DARASA LA UCHUMBA
SOMO: MWANAUME HATAKI AONE HAYA KWA MWANAMKE ANAYETAKA AMUOWE.
Mithali:12:1-5 Mithali:14:1
Kuna Wakati Wanawake Wanawafanya Wanaume Hata Kama Walikuwa na Malengo nao Wafunge Ndoa Wanaogopa Kuchukua hatua hizo Haraka Kutokana Na Mambo Haya Matano Mwanamke kutokuviacha.
.
Karibuni Ufuguke Ufahamu Na Ukaolewe ulete Kicheko Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro Ndio nakuletea Elimu hii.
1:Mwanamke Mwenye Dharau na Anayejisikia Kuwa Mwanaume Kampenda Zaidi Kuliko Wengine.
Yaani Mwanamke usije ukaanza Kumdharau Mwanaume aliyekupenda au Kujiona Wewe kakupendea labda uzuri wako labda shepu yako utamfanya Mwanaume Agairi kukuowa akuweke Ndani. Mwanaume hapendi Mwanamke Mwenye Dharau na Majibu Sms za Dharau Anapokuwa naye.
2;Mwanamke Mwenye Mazoea Na Jinsia Za Kiume Kila Akiitwa na Wanaume anaenda Tu Mwanamke Mwenye Makundi Ya Marafiki.
Mwanaume huanza Kujiwekea Tahadhari Kabla Mke hajaenda kumtolea mahari na Kama Anakupenda Atakuambia Sitaki Mawasiliano na Wanaume au Mazoea Wewe ukiendelea kwa Siri Siku Anapokuja kujua rahisi kukuacha.
Usifikirie Mwanaume kukutolea mahali Ndio ukazani kakupenda Hawezi kukuacha Usipojirekebisha anaweza kukubali gharama akagairi kukuowa..
3:MWANAMKE AMBAYE hataki Kuziacha Tabia Zinazomuuzi Mchumba Wake. Mfano Eidha mavazi Fulani hapendi Wewe unaendelea kuvaa au Hataki umchanganye na Wachunba Wa Zamani Wewe unaendelea Kuna Tabia Tabia Utaona anakuelekeza Kuwa Hazipendi Acha Ujue Huyo Mwanaume anataka Uwe Mke wake.
4:MWANAMKE ASIYE NA IBADA NA MUNGU.
Mwanamke ambaye Kanisani haendi Mambo ya Mungu kwake mzito Anapenda Starehe Vigodoro nk
Mwanaume anaweza Kukuacha kisa Tu Huna ibada na Mungu.
5;Mwanamke Pesa kuliko Utu.
Mwanamke Anayekimbilia Pesa kuliko Utu Siku ukiwa Huna HeLa atavutwa na Mwanaume Mwingine.
HITIMISHO
Ukiwa Kwenye Mahusiano Mwanamke au Mwanaume Acha Kwenda rohoni rohoni na Usichukulie Swala la Kawaida Mwanaume Kukupenda Wewe Achana na Wachunba Wa Zamani Nyoka na Uliyempenda Ambaye hujampenda Mwambie Asikusumbua Wanaume Hawapendi Uwachanganye Wanaume Wawili Hawapendi MTU Muongo Kama Humpendi Mwambie Ukweli Asile gharama ya kukuhudumia akijua Atakuowa kumbe Unampotezea Muda.
Ukiishi na dhana Wanaume hawa Wote watatu au Wawili Ninaweza Kuwachanganya Na Wasijuane Elewa watakuja kujuana Halafu utawakosa Wote Utabaki Umepoteza hata Yule Uliyempenda Sana. Nyoka Kwenye UCHUMBA ili Ujenge Ndoa nzuri MTU ASIYE na Mambo mengi.
Code hii chukua uvuke.
Wito
Wasiliana na Mimi nikushauri au kukuelekeza uvukaje Naitwa Mwalimu Wa Wanandoa Pastor Richard+255710889892 hii Namba ya WhatsApp
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni