Jumamosi, 24 Januari 2026

LINK ZA Group 2026

     1  ✍๐Ÿพ KARIBU GROUP NAMBA1️⃣

Kinachopostiwa huku nikimoja na NAMBA 2️⃣Na3️⃣ Masomo yaleyale 
๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
Soma utaratibu ukiwa tayari joini kama haupo tayari puuza usijoin

UTARATIBU WA GROUP LETU 2026
MWAKA WA MAMLAKA. Luka;9:1

KANISA LA HOLY SPIRIT CHURCH TANZANIA
TUPO Morogoro ✍๐ŸพVeta Dakawa Tunawakaribisha

#UTANG:
Tafadhali Soma Utaratibu na Uwe Tayari Kufata ili Ufunguliwe kupitia Masomo tu ukiwa msomaji mzuri na msikilizaji Wa audio kwanza lazima Ufunguliwe na lazima Imani Yako ikue na kuongezeka. Hatuamini maji chumvi sukari vitambaa Imani yetu nikukufundisha mwenyewe ukajisimamia mwenyewe. Sisi Ni Holy Spirit Church Tanzania Makao Makuu Tupo Morogoro VETS DAKAWA.
KARIBUNI 2026

ADMIN: Ni Mmoja Tu Ambaye Ni Bishop Richard Tz Namba Take Itakayokuwa inawasiliana nawewe ni moja Tu nayo ni 0710889892

EPUKA MATAPELI WA MTANDAONI. 
Watakaokufata inbox kwa Namba nyigine au kuomba Pesa au Kukuchangisha Kitu chochote cha kutilia mashaka nifate inbox WhatsApp. 

MATUMIZI YA NDANI YA GROUP LETU. 

Group litapost Masomo Mbalimbali ,Audio na Maombi ya Kuandika Mbalimbali na Shuhuda Mbalimbali. 

MAMBO AMBAYO MWANAGROUPA UYAFANYE ILI UFUNGULIWE. 

1:Uwe Mtoto Wa Pastor Richard na Mwenye Msimamo na Madhabahu hii Moja Kufata Masomo na Maombi kujifunza nakuuliza maswali inbox Kama hujaelewa somo. Usihame hame Madhabahu hata ukitendewa. 

2:Uwe Mwaminifu Wa Fungu la Kumi Na Kutuma Kwa Uaminifu Kupitia maelekezo Tunayotoaga Kwenye Group Hatutakutambua kuwa Mtoto Wa Pastor Richard Kama hutoagi Fungu la Kumi na ukituma unipigie nikuombee Kataa Maisha ya Wizi Malawi:3:8-11

3:Uwe Mwaminifu Kujifunza Kujisimamia mwenyewe Siyo kulia Lia kuombewa ombewa Kataa Maisha ya unyonge Wa kumtengemea mchungaji akuombee Jifunze Mwenyewe. 

4;Kama Unakuwa na Matatizo au Unataka ushauri Wa Kiroho Huduma ya Kiroho Kuongea na Admin Pastor Richard (Bishop Richard) 
Unanifata Inbox Ya Admin Anayepost Masomo na magroup yote matatu ni Bishop Richard Tz. 
Admin ndiyo kiongozi na Askofu Wa Makanisa Ya Holy Spirit Church Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

5;IJUMAA HUWA SIKU YA MFUNGO MASAA 12 TUNAKUWA NA SADAKA YA MFUNGO NA KILA SIKU USIKU WA MANANE TUNAAMKA MAOMBI
Kuwa Mwaminifu Wa Kuomba Kadiri unavyoomba unapanda Viwango

MAOMBI NA MAFUNDISHO Ipo group Namba moja Namba mbili Namba Tatu. 
Haya Yote Yanasimamia Maono Ya Holy Spirit Church Tanzania Kukufundisha Kuomba na Kujisimamia mwenyewe. 
Hatulengi kukuombea ombea Tunalenga Ujue na Wewe kuomba. 

UTAFUNGULIWA KUPITIA MASOMO TU UNAPOJIFUNZA YATAKUFUNGUA VITU VINGI SANA. AYUBU:22:21
Fata tu huu Utaratibu. 

Soma huu mstari. 
Ayubu 22:21
Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia.

UKIWA MTU WA KUOMBEWA OMBEWA TAMBUA UTATESEKA SANA KIROHO SABABU UTAKUWA TENGEMEZI WA KIROHO UTAKUWA UNAMUONA MWANADAMU BAADALA NGUVU ZA MUNGU. 

KUWAUNGA WATU Bonyeza MAOMBI NA MAFUNDISHO Kisha nenda kwenye Neno Add+ Bonyeza hapo Waunge Watu Ukijoini humu ndani ya Group. 

Bonyeza hapa napokuonesha uingie kwenye Group LETU la Maombi๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

https://chat.whatsapp.com/FJj9rcj75YTGeP6ZZMYJTy

       2; ✍๐ŸพKARIBU GROUP NAMBA2️⃣

Kinachopostiwa huku nikimoja na NAMBA 1️⃣Na3️⃣ Masomo yaleyale 
๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
Soma utaratibu ukiwa tayari joini kama haupo tayari puuza usijoin

UTARATIBU WA GROUP LETU 2026
MWAKA WA MAMLAKA. Luka;9:1

KANISA LA HOLY SPIRIT CHURCH TANZANIA
TUPO Morogoro ✍๐ŸพVeta Dakawa Tunawakaribisha

#UTANG:
Tafadhali Soma Utaratibu na Uwe Tayari Kufata ili Ufunguliwe kupitia Masomo tu ukiwa msomaji mzuri na msikilizaji Wa audio kwanza lazima Ufunguliwe na lazima Imani Yako ikue na kuongezeka. Hatuamini maji chumvi sukari vitambaa Imani yetu nikukufundisha mwenyewe ukajisimamia mwenyewe. Sisi Ni Holy Spirit Church Tanzania Makao Makuu Tupo Morogoro VETS DAKAWA.
KARIBUNI 2026

ADMIN: Ni Mmoja Tu Ambaye Ni Bishop Richard Tz Namba Take Itakayokuwa inawasiliana nawewe ni moja Tu nayo ni 0710889892

EPUKA MATAPELI WA MTANDAONI. 
Watakaokufata inbox kwa Namba nyigine au kuomba Pesa au Kukuchangisha Kitu chochote cha kutilia mashaka nifate inbox WhatsApp. 

MATUMIZI YA NDANI YA GROUP LETU. 

Group litapost Masomo Mbalimbali ,Audio na Maombi ya Kuandika Mbalimbali na Shuhuda Mbalimbali. 

MAMBO AMBAYO MWANAGROUPA UYAFANYE ILI UFUNGULIWE. 

1:Uwe Mtoto Wa Pastor Richard na Mwenye Msimamo na Madhabahu hii Moja Kufata Masomo na Maombi kujifunza nakuuliza maswali inbox Kama hujaelewa somo. Usihame hame Madhabahu hata ukitendewa. 

2:Uwe Mwaminifu Wa Fungu la Kumi Na Kutuma Kwa Uaminifu Kupitia maelekezo Tunayotoaga Kwenye Group Hatutakutambua kuwa Mtoto Wa Pastor Richard Kama hutoagi Fungu la Kumi na ukituma unipigie nikuombee Kataa Maisha ya Wizi Malawi:3:8-11

3:Uwe Mwaminifu Kujifunza Kujisimamia mwenyewe Siyo kulia Lia kuombewa ombewa Kataa Maisha ya unyonge Wa kumtengemea mchungaji akuombee Jifunze Mwenyewe. 

4;Kama Unakuwa na Matatizo au Unataka ushauri Wa Kiroho Huduma ya Kiroho Kuongea na Admin Pastor Richard (Bishop Richard) 
Unanifata Inbox Ya Admin Anayepost Masomo na magroup yote matatu ni Bishop Richard Tz. 
Admin ndiyo kiongozi na Askofu Wa Makanisa Ya Holy Spirit Church Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

5;IJUMAA HUWA SIKU YA MFUNGO MASAA 12 TUNAKUWA NA SADAKA YA MFUNGO NA KILA SIKU USIKU WA MANANE TUNAAMKA MAOMBI
Kuwa Mwaminifu Wa Kuomba Kadiri unavyoomba unapanda Viwango

MAOMBI NA MAFUNDISHO Ipo group Namba moja Namba mbili Namba Tatu. 
Haya Yote Yanasimamia Maono Ya Holy Spirit Church Tanzania Kukufundisha Kuomba na Kujisimamia mwenyewe. 
Hatulengi kukuombea ombea Tunalenga Ujue na Wewe kuomba. 

UTAFUNGULIWA KUPITIA MASOMO TU UNAPOJIFUNZA YATAKUFUNGUA VITU VINGI SANA. AYUBU:22:21
Fata tu huu Utaratibu. 

Soma huu mstari. 
Ayubu 22:21
Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia.

UKIWA MTU WA KUOMBEWA OMBEWA TAMBUA UTATESEKA SANA KIROHO SABABU UTAKUWA TENGEMEZI WA KIROHO UTAKUWA UNAMUONA MWANADAMU BAADALA NGUVU ZA MUNGU. 

KUWAUNGA WATU Bonyeza MAOMBI NA MAFUNDISHO Kisha nenda kwenye Neno Add+ Bonyeza hapo Waunge Watu Ukijoini

Bonyeza hapa napokuonesha uingie kwenye Group LETU la Maombi๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

https://chat.whatsapp.com/KGQn5aH8CiwKNuGI8NgFgq

      3:KARIBU GROUP NAMBA3️⃣
Kinachopostiwa huku nikimoja na NAMBA 1️⃣Na2️⃣

Bonyeza hapa napokuonesha uingie kwa Group๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

https://chat.whatsapp.com/L4PQijdjZqQ2P1sYKYYPqe

NDOTO ZINASEMA KITU NDOTO Hii YA MAGRETH

 NDOTO ZINAVYOKUJULISHA KITU
KARIBU HII NDOTO YA MAGRETH 
LEO

KAOTA MAGRETH NDOTO HII

Shalom baba nimeota naenda kufanya mtihani ila kama wa kidato Cha nne sijui mtihani wa somo Gani asubuh nikawa nawauliza wenzangu ratiba ya mtihani ipoje na sikuwa nimejiandaa kusoma kwaajili ya mtihani
Ila nikawaza kuwa masomo yanayoanza na civics na mathematics nikawa nawaambia wenzangu sijasoma ila nitaujibu Ivo Ivo

TAFSIRI YA NDOTO TAKE AKAWA ANAAMBIWA HIVI

Unajulishwa unashindwa kuendelea Kwa kukosa kuwa makini na maelekezo au muongozo Wa jambo kulifata linalokuponya
     
  USHAHIDI ANAOUPITIA SAWASAWA NA NDOTO YAKE

Mimi baba natamani kuendelea vizuri kumjua Mungu zaidi ila nilipanga kuamka nashindwa nakuwa na usingizi mzito sana tofauti na siku za nyuma

   JIBU LA PASTOR RICHARD LIKAWA HIVI KUKUONGOZA CHA KUFANYA

Hii ni roho  unatakiwa uombee Imani yako Inakuzuia Kuomba Mwanangu Cha Kufanya ni hivi Uombee Imani yako

Baba  Katika Jina la Yesu Naamini Mimi ni moto Wa MAOMBI ndani Yangu ninafugua nguvu ya kuamka Maombi Usiku Wa Manane Nafugua Kinywa changu na maneno yakuomba Imani Yangu iongezeke Ipande juu nisimame Bwana Kama Mtumishi Wako Anavyotufundisha nataka na Mimi nikujue Zaidi sawasawa na 
๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐ŸฟAyubu;22:21
Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia.
Katika Jina la Yesu.Ameen
Rudia×7

HITIMISHO. 

Naamini nawewe Umejifunza Mtiririko Wa ndoto hii mpaka cha Kufanya Kumbe nini inawezekana nawewe hujui unaambiwa nini Nitumie inbox NDOTO Yako Naitwa Pastor Richard Kutoka Kanisa la Holy Spirit Church nipo Morogoro

WhatsApp Yangu +255710889892

Ijumaa, 2 Januari 2026

SOMO:AGANO LA DHABIHU

SOMO: AGANO LA DHABIHU

Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa
Tar. 3-1-2026

Rejea Kitabu. 
ZABURI;50 soma yote

Kutambua Agano la Sadaka yaitaji ufahamu mkubwa Wa Ki Mungu Watu Wengi Wanaishi nje ya Agano la Sadaka ndiyo maana Huwa wanamuona Mungu Kama Ananjaa au Wanawapa wachungaji na Hata akiwa Anasali kanisa limepasuka Ukuta na kwake kukawa kumepasuka ataanza kuziba UFA Wa nyumbani kwake. 

AGANO LA DHABIHU ni Patano lako na Mungu wako Katika Kujitoa Sadaka Kama vile. 
Malimbuko, Fungu la Kumi, Thamani, Shukurani, Nadhiri,Kujenga Madhabahu, Kuteketezwa Nk. 

HAPA unatakiwa Utoe Sadaka Mwenyewe Kwa Moyo usiokuwa Wa kulazimishwa Sasa Mpaka ufikie hicho kiwango Ujue   Moyo Wako Umepatana Na Mungu Kuona Umhimu Wa uhusiano wako uliopo Wa Sadaka na Mungu Kama hicho Kiwango hujafikia HUWEZI kuwa Mwaminifu Hata iweje AKILI Yako inawaza changamoto haioni Madhara IPO Mbele ikatolee Sadaka miungu Kuliko kuigusa Madhabahu ya Mungu kwa Sadaka 

SABABU ZA KUKOSA AGANO LA SADAKA

1:Mioyo yetu ipo mbali na Neno Kujifunza Tunataka Shortcut Nije uniombee niendelee na Mambo Yangu utaijuaje nguvu ya Sadaka si utaitoa tu Kama Desturi Siyo umeilewa.  Mfano wapo Watu wamekuta wazazi wanaotoaga Fungu la Kumi naye analitoa lakini Hana Elimu na Fungu hilo la Kumi. 

2:Kujifanya Tunajua na Tuko bize Inakufanya maombo ambayo yanakupa Uzima Wa Milele Kupuuza na Kushikilia Mambo yasiyoelimisha. 

3:Kukosa Masomo na Mafundisho Yanayotupa ufahamu Wa kuelewa VITU Mbalimbali vya Kiroho na Mwili. 

4:Madhabahu Zinazotuhudumia Zinakuwa Hazitujengi Kuelewa nguvu na Uwezo Mkubwa Wa Sadaka.

UMHIMU WA AGANO LA SADAKA

1:Utakuwa Mtoto Wa Mungu uliye hai Kiroho umekomaa. 

2:Utamfanya Mungu Ashughulike Yaani ipo hivi Sadaka Yako inavyotolewa inaweza kwa wakati huo Isitende lakini usifikiri haitaleta matokeo Wewe nikusubiri kwa Mungu. 

3;Baraka Mbalimbali Huvutwa na Sadaka

Mungu Anasema VITU vyote ni vyake kwa Hiyo unapomtolea Unamrudishia aliyekupa Hiyo KAZI Pesa Usitoe Kitu Umuone Mchungaji Au uone dhehebu Utoe na Umuone Mungu. 

Tupitie hii mistari Tujifunze Kitu 2026 Anza na Agano la Uaminifu Wa Sadaka Mbalimbali. 

Zaburi 50:12-17 

12:Kama ningekuwa na njaa singekuambia, Maana ulimwengu ni wangu, navyo viujazavyo.

 13:Je! Nile nyama ya mafahali! Au ninywe damu ya mbuzi!

 14;Mtolee Mungu dhabihu za kushukuru; Mtimizie Aliye juu nadhiri zako.

 15:Ukaniite siku ya mateso; Nitakuokoa, na wewe utanitukuza.

 16:Bali mtu asiye haki, Mungu amwambia, Una nini wewe kuitangaza sheria yangu, 
Na kuliweka agano langu kinywani mwako?

 17:Maana wewe umechukia maonyo, Na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.

TUNAFANYA NINI SASA
==≠{{{{{{========={{{

UKIYASOMA HAYA MAANDIKO Mungu anakuonyesha Kukuambia Utoe Dhabihu Siyo kuwa Yeye Ananjaa hapana anakutambua Wewe Mtu wake na Amekupa kilicho chake Kukupima Na Kuutazama Uaminifu Wako Kwake. 

Kuna Wakati Mungu Matengemeo yake alijua utakuwa na Agano na Sadaka Hautakuwa Mtoto msumbufu kwa Hiyo anapokuona vile Unampa maswali haya ajiulize. 

Basi Tuweke Agano la Dhabihu Tuwe Waaminifu kulitunza Agano letu na Mungu VITU VINGI Vitafunguka vyenyewe Tu. 

WITO WANGU

Nikukaribishe 2026 Tukatae Kuwa Watoto Wa Sumbufu Tukubali Kubadilika Mungu Anataka Tujifunze Tumjue Yeye Siyo Tuvijue alivyoviumba Tumjue Sana Yeye Mwenyewe Mungu ndiyo Tutakuwa na Baraka Mbalimbali. 

WASILIANA NAMI MWENYEWE PASTOR RICHARD
WhatsApp +255710889892

Piga Simu kawaida 0759861768

Share kwa unaotaka wajifunze kitu