MAOMBI YA KUFUNGA MWAKA 2025. MWAKA WA KUTEMBEA KIBABE (Mathayo;11;12)
TUINGIE KUTEMBEA MWAKA 2026 MWAKA WA MAMLAKA LUKA:9:1
👇👇👇👇👆👆👆👆👆👈👈👈👉👉👉
Sifa za Mshiriki Wa Maombi haya.
1:Aliyetayari Kuomba alipo kwa kufata maelekezo.
2.Anayetaka Mwakani Akasitiwi na kuchipua kila eneo.
MAMBO YA KUZINGATIA MAOMBI HAYA
_____________________________________
1.Uwe na Sadaka ya Kufunga Mwaka na Kushukuru Mungu Kwa Yote aliyokutendea (Zaburi:92;1)
2.Uwe na Imani Katika Kile Unachoomba Kusema 2024 Tunaenda Kusitawi na Mungu.
(Warumi.10;17)
3.Tutaomba Na Kuimba Tenzi au nyimbo za kuabudu ulipo popote Tutaanza Saa.2;00 usiku mpaka Saa.6;00 usiku
.
4.Moyo Wako uandae Kwa Ajili ya maombi na usifunge ni maombi ya bila Kufunga.
NAMNA YA UTAKAVYOOMBA MAOMBI HAYA.
Unaanza toba omba rehema kwa Mungu omba hivi.
OMBA TOBA
Ee Bwana Yesu nisamehe yote niliyokukosea Kuanzia January mpaka Sasa najua umenivumilia mambo mengi naomba unipe upendeleo tena nikawe miongoni mwa watakaositawi mwaka 2024 Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×3 Omba kwa machozi na uchungu.
UTANITUMIA INBOX WHATSAPP MAOMBI YAKO
OMBA KUFUNGA MWAKA 2025
JINA: RICHARD JULIUS KUSHOKA
NINAFUNGA MWAKA 2025
Sitaki nikaone magonjwa mwilini mwangu 2026..
Sitaki nikawe Usingo 2026 Nataka ndoa
Sitaki nikaishi maisha kutengemea ndugu 2026
Sitaki nikaishi.........endelea kuyakataa mambo ambayo hutaki ukayaone yanakufata 2026 ...Nikataa sitaki niyaone yakiingia mwaka 2026 na niliyoyakataa Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia mara 5
NAFUNGULIA MWAKA 2026
Nikiingia nikiwa ndani ya ndoa nikiwa kwenye kazi nikiwa kwenye uchumi nikiwa kwenye huduma ya uchungaji........(Endelea kutamka unayotaka ukayaishi 2026) Mwaka 2026 Nikawe na Mamlaka Kiroho na Kimwili Popote ninapotamka au kuishi Nikawe na nguvu ya Kiroho na Mwili
.Rudia ×10
KiSHA IMBA TENZI AU KUABUDU RUDIA TENA KUOMBA Tena ukimaliza unaabudu au kusifi unaomba Tena Maliza maombi kwenye Saa tano usiku au sita kamili.
BAADA YA KUMALIZA.
Mwambie Mungu ni Mzuri Unamshukuru Tamka mara nyigi maneno Ansate Bwana Ansate Yesu
Tutaomba mtiririko huu Kuanzia Saa mbili USIKU mpaka Saa Sita Usiku
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni