Jumanne, 26 Desemba 2023

MAOMBI YA KUSHUGHULIKIA MATAMSHI

MAOMBI YA KUSHUGHULIKIA  MATAMSHI YA LAANA ULIYOWAHI KUTAMKIWA AU KUJITAMKIA.
🗣🗣🗣🗣🗣🗣
UFAFANUZI MFUPI:

Kuna Watu Wanateseka Leo Kupitia Matamshi mbalimbali waliowahi kutamkiwa na watu au kujitamkia wenyewe  Adui huweka kwako kama mtengo kipindi uwapo na ghadhabu au hasira unaweza kumtamkia mtu maneno mabaya yenye kumfuga naye kwakuwa hajui Kujifungua inakuja hiyo hali anaipitia kweli Leo hii Nataka ukajifungue mwenyewe kwa kuomba maombi haya.

Tafadhali haya maombi kama yanakulenga omba na uwe tayari simama umalize siku kumi wapo watu wanasoma tu kuomba haombi halafu  Anateseka kuomba huombi jifunze kuomba.

MAMBO YAZINGATIE KABLA YA KUOMBA. 

1.Hakikisha Upo tayari na Moyo wako upo tayari Kuomba.

2.Maombi haya Utayaomba Usiku tu muda wowote uliotulia kwako Utaomba Siku 10 Mfululizo 

3.Utaandaa Sadaka Yako Ya Kujitenga na Matamshi Mbalimbali Ambayo Utaituma Siku ya Kumaliza Maombi na Unanipigia Sadaka ni kiasi unachoona wewe cha faa Kumtolea Mungu Wako.

4.Ukijifungua Usijifunge tena au Kujitamkia laana mtu yeyote akikutamkia vibaya Sema kwangu haitakuwa.

5 UTAOMBA KWA KUFATA MUONGOZO NA MAELEKEZO HAPA CHINI NINAYOKUPA.


A:MAOMBI YA KUANZA NAYO OMBEA KINYWA CHAKO

SOMA; Kumb.Torati:32:1-10 Kabla hujaanza kuomba


MSTARI WA KUSIMAMIA;
Kumbukumbu la Torati 32:1
[1]Sikilizeni, enyi mbingu, nami nitanena; 
Na nchi isikie maneno ya kinywa changu. 


1;Nakifungua Kinywa changu Kitoke Kwenye Kila Namna Ya Matamshi Yasiyompa Bwana Utukufu Kuanzia Leo Kwa Jina la Yesu.Amen
Rudia ×3

2:Bwana Kinywa changu kifundishe kiwe na nguvu ya kuangusha falme na Anga zote za maadui Wanaopitia Kinywa changu Kutaka Kunitesa au Kunitumikisha niwe natoa Lugha chafu maneno mabaya kwa watu Eeh Bwana nisaindie Kuniongoza katika maneno Safi katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×4


3;Endelea uombe ukatae kinywa chako kutumika kuwalaani wengine au kujilaani omba tu maneno yanayokuja Tumia Dakika 10.


.B.LANGO LA KINYWA LINALOPITISHA MANENO MACHAFU YATOKE KINYWANI MWAKO.

Kila neno unalotoa kinywani mwako inatengemea na lango hili limefungulia liwe lango la Kinywa cha Kumsifu shetani na kutoa maneno yake utakuta mtu ameokoka anatukana na anaongea maneno machafu kuwatamkia wengine 

Kama ukifungua lango la Mungu litawale kinywa chako utatoa maneno yaliyo mema yenye kumpa sifa Bwana.

OMBA HIVI KUFUNGA LANGO.

1 Nafunga Kila lango la Kinywa cha laana Nafunga kila nguvu za lango la kinywa cha maneno mabaya kuanzia Leo nafungua kinywa changu kiwe lango la Roho Mtakatifu Nikataoe maneno yenye kuponya nafsi za watoto wa Mungu nikakemee uovu nakukaripia kila kitu kinachoenda kinyume na Elimu ya Mungu Kwa Mamlaka Ya Jina la Yesu Amen

Omba hapa rudia ×7



C.MADHABAHU YA KINYWA CHAKO.

Hili katika ulimwengu wa kiroho ni mahusiano kati yawewe ulivyo na Yale maneno unayoyatoa huwezi ukatoa lugha chafu au maneno machafu ya kumlaani Mtu kama hayana uhusiano nawewe mtakaji.


OMBA HIVI.
.
1.Kila Madhabahu Ndani ya Kinywa changu iliyoweka maneno mabaya au matamshi ya kujifunga mwenyewe au kuwafunga wengine natamka ivunjike ivunjike ivunjike kwa kila eneo ilipojishikiza ndani yangu kuanzia Leo najitakasa kwa Damu Ya Yesu Katika Jina la Yesu.Amen 

Omba Rudia ×5

.
D.ULIZI WA KINYWA. 

Ulizi wa Kinywa katika ulimwengu wa roho namanishi ni kile mtu anapenda kukitumia kujihami nacho wapo watu mfano wachawi anakuambia tutaona kama kesho utaamka Salama Hautakuja kuolewa.

Ulizi ndiyo kifungo chenyewe Mfano Tutaona Au hutaolewa au hutapanda daraja au cheo lile neno la kwanza kwakuwa kukupinga ni ulizi tosha kila utakapotaka utoke lile neno linakurundisha nyuma tena hata akija kufa litaendelea kukutesa labda ufundishwe somo la vifungo ndio utafunguka.


OMBA HIVI.

1;Nakataa Kila Maneno ambayo yalitamkwa kufunga maisha yangu Kila Matamshi Nayachoma Moto Yaugue Yaugue nayachoma nayachoma yateketee kabisa kwa Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×2

2.Nashusha shoka likate kila ulizi wa matamshi ambayo nilitamkiwa au kijitamkia Kwa Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×2

3:Nafyeka Nafyeka kila ulizi uliouzunguka kinywa changu ulizi wa matamshi mabaya ndani ya kinywa nakitakasa kwa Damu ya Yesu Kitakasike nataka kinywa changu utoe maneno yenye kumtukuza Mungu siyo kunug unika au kujikatia tamaa maneno ya kushindwa hayatatoka kinywani Mwangu Kuanzia Leo Kila Nikitamka Nitoe maneno mema Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×4

4.Omba endelea maneno Roho Anayokupa omba ndani dakika 10.


E.JITAMKIE USHINDI NA BARAKA

Ni vyema maishani mwako ujifunze kujitamkia ushindi kila eneo unaloona huwezi au kushindwa.

Watu wengi Shetani Anawaweza Kuwapiga Kwa Sababu huwa wanapoona Wanapita Kwenye Wakati mgumu wanaanza kulaani siku ya kuzaliwa Kwao Wanaona Kama hawana thamani bila kujua adui anapitia kinywa chao kuwaingia na Kuwatesa Zaidi ili wafikie hatua watende dhambi kabisa 

OMBA HIVI 

1.Mimi Pastor Richard Nimtumishi mkubwa nakataa kutumika katika mazingira ya viwango vya kawaida viwango vyangu vikawe vya Kimataifa Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×4

2.Kuwa na Biashara ndogondogo mimi nakataa nataka niwe mfanyabiashara mkubwa kwa Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×3

3.Maisha ya Kuwa naomba omba ndugu zangu mimi sijawa omba omba Kuanzia Leo roho ya kuomba omba ninakuamuru ondokaaa ndani yangu mimi nimebarikiwa kuanzia Leo ndugu zangu ndio watakaoniomba nakuwasaindia Kwa Jina la Yesu.AMEEN 

Rudia ×3

4.Namka Nguvu ya Maombi kwangu haitashuka wala kupugua nitakuwa fayaa hatari na kinywa changu kitoe maombi yenye Nguvu ya Kuhamisha kila mateso kila hali ya mateso ndani yangu nasema kuanzia muda huu minyororo ianze kukatika katika kwa Jina la Yesu  maisha yangu yawe ushuhuda tosha kwa wegine Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×3

5.Pesa nakumiliki hautanimiliki Nakutumia na Kukupangia hutanipagia wewe namna ya kukutumia kuanzia Sasa utii na ufate amri zangu kwa Jina la Yesu.AMEEN 

Rudia × 2

6.Endelea kuomba kwa kufata muongozo niliokupa omba mpaka maneno yakate.

Kumbuka haya maombi yanaitaji uwe tayari na uelewe unajiondoa kwenye nguvu kubwa iliyoshika maisha yako Omba kwa kumanisha maombi haya .

BAADA YA KUMALIZA SIKU 10 OMBEA SADAKA YAKO. 

Kupitia hii Sadaka Bwana Umeona Moyo wangu nilivyojitoa nikikusihi kila eneo ambalo nilijitamkia unifungue nawewe umenifungua na hata matamshi ambayo nilitamkiwa umenifungua maombi yangu sikuja mikono tupu nimeabatanisha hii Sadaka hiki ndicho nilichojariwa natamani nikutolee zaidi naomba tu unifungue nakubariki uchumi wangu pokea Sadaka hii kwenye madhabahu yako ya mbiguni ipate kibali na utende naitoa kupitia madhabahu hii ya Moto Wa Yesu Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×4

KISHA TUMA KWA:

M-PESA +255759861768

TIGO PESA +255710889892

HALLO PESA +255628355985

CRDB BANK;0152361572400

KWA WALIOPO NJE YA NCHI. 
Moneygram,Worldremit, Western Union, Nara,

JINA: RICHARD JULIUS KUSHOKA 


Hakiki Jina na ukituma Sadaka nipigie unaniambia nimemaliza maombi fulani.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni