Jumamosi, 23 Desemba 2023

MAOMBI YA KUMKOMBOA MTOTO ALIYEZALIWA NJE YA NDOA

MAOMBI YA KUMKOMBOA MTOTO ALIYEZALIWA NJE YA NDOA.

Hii huwa ni roho ambayo mtoto mwenye changamoto hii asipokombolewa bado ataadamwa na maisha ya mikosi pia kuzalia au kuzalisha nje ya ndoa Atakuwa ni lango la kuigiza uharibifu na kutoa uharibifu. Shetani humtumia mtoto huyu kwa kuweza kuwaingiza hata waliozaliwa ndani ya ndoa kuingia kwenye uzinifu ni roho hatari Sana na watu wengi huwa hawaichukulii kwa uzito shida inakuja kuwapata watoto waliozaliwa.
Mfano Daudi kwenye biblia roho ya uzinifu ilikuwa ikimuendesha mpaka akalala na mke wa uria Kilichomkomboa  Alipoingia MAOMBI  YA UTAKASO: Zaburi.51 yote.
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni Kanisa la Holy Spirit church Tanzania 


MAOMBI TUTAKAYOOMBA YA UTAKASO NA MSAMAHA (Zaburi;51 Soma yote)


Mambo Ya Kuzingatia Unapoomba. 

1.Moyo wako uwe tayari kumrudia Mungu kama hujaokoka nipigie uongozwe toba.

2.Nia na Dhamira yako ikusundie kutengeneza na Mungu.

3.Wale Tulio na Watoto Wadogo wasioweza kuomba Sisi wazazi tutasimama kwa niaba yao kuomba haya maombi.


4.Adaa Sadaka  yako 20000 nakuendelea kwa ajili ya ukombozi wa kumtenga na hizo roho.(Tafadhali kama Hujui Sadaka nguvu yake Usitoe Sababu ukitoa huku hujui haitafanya kazi.)Ukituma Sadaka hakikisha unanipingia Simu unieleze umemaliza maombi haya.

5.Maombi haya Utaomba Siku 5 ukiwa Umefunga na Ukisoma zaburi 51 nakutafakari Kila Siku usiku Saa 1:00 usiku-6;00Usiku

6.Rudia rudia maelekezo uelewe kabla hujaomba na Fata hatua za uombaji kama nilivyoelekeza.
Roho Mtakatifu akupe nguvu uombe ufikie mwisho wa maombi


MAOMBI YA TOBA.

Baba ninaomba unisamehe mimi ni mwana niliyeshindwa kusikia Maonyo yako nilisoma Neno lako la Mathayo.5:27 Lakini Bado nilichangua maisha kuzini nimekukosea Bwana Nimekosa Nimekosa Nirehemu nirudie mwanao naomba Baba Usingeuze Shingo ukatazama Pembeni nitazame Tena nalia kwa uchungu nalia kwa maumivu ya kukosana nawewe maisha haya ya kuzini siyataki naomba uniletee baba mke aliye wangu mume aliye wangu Baba wasamehe Wanangu niliowazaa Kwenye Dhambi ya Uzinifu Msamehe mwanangu Neema Msamehe mwanangu Goodluck Masamehe mwanangu Lucy Masamehe mwanangu Richard Baba nawaleta mikononi mwako kila laana niliyokuwa nimeibemba mimi mzazi wao na wao ikawafatilia naikata kabisa wawe huru Baba Nashukuru Sana Baba Kwa Kunisamehe Nashukuru Sana Pokea Sifa hizi zikufikie kwenye kiti chako Nazileta kwako Uniondale Uso wa mikosi univishe uso wa Baraka kila niendapo katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×8



MAOMBI YA UTAKASO

👇👇➖➖➖➖👇👇
1 Wathesalonike 4:7
[7]Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso. 

Tunapokuwa miili yetu tumeichafua tunamfanya Roho Mtakatifu aside ndani yetu na kuruhusu mawazo machafu nia za kufanya ya mchukizayo yanakuwa na nguvu maana kupia kuwaza vibaya shetani hupanda mbengu yake ya uovu. KARIBU MAOMBI HAYA YA UTAKASO UTAOMBA 

A.UMEPIGA MAGOTI AU

B.UMELALA KIFUNDIFUNDI UMENYOSHA MIGUU YAKO VIZURI CHUMBANI KWAKO TULIVU NA PASIWE NA KELELE.


OMBA HIVI TAMKA MANENO

1:Baba nakushukuru umekuwa mwema kwangu umenipa neema kujiona maovu yangu hata kuamua kukurudia Wewe Kikweli Bila Hii Neema nilikuwa nishapotea lakini nashukuru Mungu umenifanya nikujue wewe unanipenda na upendo wako kwangu leo umedhibitika baada ya kutakasa mawazo kutaka nia zangu kutakasa Maisha katika Jina La Yesu.Amen 
.Rudia ×4

2.Najitakasa nakusafisha mwili wa dhambi nauosha kwa Damu Ya Yesu  Nakataa Kubemba uchafu tena katika maisha yangu ya Wokovu Katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×3

3 .Uso wangu ukatakasike Akili yangu itakasike kinywa changu Kitakasike Moyo wangu utakasike Katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×1

4.Nipe moyo safi akili Safi mawazo safi nia safi mienendo Safi naitaji nikupendeze Bwana Karibu kwenye mifupa yangu Damu yangu uondoe kila hatia iliyonitenga nawewe Kwa Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×7


5.Omba hili ombi Roho Mtakatifu atakupa maneno yatamke Jitakase kisha mshukuru Mungu kukuwezesha kumaliza Maombi siku ya kwanza...



MAOMBI YA SIKU YA 6 UTAOMBEA HIYO SADAKA 

Baba hii Sadaka naitoa kwako ipokee wewe ipate kibali cha ukombozi wa_______(weka majina kama ya wanao au lako)Watoke kwenye roho za uzinifu laana zilizofatilia maisha yao laana zilizofatilia maisha yangu Maisha yangu maisha ya Wanangu yakawe nuru nuru kweli kweli Katika Jina la Yesu.Amen 

Omba ×5 

TUMA KISHA UNIPINGIE.

M-PESA 0759861768

TIGO PESA 0710889892

HALO PESA 0628355985

Jina Richard Julius Kushoka 

Nakadhia Tena Kama hujui nguvu ya Sadaka Au Ujui unayemtolea na unaitoa hiyo sadaka kwanini katika maombi haya Tafadhali Acha Usitoe HAYA MAOMBI YACHUKUE KWA UZITO.

Wapo watu leo wanateseka chanzo ni hii dhambi ya uzinifu ambapo walizaliwa kwenye uzinifu sasa wanaadamwa na mikosi hawaolewi au kuowa wengine wanazalia nyumbani tu wengi wameamua wishing ndani ya laana hii na wamezaa . 


Tafadhali Fata maelekezo kila hatua Rudia rudia uelewe kisha omba.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni