ππππππΈπΈπΈπΈ
Karibuni Usiku wa Manane Maombi Ya Vita.
Vaa silaha za Kiroho: Waefeso:6:10-20
Naitwa Pastor Richard au Askofu mkuu Richard Muasisi na Mwanzilishi wa Makanisa Ya Holy Spirit church Tanzania
Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni K
ππππππππ
πUsiku wa manane falme za ngiza ndiyo zinamwijia mtu kwa ndoto zinatendeka kazi mbalimbali maovu mengi hufanywa usiku wa manane wewe kama Kamada Wa Kristo unapaswa uombe.
Acha kulala Usiku ndio Muda Wakuombea Mambo yako unayoyaona hayaendi. Muombee na Baba yako wa kiroho
Rejea MARKO;11:23-24
πUsiku wa Manane ndio muda Tulivu ambao Mungu na Roho Mtakatifu husema wazi wazi na watu.
Rejea Marko:13;18
MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOOMBA
πππππππππ
1.Kwanza uwe mtu wa imani uliyeamua kila siku usiku saa Sita mpaka Tisa usiku uombe.
2.Tutaomba kuanzia Saa Sita mpaka Saa kumi kamili. Masaa mawili usizidishe.
3.Utatembea tembea na kuonesha Ukakamavu unapoomba Usiombe umelala au umetulia Sehemu Moja
4.Kila Baada ya Siku ya Saba Utapumzika na kuaadaa Sadaka yako unaiombea nakuituma kwa ajili ya maombi hayo kisha utaanza Siku Ya Tisa ili Kumpa Muda Roho Mtakatifu Kusema nawe
5.Utaombea Imani yako Iwe na nguvu ya kuleta matokeo.
6.Utafata maelekezo Ninavyoongoza namna ya Kuomba.ππππ
MAOMBI YA USIKU UTAYAOMBA HIVI.
□□■■■●●●○○○○▪︎▪︎▪︎¤¤
☆HATUA YA 1;● Zaburi;86;5
1.UTAINGIA TOBA YENYE MACHOZI NAKUMANISHA.
HATUA YA 2;●Zaburi:64:
2.OMBA ULIZI NA KATAA ROHO ZA MALIPIZI
Majeshi ya mbiguni nayaarika Damu ya Yesu inifunike nakataa roho za visasi katika Jina la Yesu.Amen
Endelea Tamka Roho Mtakatifu anavyokuongoza
☆HATUA YA 3; ●HESABU:30:5-7
3:OMBEA KUJIFUNGUA VIFUNGO MBALIMBALI
☆HATUA YA 4:●1Samweli:20:42
4:OMBEA UZAO WAKO FAMILIA YAKO.
☆HATUA YA 5: ● ISAYA.43:4
5.OMBEA KIBALI CHAKO NA UTHAMANI WAKO ULIOHARIBIWA NA DHAMBI
☆HATUA YA:6;Isaya;43:4B
6:OMBEA WATU SAHIHI TU
☆HATUA YA 7: ●WARUMI:10:17
7.OMBEA MAISHA YAKO YA KIROHO UKUE
☆HATUA YA 8.●Mwazo:2:22
8:KAMA HUJAOLEWA AU HUJAOWA Omba mwambie Mungu muda wangu umeshafika simama na kitabu hicho Mwanzo;2;22
☆HATUA YA 9: Isaya:43:26
9: UTAOMBEA KILE UNACHOSUKUMWA KUMBUSHA MUNGU AKUTENDEE
Chukua dakika Kazaa Mkumbushe Mungu Nini unataka afanye.
☆HATUA YA 10:Matendo;10:4
10: OMBEA UAMINIFU KWA BWANA KATIKA FUNGU LA KUMI UWE MTOAJI MUOMBEE BABA WA KIROHO
☆HATUA YA 11: Zaburi:92;1
11;TAMKA MANENO YA KUMSHUKURU MUNGU AMINI AMEKUTENDEA PIGA MAKOFI
Shukuru hivi;
Baba ninakushukuru maana nimekuona usiku wa leo live ukinijibu Bwana umetenda live live Ansate Bwana huku Ukipiga makofi mikono umeweka juu.
π³π³π³πͺπͺπͺπ³π³π³π³π³
WATAKATIFU WALIOFANYA
MAOMBI YA USIKU WA MANANE NA ALFAJIRI
1. YAKOBO-πYakobo hatimaye aliitwa Israeli kwa sababu alishindana na Mungu na watu na kuwa mshindi (Mwanzo 32:28). Hata hivyo ushindi wake ulianzia katika maombi ya alfajiri alipokuwa akiomba na kuweka nadhiri zake (Mwanzo 28:18-22).
2. SAMWELI-πSamweli aliomba na kumlilia Mungu usiku kucha yaani usiku na alfajiri (1 Samweli 15:10-11).
3. BWANA YESUπ-Bwana Yesu mara nyingi aliomba usiku kucha yaani usiku na alfajiri (Luka 6:12; Mathayo 4:2; Marko 1:35).
4. WAZAZI WA SAMWELIπ-Wazazi wa Samweli, waliweza kufanikiwa kumzaa mtoto Samweli aliyekuwa nabii wa kipekee, kutokana na wao kuzingatia maombi ya alfajiri (1 Samweli 1:19). Sisi nasi tukizingatia maombi ya alfajiri au uziku, tutaona mambo makuu katika maisha yetu.
5. HEZEKIA:π-Hezekia naye aliomba maombi ya alfajiri (2 Nyakati 29:20). Hezekia aliongezewa maisha alipokuwa katika kufa, na Mungu alimjua kama Hezekia alikuwa mwaminifu kwake kutokana na kujikana na kufanya maombi ya alfajiri. Maombi yake ya alfajiri yalimpa ushindi dhidi ya mkono wa mfalme wa Ashuru (2 Wafalme 20:1-6).
6. DAUDI:-πDaudi pia alifanya maombi ya alfajiri (Zaburi 57:8; 119:147). Ushindi mkubwa wa mfalme Daudi ulitokana na kuzingatia maombi ya alfajiri na usiku.
7. PAULO:-Maombi ya usiku yalimfanya Paulo kutumiwa na Mungu kipekee kuliko mitume wengine. Siri kuu ni maomba ya usiku (2 Timotheo 1:3; 1 Wathesalonike 3:10).
MAOMBI YA KUOMBEA SADAKA YAKO SIKU YA 7 UKIMALIZA
SADAKA IOMBEE HIVI
.Baba hii Sadaka naitoa ikasindikize maombi yangu niliyoyaomba Wiki nzima Bwana naomba ipokee ipate kibali machoni Pako Ikaongee na ilete matokeo na majibu naitoa katika madhabahu ya Moto Wa Yesu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia×7
UKITUMA UNANIPIGIA NA KUNIAMBIA SADAKA UMETUMA YA MAOMBI YA USIKU WA MANANE SEHEMU YA PILI
TOA KUPIA➖➖➖
πM-PESA 0759861768
πTIGO PESA 0710889892
πHALO PESA 0628355985
.
πCRDB BANK WEKA No.0152361572400
JINA: RICHARD JULIUS KUSHOKA
Hakiki Jina kabla hujaruhusu.
kumbuka Sadaka inatumwa siku ya saba hakikisha uwe umeomba kwa uaminifu kwa muda niliotajwa
Shirikisha wengine haya maombi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni