Ufafanuzi mfupi;
Katika ulimwengu wa roho zipo roho ambazo zinamshikilia mtu hata akiomba hali inarudi tena akiomba hali inarudi hizi huitwa roho za kug,ag,ania kitu katika maisha yako kumbe unatakiwa uombe ujifungue kwenye minyororo hiyo.
Ingia maombi kushughulikia hiyo hali kama unajiona inakutesa hali kama hiyo.
MAMBO AMBAYO ZINGATIA.
.1.Omba ukiwa huna kazi umetulia.
2;Ukisikia Roho Mtakatifu anakupa maneno endelea kuomba maana utakapokuwa unaomba maneno yatakuja.
3.Lega Shabaha Kuligana na Tatizo linalokushikilia.
4.Utakuwa na Sadaka Yako ya Maombi Ambayo utaituma unanipigia hakikisha utaiombea Roho atakavyokuongoza
Na utaomba Siku 3 Mfululizo
MSTARI WA KUSIMAMIA;
Yohana 10:10
[10]Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.
Soma rudia mara nne.
OMBA HIVI.
1.Kila roho ya kig,ag,anizi ndani yangu ninaiamuru iniachie maisha yangu damu yangu mifupa yangu kwa Jina la Yesu.Amen
×3
2.Nguvu zote za ufalme wa ngiza zinazopitishwa kupitia lango la ndoto kuanzia Leo ninafunga kwa mamlaka ya Jina la Yesu Mnazaret ndani yangu nguvu za Moto wa Yesu zinitawale katika Jina la Yesu.Amen
×3
3.Napinga Kila Amri za mawazo ya kipepo ndani yangu kila imani za kukiri udhaifu nazipinga Kila hali yoyote inayotishia kufunga nguvu ya kuomba nisiweze kutamka Naifunga Kwa Jina la Yesu.Amen
×5
4.Kila roho inayoendelea kunishikilia nikae kwenye maisha ya utumwa maisha ya mateso sura za mateso na mahagaiko nazivua mimi siyo wa mateso kila roho zilizoshikilia ziniachie sizitaki kwa Jina la Yesu Kwa Jina la Yesu Kwa Jina la Yesu
Najitamkia Baraka zinifate tele uzima unifate tele katika Jina la Yesu.Amen
Rudia×7
5.Ombi la Tano omba unavyoongozwa kujifungua mwenyewe
Kama hujui kuomba fanya mazoezi mara kwa mara kuomba utajua kuomba.
Ukimaliza Siku ya Tatu Ombea Sadaka yako Tuma kisha nipigie nikuombee hiyo roho isirudi tena.
M-Pesa 0759861768
Tigo Pesa 0710889892
Halo Pesa 0628355985
.
CRDB BANK 🏦 0152361572400
Jina Richard Julius Kushoka
Omba maombi haya ya Vita tembea tembea natamka kwa mamlaka kaza kinywa unapoomba kukataa hali yoyote
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni