DARASA LA NDOA
SOMO: MAISHA YA NDOA YA KIKRISTO
Sifa Muhimu za Ndoa Imara ya Kikristo:
1:Kujitengemea: "Mwanamume atamwacha babaye na mamaye..." - Mwanzo 2:24
2:Upendo wa Kweli: "Waume, wapendeni wake zenu..." - Waefeso 5:25
3:Kufurahi Pamoja: "Furahi pamoja na mke wa ujana wako." - Mithali 5:18
4:Kuvumiliana: "Mkichukuliana katika upendo..." - Waefeso 4:2-3
5:Umoja Usiovunjika: "Alichokiunga Mungu, mwanadamu asikitenganishe." - Marko 10:9
6;Kujitolea Kamili: "Nitie kama muhuri juu ya moyo wako..." - Wimbo 8:6-7
7;;Kuheshimu Agano: "Ndoa na iheshimiwe na watu wote..." - Waebrania 13:4
8;;Ushirikiano: "Njia ya mwanamume pamoja na msichana." - Mithali 30:18-19
9:Tabia Njema: "Mke mwema...thamani yake yapita kima cha marijani." - Mithali 31:10
10;Kusaidiana: "Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja..." - Mhubiri 4:9-11
11;Kutokuwa na Ubinafsi: "Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja." - Mathayo 19:6
12;Busara: "Vivyo hivyo, ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili..." - 1 Petro 3:7
13;Kudumu Katika Ndoa: "Maana mimi nachukia kuachana..." - Malaki 2:16
14;Uaminifu: "Popote utakakokwenda nitakwenda..." - Ruthu 1:16-17
15:Upendo Usio na Masharti: "Amri mpya nawapa, Mpendane..." - Yohana 13:34
16:Kutunza Agano: "Nawe ulimtenda mkeo kwa hila..." - Malaki 2:14-15
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni