Kuna Watu Leo Wanatembea na Laana Za Baba Zao Wa Kiroho Au Madhabahu Zao Katika Kitu cha msingi Kwenye Maisha Usiipuuze Madhabahu Yako Mungu Akikupa Baba Wa Kukulea KIROHO na Kukuongoza Kiroho msikilize hata kama yupo mbali Nawewe Lakini anatimiza majukumu Yake kama Baba Anakufundisha anak ushauri na unions Matokeo anakulea Anasimama Nawewe Kipindi Kisumu mpaka unavuka.
Mfano; Human Kazi baba Anasimama Nawewe mpaka unapata Kazi Kupitia Madhabahu Yake.
Ukaolewa au ukaowa au Maisha Yako yakabadilika Huyo Baba usimuache.
Misitari Hii Tusome.
Kutoka 23:20-22
20; Tazama, mimi namtuma malaika aende mbele yako, ili akulinde njiani na kukupeleka mpaka mahali pale nilipokutengezea.
21: Jitunzeni mbele yake, mwisikize sauti yake; wala msimtie kasirani; maana, hatawasamehe makosa yenu; kwa kuwa jina langu limo ndani yake.
22:Lakini ukiisikiza sauti yake kweli, na kuyatenda yote ninenayo mimi; ndipo mimi nitakuwa ni adui wa adui zako, na mtesi wa hao wakutesao.
1:Baba Yako Wa Kiroho Mungu ndiye Anakuletea Akuvushe Kwenye mashimo Vipindi Vigumu nyakati Mbalimbali.
Ukivuka Usianze Kubadilika kama wanaotafuta Ndoa wakiolewa Pastor Richard wanaanza kukudharau wanasahau Masomo yaliwavusha mpaka wengine huacha na Zaka Kutoa.
2:SIKILIZA Maelekezo Yake Tu Maana Yamewekwa Na Mungu Mwenyewe.
Kuna wengine unamuelekeza Anza kuwa Mwaminifu Wa Zaka Ataanza Kweli Lakini Akishajibiwa anachokiomba Anaacha Kutoa Zaka. Tena Anaanza kukuambia natoa Kanisani kwangu Anasahau Madhabahu aliyopewa iwe inamvusha nyigine Anaenda Kutoa kwingine.
3;Madhabahu Yako Ni Yako Tu inaweza Kuyabadilisha Maisha Yako na Kukunza Kiimami na kukuvusha mengi.
Baba Wa Kiroho Mungu anakupa Yeye. Anaweza Kukupa akawa karibu Nawewe au mbali mfano upo dar unapata baba yuko kwanza kitakachofanyika Zaka lazima utoe Kwenye Madhabahu Ya Baba Wa Kiroho Sadaka zingine na michango utaitoa Madhabahu unayoabudia.
Zaka Pekee Haitolewi Ovyo ovyo Hatutoi Kwenye Dini au Dhehebu au Kanisa Tunatoa kwa Baba Wa Kiroho ndio Madhabahu yetu.
Mtu anaweza Akawa Anaoaga Zaka Sana kumbe anatoa Kwenye Dini au Kanisa au Dhehebu Kumbe hatoi kwa Baba Wa Kiroho
Maisha Bila kulijua hili ni mbaya mno.
Nifate WhatsApp inbox niulize nikuelekeze uishi Maisha ya Ushindi Wa Kiroho+255710889892
Naitwa Pastor Richard
Share hii Post Kwenye Na group yako
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni