SOMO: SALA YA KUAMSHA BIDII KATIKA UTUMISHI WA BWANA
UTANGULIZI WA KIIMANI
Vita kubwa ya kiroho mara nyingi hulenga kukuzuia usitimize kusudi la Mungu. Moyo wako unaweza kutamani kutoa, kufundisha, au kushauri wengine, lakini unajikuta umenaswa na mambo ya ulimwengu. Tambua kuwa kuna roho zinazoinuka kupinga kile Mungu alichoweka ndani yako. Leo tunavunja vizuizi hivyo.
1. MAOMBI YA TOBA NA KUREJESHA
(Soma maombi haya kwa kumaanisha, kisha rudia mara 3)
"Baba Mtakatifu, nakushukuru kwa kuniumba na kuniweka duniani ili nikuabudu na kukutumikia. Najua kuwa baraka zangu zimefungamanishwa na utumishi wangu kwako.
Bwana, nakuja mbele zako nikiungama kuwa nimekuwa mlegevu. Mahangaiko ya ulimwengu huu, kuanzia asubuhi hadi jioni, yamenitega na kunifanya nishughulike na mambo yangu binafsi badala ya kazi yako. Nimeiacha zamu yangu na kulegalega katika utume ulionipa.
Ee Mungu, nitengeneze upya leo. Sitaki shida zangu zinitenge nawe, wala maisha yangu yaongozwe na mapenzi yangu mwenyewe. Nataka uyashikilie maisha yangu yaishi ndani ya utume wako. Mimi mwanao [Taja Jina Lako], nakuomba upokee sala hii. Niondoe kwenye ulegevu na uniweke kwenye nafasi yangu ya utumishi. Katika Jina la Yesu Kristo, Amen."
2. MISTARI YA BIBLIA YA KUSIMAMIA (Silaha za Neno)
(Soma mistari hii kwa sauti kuu)
- Waroma 12:11: "Msilegee katika bidii; muwe na moto katika roho zenu; mkamtumikie Bwana."
- Wagalatia 6:9: "Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia mioyo."
- 1 Wakorintho 15:58: "Basi, ndugu zangu wapendwa, msimame imara, msitikisike, mkazidi sana kufanya kazi ya Bwana sikuzote, kwa kuwa mnajua ya kwamba taabu yenu si bure katika Bwana."
3. SALA YA KUJIUGAMANISHA SADAKA na MAOMBI YA UTUMISHI
(Shika sadaka yako mkononi na useme:)
"Bwana, mimi ni mali yako na siyo mali ya mahangaiko ya dunia hii. Sadaka hii ninayoitoa ni ishara ya kujiunganisha (Connection) na utume uliouweka ndani yangu. Nakataa kuwa hasara mbele zako; nataka niwe faida kwa Ufalme wako.
Niumbe moyo mpya wa kukupenda na kukutumikia kwa bidii. Kupitia sadaka hii ninayoitoa kwenye madhabahu yako, ninaamsha moto wa utumishi ndani yangu. Ikanene mema na ikashuhudie mbele ya kiti chako cha enzi kuwa nimejitoa kwako kikamilifu. Katika Jina la Yesu, Amen."
4:MAELEKEZO YA SADANA NA MAWASILIANO YA KUONGEA NA PASTOR RICHARD
Baada ya maombi haya, toa sadaka yako kwa moyo wa ukunjufu kupitia njia zifuatazo:
- M-PESA: +255 759 861 768
- Airtel Money: +255 780 508 066
- Halo Pesa: +255 628 355 985
- Tigo Pesa (Mix by Yas): +255 710 889 892
- CRDB BANK: 0152361572400
- Jina litakalotokea: RICHARD JULIUS KUSHOKA
5;Hatua ya Mwisho:
Ukimaliza kutoa, nipigie simu au nitumie ujumbe WhatsApp kupitia +255 710 889 892 ili nikuombee na kukuunganisha kwenye kundi letu la mafundisho.
Pastor Richard(Bishop Richard)
Holy Spirit Church Tanzania, Makao Makuu – Morogoro Veta Dakawa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni