KIROHO



Kataa maisha ya unyonge wa kutegemea kuombewa kila wakati. Jifunze kujisimamia na kuomba mwenyewe kupitia mwongozo unaopewa. Mateso Siyo haki yako( MAOMBOLEZO:3:33




4:USHAURI NA HUDUMA YA MAOMBI



Kwa hitaji lolote la ushauri wa kiroho au mazungumzo na Askofu, wasiliana na Admin (Pastor Richard) moja kwa moja kwenye Inbox yake. Atakusikiliza




5:RATIBA ZA MAOMBI



✍🏾Ijumaa: Siku ya mfungo (Masaa 12) na Sadaka ya mfungo. 


✍🏾Kila Siku: Maombi ya usiku wa manane (Midnight Prayers).Kuanzia Saa Saba Usiku mpaka Saa Kumi Alfajiri




HITIMISHO



​Group hili litakuwa likirusha Masomo, Audio, Maombi ya maandishi, na Shuhuda mbalimbali za nguvu ya Mungu. Tunakukaribisha kuwaalika na wengine ili wajifunze na kufunguliwa.




​"Kuwa mwaminifu wa kuomba, kwani kadiri unavyoomba ndivyo unavyopanda viwango vya Kiroho."



​KARIBUNI SANA 2026 - MWAKA WA MAMLAKA!


Kwa English rahisi soma


GUIDELINES AND PROCEDURES FOR OUR PRAYER & TEACHING GROUP: 2026

"THE YEAR OF AUTHORITY" (Luke 9:1)

HOLY SPIRIT CHURCH TANZANIA.


Headquarters: Morogoro, VETA Dakawa.


1. INTRODUCTION AND FOUNDATION OF FAITH. 


​Our foundation is built on Prayer and Teachings designed to empower you to stand on your own. We welcome you to this spiritual journey of 2026. Our primary goal is to equip every believer through the Word.



  • Our Core Belief: We do not rely on physical objects such as water, salt, sugar, or cloths.. 

  • The Goal: To teach you to stand on your own two feet, grow your faith, and receive deliverance through studying the Word and listening to our audio teachings.

2. COMMUNICATION AND SECURITY (Important Notice)


​To protect yourself from online scams, please note the following:


  • Official Group Admin: There is only one Admin, Pastor Richard

  • Official WhatsApp Number: +255 710 889 892

  • SECURITY ALERT: Beware of anyone who messages you privately (Inbox) using a different number to ask for money or suspicious contributions. If you notice anything unusual, contact the Bishop directly.

3. RESPONSIBILITIES OF A GROUP MEMBER


​To experience spiritual breakthrough and blessings within this altar, every member is expected to observe these five (5) pillars:


I. Spiritual Firmness


​Be committed to this Altar. Follow the lessons and prayers diligently, and ask questions when you need clarity. Avoid "spiritual wandering." Stay firm in your faith and your tithes to ensure your spiritual and physical prosperity.


II. Faithfulness in Tithing


​Tithing is the primary identification of a true child of this Altar and a son/daughter of Bishop Richard. Reject the spirit of "stealing from God" (Malachi 3:8-11). After sending your tithe, call for a prayer of blessing.


III. Spiritual Independence


​Reject a life of weakness and over-dependence on others for prayer. Learn to stand and pray for yourself using the guidance provided. Suffering is not your portion (Lamentations 3:33).


IV. Counseling and Prayer Services


​For any spiritual advice or a personal conversation with the Bishop, contact the Admin (Pastor Richard) directly in his Inbox. He is available to listen to you.. 


V. Prayer Schedule


  • Fridays: A 12-hour Fasting Day, accompanied by a Fasting Offering.

  • Daily: Midnight Prayers from 1:00 AM to 4:00 AM.

CONCLUSION

​This group will share Lessons, Audio Teachings, Written Prayers, and various Testimonies of God’s power. You are encouraged to invite others so they may learn and be set free.

"Be faithful in prayer; the more you pray, the higher you rise in spiritual levels."


WELCOME TO 2026 – THE YEAR OF AUTHORITY!


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni