Haya maombi ya fire fire usiombe ukiwa umejichokea utapingwa bure Omba ukiwa vizuri kwa mapambano ya kiroho.
π₯Moto wa Yesu Uwake zaidi ya Janaπ₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π€π€π€π€π€π€
Wapo watu kiroho wanaonekana tunatembea nao na kuishi nao kumbe siyo wao halisi ni vivuli tu vya watu hao Kwa Kuwa hatuna macho ya rohoni Tunateseka wapo watu waliotekwa Umateka wa ulevi wengine uzinifu wengine wametekwa na mawazo mabaya huyu mtu akitekwa Anakuwa chini ya hali ambayo Yeye haipendi lakini roho ndiyo zinamuendesha na kumtumikisha.
Ni vyema Ujiondoe kwa maombi Ninayeenda kukuongoza Kutoka kwenye umateka Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni
Kanisa la Holy Spirit church Tanzania (h.s.c.t)
Maombi yameganyika sehemu mbili
A.Kujikomboa kwenye Umateka mwa adui
B.Kuzivunja Kambi za Adui
A.MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA MAOMBI HAYA
1.Elewa maombi haya Vita Kupigana kiroho unatakiwa uwe Jasiri na Shujaa usiyetishwa na hofu au hali yoyote.
Soma. 2Wakoritho. 10:3-6 kuelewa tunapiganaje kiroho Hakikisha fikira zako huwazi mabaya unapoomba.
2.Maombi haya yataambatana na Sadaka yako Kutokana na Uzito wa Umateka ulivyokuwa umekamatwa na nguvu roho atakushuhudia.
Soma. Zaburi.20:3
3.Tutaomba Kwa Muda Wa Siku Tano mfululizo Bila kukatisha kwa muda wa Saa.10: 00 Alfajiri mpaka 12:00 Alfajiri
4.Fata muongozo na maelekezo kila hatua kama nilivyoelekeza.
5 Hakikisha ukiomba ukimaliza Soma mistari niliyokuandikia
Soma Zaburi;119:105
MSTARI UTAKAO TUONGOZA SOMA.
1 Wakorintho 14:40
[40]Lakini mambo yote na yatendeke kwa uzuri na kwa utaratibu.
πππππππππππππ
A.TUTAANZA KUJIKOMBOA KWENYE UMATEKA
:::::::"":"""" v::::::::"""""""",,,,,,,,,,,,,,,,"""""""""
1.OMBI LA KWANZA OMBA UJIKOMBOE KWENYE UFAHAMU NA MAWAZO YAKO YAPONYWE. UTAOMBA
ππ➖➖➖➖πππ
DAKIKA. 30
2.Wakoritho.10:5
Inaonyesha Adui au Shetani humuagusha mtu nakumuweka kuwa mateka wake pale anapofanikiwa ufahamu wake kuukamata na kuutawala.
Unapoomba Kamata Ufahamu wako ulipo kwenye moyo shika moyo wako ulipo
Anza kwa kushughulika na Kuagusha Elimu za Kipepo zilizoingia kwako Augusha elimu ya kushindwa au kukata tamaa.
Namna ya kuomba omba maneno unayoona yanakuja tamka usinyamaze omba Dakika 30
2.TUTAENDA KUOMBEA WATOTO WETU WAWE WATOTO WA KAKA AU DADA AU WANDOGO ZAKO UTAOMBA UWAOMBEE
πππππ➖➖➖ππ
DAKIKA 15
.
Mstari huu soma
Hesabu 14:31 π 2nyakati 30;9
[31]Lakini Watoto wenu, ambao mlisema watakuwa mateka, ndio nitakaowaleta na kuwatia ndani, nao wataijua nchi ninyi mliyoikataa.
Ombea umateka wa tabia na roho zilizowashika ziwaachie
Kataa Wanao Kuwa Mateka Wa Maisha ya Kidunia Maisha Yasiyo na Ushuhuda kwa Jamii na machoni Pa Bwana.
Utaombea kuligana na roho zilivyowakamata wanao
3 TUTAJIONDOA KWENYE UMATEKA WA DHAMBI ZETU MBALIMBALI.
πππππππ
Dakika 10 Omba maombi haya
Mstari wa kusoma.1wafalme;8;50-53
ππππππππππ
Wapo watu wanaendeshwa na dhambi ambazo wao hawapendi wazifanye lakini namna yakujitoa huko wameshindwa
Naomba watu kama hawa watanipigia unanielekeza umesoma ombi lipi nimeelekeza mtu mwenye dhambi anayetamani kuacha hawezi inamtumikisha.
Wegine Tutashugulika maeneo mbalimbali Shetani alipotuteka
.4.TANGAZA USHINDI WEWE SIYO MATEKA TENA.
ππππππππππππ
Dakika 5
Zaburi;126;1 Zaburi 76:5 Zaburi 85:1
Hapa unapaswa uanze kutembea huku ukitamka mambo wewe mshindi wa maisha ya kiroho wewe mshindi wa maisha ya kawaida hutarudi tena kuendeshwa na magonjwa kuendwa na umateka furani Omba ..
Tamka Maneno Kwa Kukaza yatoke kwa msisitizo.
5.OMBEA WATU WALIOCHUKULIWA WATUMIKISHWE UTUMWA UKATAE.
DAKIKA:15
Isaya:3:15 na 29 Soma.
Hapa Ombea Kuijitoa kwenye maisha ya kutumikishwa utumwa mbalimbali utumwa wa umasikini utumwa wa kazi Utumwa wa Ajira Utumwa Mbalimbali Shughulika.
Tafsiri ya mtu kutumikishwa na kitu ni kukosa ufahamu juu ya hicho Sasa omba utoke kwenye kuteseka kisa kukosa ufahamu wa kukijua vizuri Muombe Mungu ujue kinachokutumikisha .
BAADA Y A MAOMBI HAYA.
Mshukuru Mungu Sema Ansate Bwana Ansate Bwana Mwambie huku ukipiga makofi Abudu au sifu kidogo Tena thingies Kubomoa Kambi zao
B.KUVUNJA KAMBI ZA KISHETANI.
ππππππππππππ
Hii ni eneo anapowekwa mateka na kuwa chini ya uagalizi wa kuhakikisha yule mtu Havuki eneo hilo kama ni pombe inakushikilia huiachi kama ni madeni yanakushika hayakuachilii Kama ni Ugonjwa unakushikilia haukuachilii.
Tutakacho Kifanya ni kuvunja Kambi zao na tutawatoa waliowekwa mateka popote kambi zitavunjika.
Mstari wa kusoma.
Yeremia 37:11
[11]Hata ikawa, jeshi la Wakaldayo lilipokuwa limevunja kambi yao mbele ya Yerusalemu, kwa kuliogopa jeshi la Farao,
OMBA HIVI UNAPOJIONDOA KWENYE KAMBI ZA KICHAWI.
ππππππππππππππ
➖Baba katika Jina la Yesu ninabomoa kambi zote za wachawi Ninavunja kila maagano ya kwenye kambi naikomboa nafsi yangu iliyowekwa kwenye kambi ya utumwa wa tabia ya magonjwa najikomboa kila magonjwa yaliyotesa mwili wangu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×4 Kisha Soma. YEREMIA;1;10
➖Kila kuta za matatizo ya_____(Jaza Tatizo lako) Najua yupo anayelazimisha na kuzuia nisivuke namwambia kambi zake zimevunjwa kuta za vizuizi na kila mikono iliyoshikilia kunikalisha kwenye utumwa Kuanzia Leo hii najitangazia kuwa mimi nipo huru kutoka kwenye kambi za mateso.
Rudia ×4 Kisha Soma Yeremia:1:8
➖Hakuna Silaha wa Mbinu yeyote itakayoweza kunishika inirundishe kule nilikotoka kuanzia Leo nitasonga mbele nikiulinda ushindi wangu katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×3 Soma kitabu cha Yeremia:1:19
➖Nitakuwa naamani sitapokea taarifa Mbaya tena wala adui yeyote hatathubutu kusimama ninafunga kabisa Katika jina la Yesu. AMEN
Rudia ×3 Soma 1 wafalme;5:4
➖Hakuna mtu mwenye ujuzi wa kupigana Vita akakomboa ndugu yake bila msaada wako Bwana na hakuna anayeweza kukulipa uliyotenda au kuyafanya kwetu sisi yaani mimi na ndugu zangu Bwana ninaomba Utusamehe mimi na ndugu zangu ninahitaji niutaje ukuu wako katika kusanyiko nikusifie Bwana umetenda umetenda Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×4 Soma Zaburi:49:7
OMBEA SADAKA YAKO.
Sadaka ni kitu chochote siyo mpaka Pesa chochote unaweza kujitoa
Mpaka mtu aanze kutumikishwa na roho au tatizo ujue linapata nguvu kupitia Sadaka.
Wapo watu wanateseka maagano yao yaligusa Sadaka kubwa ndio maana ni vyema isikia sauti ya Roho inavyokushuhudia utoe Sadaka ya nini kwa ajili ya Bwana usitoe Sadaka kwa kukalili mpa Pesa hapana.
Jifunze ufahamu wako ujue unayemtolea sadaka
Soma Matendo:10:1-5
OMBA HIVI
Sadaka hii ninaomba ipate kibali machoni Pa Mungu na siyo mwanadamu naitoa kwenye madhabahu yako ya mbiguni Jehova Nissan Njoo ushughulike uvunje minyororo na kunitangazia uhuru sawasawa na Isaya.61:2 Ipokee kupitia madhabahu yako ya Moto wa Yesu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia kuiombea ×6
Kisha itume Kwa
πM-PESA +255759861768
πTigo Pesa +255710889892
πHalo Pesa +255628355985
πCRDB BANK AKAUNT:0152361572400
UKITUMA TU NIPINGIE NIKUOMBEE USIJE UKATEKWA TENA UKARUDI NYUMA.
MIMI NA WEWE TUNAPASWA TUOMBE NA TUWE MOTO ZAIDI YA JANA PIGA MAZOEZI KUOMBA MARA KWA MARA
SHIRIKISHA MAOMBI HAYA WATU WENGI ZAIDI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni