DARASA LA MAOMBI
SOMO: MAOMBI YA KUFUNGUA KIZUIZI.
Ukiona Unataka ufanye kitu kinaingilia kitu kilichokuwa haikipo kwenye hesabu zako ujue hizo ni Vizuizi.
Mfano; Unanyumba Unauza Wateja wanafika pale mnapanga bei gafla wakirundi wanasema hawanunui ujue kuna Kizuizi.
UNACHOTAKIWA UOMBE SASA.
Utafata hivi ninavyoelekeza
KWANZA TAFUTA MSTARI
Tunasimamia:
Marko 3:27 Hawezi mtu kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu, na kuviteka vitu vyake, asipomfunga kwanza yule mwenye nguvu; ndipo atakapoiteka nyumba yake.
"Baba Nasimama Sawasawa Na Neno lako Katika Kitabu cha Marko:3:27 Namuondoa huyo Mtu Anayenizuia Mimi Au Kuweka uchawi wake wa Kunirundisha nyuma Kwa Jina la Yesu Navunja vipande Magongo na Kamba Zilizofunga hili swala langu la ndoa au Kiwaja au Kazi nisipate Kwa Jinaa la Yesu Fuguka Fuguka fuguka kwa sasa nakuendelea sitaki kuwa mnyonge Kuanzia muda huu nitakuwa na nguvu na nguvu kweli kweli Ninaomba Kwa Imani ya Jina la Yesu.Amen
RUDIA ×8 KUOMBA
Kama Hujaungwa Kwenye Group la Maombi na Mafundisho mfate WhatsApp Pastor Richard Akuunge +255759861768 Utajibu maswali kabla hujakubaliwa kuwa mwanangroup
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni