Jumanne, 30 Desemba 2025

KWA HERI 2025

MAOMBI YA KUFUNGA MWAKA 2025. MWAKA WA KUTEMBEA KIBABE  (Mathayo;11;12) 

TUINGIE KUTEMBEA MWAKA 2026 MWAKA WA MAMLAKA LUKA:9:1

👇👇👇👇👆👆👆👆👆👈👈👈👉👉👉

   Sifa za Mshiriki Wa Maombi haya.

1:Aliyetayari Kuomba alipo kwa kufata maelekezo.

2.Anayetaka Mwakani Akasitiwi na kuchipua kila eneo.

MAMBO YA KUZINGATIA MAOMBI HAYA 

_____________________________________

1.Uwe na Sadaka ya Kufunga Mwaka na Kushukuru Mungu Kwa Yote aliyokutendea (Zaburi:92;1)

2.Uwe na Imani Katika Kile Unachoomba Kusema 2024 Tunaenda Kusitawi na Mungu.

(Warumi.10;17)

3.Tutaomba Na Kuimba Tenzi au nyimbo za kuabudu ulipo popote Tutaanza Saa.2;00 usiku mpaka Saa.6;00 usiku 

.

4.Moyo Wako uandae Kwa Ajili ya maombi na usifunge ni maombi ya bila Kufunga.

NAMNA YA UTAKAVYOOMBA MAOMBI HAYA.

Unaanza toba omba rehema kwa Mungu omba hivi.

OMBA TOBA

Ee Bwana Yesu nisamehe yote niliyokukosea Kuanzia January mpaka Sasa najua umenivumilia mambo mengi naomba unipe upendeleo tena nikawe miongoni mwa watakaositawi mwaka 2024 Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×3 Omba kwa machozi na uchungu.

UTANITUMIA INBOX WHATSAPP MAOMBI YAKO

OMBA KUFUNGA MWAKA 2025


JINA: RICHARD JULIUS KUSHOKA

NINAFUNGA MWAKA  2025

 Sitaki nikaone magonjwa mwilini mwangu 2026..
Sitaki nikawe Usingo 2026 Nataka ndoa
Sitaki nikaishi maisha kutengemea ndugu 2026
 Sitaki nikaishi.........endelea kuyakataa mambo ambayo hutaki ukayaone yanakufata 2026 ...Nikataa sitaki niyaone yakiingia mwaka 2026 na niliyoyakataa Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia mara 5

NAFUNGULIA MWAKA 2026
 Nikiingia nikiwa ndani ya ndoa nikiwa kwenye kazi nikiwa kwenye uchumi nikiwa kwenye huduma ya uchungaji........(Endelea kutamka unayotaka ukayaishi 2026)   Mwaka 2026 Nikawe na Mamlaka Kiroho na Kimwili Popote ninapotamka au kuishi Nikawe na nguvu ya Kiroho na Mwili

.Rudia ×10

KiSHA IMBA TENZI AU KUABUDU RUDIA TENA KUOMBA Tena ukimaliza unaabudu au kusifi unaomba Tena Maliza maombi kwenye Saa tano usiku au sita kamili.

BAADA YA KUMALIZA. 

Mwambie Mungu ni Mzuri Unamshukuru Tamka mara nyigi maneno Ansate Bwana Ansate Yesu


Tutaomba mtiririko huu Kuanzia Saa mbili USIKU mpaka Saa Sita Usiku

Jumatatu, 29 Desemba 2025

TICKET YA SILVIA

NEW SONGO EXP KYELA MCHANA 
Confirmed 
MOROGORO-MBEYA via IRINGA 
901903523642 
Trav date:2025-12-31 
Report:18:00 PM 
Dep time:18:30 PM 
Bus plate no:T 250 EHL 
Seat:3
Name:SILIVIA MAKISEBYUS MBAWALA 
Boarding point:MSAMVU BUS TERMINAL 
Dropping point:CHIMALA 
Fare:TSH 56,000.00 
BOOK ONLINE NOW
www.newsongo.co.tz

Jumanne, 16 Desemba 2025

SOMO; NGUVU YA KU FATA MAELEKEZO YA BABA WA KIROHO( MADHABAHU YAKO)

SOMO: NGUVU YA KU FATA MAELEKEZO YA BABA YAKO WA KIROHO (MADHABAHU YAKO) 

Kuna Watu Leo Wanatembea na Laana Za Baba Zao Wa Kiroho Au Madhabahu Zao Katika Kitu cha msingi Kwenye Maisha Usiipuuze Madhabahu Yako Mungu Akikupa Baba Wa Kukulea KIROHO na Kukuongoza Kiroho msikilize hata kama yupo mbali Nawewe Lakini anatimiza majukumu Yake kama Baba Anakufundisha anak ushauri na unions Matokeo anakulea Anasimama Nawewe Kipindi Kisumu mpaka unavuka. 

Mfano; Human Kazi baba Anasimama Nawewe mpaka unapata Kazi Kupitia Madhabahu Yake. 

Ukaolewa au ukaowa au Maisha Yako yakabadilika Huyo Baba usimuache. 


Misitari Hii Tusome. 

Kutoka 23:20-22 
 20;  Tazama, mimi namtuma malaika aende mbele yako, ili akulinde njiani na kukupeleka mpaka mahali pale nilipokutengezea.

21: Jitunzeni mbele yake, mwisikize sauti yake; wala msimtie kasirani; maana, hatawasamehe makosa yenu; kwa kuwa jina langu limo ndani yake.

 22:Lakini ukiisikiza sauti yake kweli, na kuyatenda yote ninenayo mimi; ndipo mimi nitakuwa ni adui wa adui zako, na mtesi wa hao wakutesao.


1:Baba Yako Wa Kiroho Mungu ndiye Anakuletea Akuvushe Kwenye mashimo Vipindi Vigumu nyakati Mbalimbali. 

Ukivuka Usianze Kubadilika kama wanaotafuta Ndoa wakiolewa Pastor Richard wanaanza kukudharau wanasahau Masomo yaliwavusha mpaka wengine huacha na Zaka Kutoa. 

2:SIKILIZA Maelekezo Yake Tu Maana Yamewekwa Na Mungu Mwenyewe. 

Kuna wengine unamuelekeza Anza kuwa Mwaminifu Wa Zaka  Ataanza Kweli Lakini Akishajibiwa anachokiomba Anaacha Kutoa Zaka. Tena Anaanza kukuambia natoa Kanisani kwangu Anasahau Madhabahu aliyopewa iwe inamvusha nyigine Anaenda Kutoa kwingine. 


3;Madhabahu Yako Ni Yako Tu inaweza Kuyabadilisha Maisha Yako na Kukunza Kiimami na kukuvusha mengi. 

Baba Wa Kiroho Mungu anakupa Yeye. Anaweza Kukupa akawa karibu Nawewe au mbali mfano upo dar unapata baba yuko kwanza kitakachofanyika Zaka lazima utoe Kwenye Madhabahu Ya Baba Wa Kiroho Sadaka zingine na michango utaitoa Madhabahu unayoabudia. 

Zaka Pekee Haitolewi Ovyo ovyo Hatutoi Kwenye Dini au Dhehebu au Kanisa Tunatoa kwa Baba Wa Kiroho ndio Madhabahu yetu. 

Mtu anaweza Akawa Anaoaga Zaka Sana kumbe anatoa Kwenye Dini au Kanisa au Dhehebu Kumbe hatoi kwa Baba Wa Kiroho 

Maisha Bila kulijua hili ni mbaya mno. 


Nifate WhatsApp inbox niulize nikuelekeze uishi Maisha ya Ushindi Wa Kiroho+255710889892
Naitwa Pastor Richard

Share hii Post Kwenye Na group yako

Jumamosi, 13 Desemba 2025

SOMO:MAMBO YA MSINGI MCHUNGAJI KUTIMIZA JUKUMU ALILOITIWA.

SOMO: MAMBO YA MSINGI MCHUNGAJI. 

Naitwa  Pastor Richard Nipo Morogoro
Kanisa la Holy Spirit Moto Wa Yesu. 

Hapa kuna mambo ya msingi ambayo kila mchungaji anapaswa kuzingatia ili kufanikiwa katika Wito Wake au kwenye huduma Yake. 


1. Uhusiano wa Kibinafsi na Mungu

Vitabu:Zaburi:39:12, Yeremia:31:9, 1Petro:31:9
2Samweli:22:36

Huu ndio msingi wa kila kitu. Mchungaji hawezi kuwapa watu kile ambacho hana.
  • Maisha ya Maombi: Kuwa na muda thabiti wa kuzungumza na Mungu.
  • Kujifunza Neno: Kusoma Biblia si kwa ajili ya kutayarisha mahubiri tu, bali kwa ajili ya kukuza nafsi yake mwenyewe.
  • Unyenyekevu: Kutambua kuwa yeye ni chombo tu na utukufu wote ni wa Mungu.
2. Tabia na Maadili. 
••••••••"""""""""""""""•••••••••"""""""""•••••
Waebrania 13:5
 Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, Sitakupungukia kabisa, wala sitakuacha kabisa.
•••••"""""""""""••••••••••""""""""""••••••••

1 Wakorintho 15:33
Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema.



Sifa ya mchungaji ni mtaji wake mkubwa zaidi. Akipoteza uaminifu, huduma inakufa.
  • Uaminifu: Kuwa mkweli katika maneno na matendo, hasa katika masuala ya fedha na mahusiano.
  • Kujitawala: Kuwa na kiasi katika mambo yote na kuepuka kashfa.
  • Mfano wa Kuigwa: Maisha yake ya faragha yanapaswa kuakisi mahubiri yake ya hadharani.
3. Upendo na Uhusiano na Watu
•••••°°°°°°°°==========

1 Wakorintho 13:4
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;

••••••√"""""""•••••••√""""""""
Mchungaji ni mchungaji wa "kondoo." Hawezi kuchunga asiyewajua au asiyewapenda.
  • Huruma: Kuwa na moyo wa kujali wenye uhitaji, wagonjwa, na waliokata tamaa.
  • Ukarimu: Kuwa mtu anayefikika na mwenye kutoa msaada wa kiroho na ushauri.
  • Unyenyekevu katika Huduma: Kuwatumikia wengine badala ya kutaka kutumikiwa.
4. Mafundisho na Elimu
Mithali:8:33 Marko;4:2

Mithali 23:23
Inunue kweli, wala usiiuze; Naam, hekima, na mafundisho, na ufahamu..

1 Timotheo 4:16

Jitunze nafsi yako, na mafundisho yako. Dumu katika mambo hayo; maana kwa kufanya hivyo utajiokoa nafsi yako na wale wakusikiao pia.

Katika ulimwengu wa sasa wenye habari nyingi (na potofu), mchungaji anapaswa kuwa na maarifa sahihi.
  • Mafundisho ya Kweli: Kuhubiri neno la Mungu bila kulipotosha ili kufurahisha watu.
  • Kujiongeza Maarifa: Kusoma vitabu, kuhudhuria semina, na kuelewa mabadiliko ya kijamii ili kutoa majibu ya kimaandiko kwa changamoto za kisasa.
  • Mawasiliano: Uwezo wa kufundisha kwa lugha inayoeleweka na kugusa maisha ya watu.
5. Uongozi na Utawala

Kutoka:3:3-7 Wakolosai:2:23

   Ayubu 37:12
Nalo hugeuzwa huku na huku kwa uongozi wake, Ili yafanye yote atakayoyaagiza Juu ya uso wa dunia hii ikaayo watu;


Kanisa ni taasisi inayohitaji mpangilio.
  • Maono: Kuwa na mwelekeo wa wapi anaongoza kundi la Mungu.
  • Kujenga Timu: Kutambua vipawa vya wengine na kuwapa nafasi ya kutumika (kugawa madaraka).
  • Usimamizi wa Rasilimali: Kuhakikisha rasilimali za kanisa (muda, fedha, na watu) zinatumika k1. Uhusiano wa Kibinafsi na Mungu

6. Maisha ya Familia. 
            1 Timotheo 3:5

Maana kama mtu hawezi kuongoza vema nyumba yake, atawezaje kulitunza kanisa la Mungu?


Biblia inasisitiza kuwa mchungaji lazima auongoze vyema nyumba yake kwanza

  • Muda kwa Familia: Kutokuitelekeza familia kwa kisingizio cha huduma.
  • zi.
Malezi: Kuwa mfano bora wa mume/mke na mza


7. Afya ya Akili na Mwili

Mchungaji ni binadamu. Ili atumike kwa muda mrefu, anapaswa kujijali.
  • Pumziko: Kupata muda wa kupumzika ili kuepuka kuchoka kupitiliza (burnout).

  • Afya ya Mwili: Kula vizuri na kufanya mazoezi.
Hitimisho:

Mchungaji anapaswa kuwa na usawa kati ya "Kiroho" (uhusiano na Mungu) na "Utu" (uhusiano na watu na kujitunza). Huduma yenye nguvu inatokea pale ambapo mchungaji anatembea katika Roho huku akionyesha nidhamu ya hali ya juu katika maisha yake ya kila siku.

Jumatatu, 8 Desemba 2025

MALIPO YA BARAGANZA NYUMBA YA BOMBANI MAJENGO MAPYA.

TAR.8/12/2025 Nimetuma 100,000

Ufafanuzi Tar 8/12/2025 Nilituma 97000/=
Tar. 9/12/2025 Nilituma 10000/=

Umetuma kikamilifu TSh 100,000 kwenda kwa Halopesa HASSANI SHABANI SALUGIZE-255616334322. Jumla ya makato TSh 1,125, VAT TSh 172. Salio jipya ni TSh2,841. Namba ya muamala: 25585077023624. Risiti: 506-3948009588. 08/12/25 15:16. KILA HATUA MIXX


. TAR. 2/2/2025 Nimetuma 54000 Kwa Baragaza

DA25M2JMM03 Imethibitishwa. Tsh54,000.00 imetumwa kwa TIPS-HALOTEL kwenye akaunti namba 255616334322 tarehe 2/1/26 saa 6:25 PM Ada Jumla Tsh495.00 (M-Pesa Ada Tsh495.00 + TOZO ya Serikali Tsh0.00). Salio lako la M-Pesa ni Tsh30


Tar. 04/03/2025 Nimetuma 257000 Ambapo Jumla Imekuwa 400000 (Laki 4) 

Umetuma kikamilifu TSh 257,000 kwenda kwa Halopesa HASSANI SHABANI SALUGIZE-255616334322. Jumla ya makato TSh 1,710, VAT TSh 261. Salio jipya ni TSh8,888. Namba ya muamala: 26994350297898. Risiti: 506-6062481566161538. 04/03/26 13:22. KILA HATUA MIXX

Tar. 10-3-2025 Nimtuma 83 imekuwa 480000

Umetuma kikamilifu TSh 83,000 kwenda kwa Halopesa HASSANI SHABANI SALUGIZE-255616334322. Jumla ya makato TSh 1,125, VAT TSh 172. Salio jipya ni TSh6,436. Namba ya muamala: 26806550626950. Risiti: 506-6068438138492127. 10/03/26 12:10. KILA HATUA MIXX


Jumla mpaka Sasa. 480000/=