Kuna watu wamekuwa wakichukulia kuowa au kuolewa ni kama mchezo fulani Ambao utaenda madhabahuni unaapa na kufungishwa ndoa baada ya muda Anavunja uaminifu au ndoa kimya kimya Tena Anaenda kuolewa au kuowa pasipo kupeana Talaka kisheria Hii huwa hatari kuliko hata ugonjwa mtu anaweza kutibiwa.
1:Madhara utakayoyapata usipompa talaka kwa kosa la uzinifu au hana nguvu za kiume au nguvu za kike. Hili kosa uwe na Ushahindi umeona mwenyewe mwezako anatatizo hili ukienda kinyume eidha kwa sababu zingine nje na hizi utakuwa umeivunja ndoa mwenyewe na utateseka mno tena sana kuliko ulivyodhania.
2:Ndoa Isiyo na maelewano Takiribani ni mwaka mmoja ndani ungomvi hii inavunjika kwa sababu mnaweza kuja kuuwana ni bora mkatengana lakini Hampigani mnanuniana tu ukataka ndoa uvunje itakutesa sana.
3:Hurusiwi Kuivunja ndoa ikiwa hata mwaka haijamalizika ukifanya hivyo utaadhibiwa kimaisha Utatembea na laana isiyofutika.
4:Hutakiwi Ndoa yako uivunje kienyeji ukarukia moja kwa moja mahakamani bila kuanza huku chini kwa msajili wa ndoa nikosa kubwa Sana Usipofata utaratibu hiyo laana itakutesa milele.
5;Msajili Akisema hapana hata mbele huku hutakumbalika maana hamkukaa ulijiamulia tu hakikisha unafata utaratibu wa kisheria unapotaka kuvunja ndoa.
6:Ndoa inaweza kuvunjwa na hawa wawili wakawa huru lakini siyo rahisi rahisi sababu ambazo hazina mashiko.
Kwa Mungu Inamuonya huyu mtu anayeingia Kwenye ndoa Baada Ya Muda Anadai ndoa ivunjike chezea vyote usije ukacheza na Agano la ndoa
Tunasoma
Marko 10:9
Basi alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.
HITIMISHO
Ndoa inaitaji ilindwe na watu wote ikiwemo nyinyi Wanandoa Ndoa Siyo fashion
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni