NDOTO ZINAVYOKUJULISHA KITU
KARIBU HII NDOTO YA MAGRETH
LEO
KAOTA MAGRETH NDOTO HII
Shalom baba nimeota naenda kufanya mtihani ila kama wa kidato Cha nne sijui mtihani wa somo Gani asubuh nikawa nawauliza wenzangu ratiba ya mtihani ipoje na sikuwa nimejiandaa kusoma kwaajili ya mtihani
Ila nikawaza kuwa masomo yanayoanza na civics na mathematics nikawa nawaambia wenzangu sijasoma ila nitaujibu Ivo Ivo
TAFSIRI YA NDOTO TAKE AKAWA ANAAMBIWA HIVI
Unajulishwa unashindwa kuendelea Kwa kukosa kuwa makini na maelekezo au muongozo Wa jambo kulifata linalokuponya
USHAHIDI ANAOUPITIA SAWASAWA NA NDOTO YAKE
Mimi baba natamani kuendelea vizuri kumjua Mungu zaidi ila nilipanga kuamka nashindwa nakuwa na usingizi mzito sana tofauti na siku za nyuma
JIBU LA PASTOR RICHARD LIKAWA HIVI KUKUONGOZA CHA KUFANYA
Hii ni roho unatakiwa uombee Imani yako Inakuzuia Kuomba Mwanangu Cha Kufanya ni hivi Uombee Imani yako
Baba Katika Jina la Yesu Naamini Mimi ni moto Wa MAOMBI ndani Yangu ninafugua nguvu ya kuamka Maombi Usiku Wa Manane Nafugua Kinywa changu na maneno yakuomba Imani Yangu iongezeke Ipande juu nisimame Bwana Kama Mtumishi Wako Anavyotufundisha nataka na Mimi nikujue Zaidi sawasawa na
👉🏿👉🏿Ayubu;22:21
Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia.
Katika Jina la Yesu.Ameen
Rudia×7
HITIMISHO.
Naamini nawewe Umejifunza Mtiririko Wa ndoto hii mpaka cha Kufanya Kumbe nini inawezekana nawewe hujui unaambiwa nini Nitumie inbox NDOTO Yako Naitwa Pastor Richard Kutoka Kanisa la Holy Spirit Church nipo Morogoro
WhatsApp Yangu +255710889892
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni