MWALIKO WA BARAKA: UJENZI WA NYUMBA YA BWANA HOLY SPIRIT CHURCH MBEYA - CHIMALA
"Twende mlimani, tukalete miti, tukaijenge nyumba; nami nitaifurahia, nami nitatukuzwa, asema Bwana." — Hagai 1:8
Mpendwa Mtoto wa Mungu,
Ninaitwa Pastor Richard Ni Mbeba Maono haya Wa makanisa ya Holy Spirit Church Tanzania Mwaka huu Tumeigia Mara Musoma Tumeigia Na Mbeya Tupo Chimala
Napenda kukushirikisha fursa hii ya kipekee ya kupokea baraka kupitia ujenzi wa Kanisa la kuanzia kule Mbeya, Chimala.Ambalo Kuanzia Tarehe Ya Leo Tunaanza Kukusanya Ujenzi Wa Kanisa.
HALI HALISI NA MAONO YETU
Kwa sasa, kazi ya Mungu kule Mbeya imeanza lakini mazingira ni magumu. Watumishi wa Mungu bado wako chini ya maturubai; mvua ikinyesha huduma inasumbuka sana. Maono ya Holy Spirit Church Mbeya ni kukamilisha jengo hili la kuanzia ndani ya miezi miwili tu (Mwisho wa mwezi wa Sita).
Kama tulivyoweza kujenga kanisa kubwa Dar es Salaam ndani ya miezi mitatu, tunaamini kuwa Milioni Mbili (2,000,000/=) kwa ajili ya mradi huu wa Mbeya ni jambo linalowezekana kwa ushirikiano wetu.
JINSI YA KUSHIRIKI
Tunakuhimiza uibebe kazi hii kwa uchungu na upendo mkubwa. Kila shilingi unayotoa ni tofali la kiroho katika madhabahu hii.
Namba za Kuchangia:
- M-PESA: 0759 861 768
- Tigo Pesa: 0710 889 892
- Airtel Money: 0780 508 066
- Halo Pesa: 0628 355 985
- CRDB BANK: 0152 361 572 400
Jina la Akaunti: RICHARD JULIUS KUSHOKA
MISTARI YA KUKUTIA MOYO
- 2 Wakorintho 9:7:
- "Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu."
- Mithali 3:9-10:
- "Mheshimu Bwana kwa mali yako, na kwa malimbuko ya mazao yako yote; ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi..."
- Wagalatia 6:9:
- "Tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho."
MAELEKEZO MUHIMU:
Baada ya kutuma sadaka yako ya ujenzi, tafadhali nipigie simu moja kwa moja kunijulisha kuwa ni mchango wa ujenzi wa Mbeya.
Video hii hapa chini inamwonyesha kijana wangu, Pastor Gidion, aliyeko site Mbeya kwa ajili ya kukamilisha wito huu. Tazama, tafakari, na uamue kuwa sehemu ya historia hii ya kiungu.
Mwisho wa zoezi hili ni Mwezi wa Sita. Mungu akubariki sana unapojitoa!
Waambie na Wengine Wanaoipenda Kazi Ya Mungu injili Isonge mbele.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni