Jumatano, 12 Juni 2024

SOMO: UTOAJI

SOMO: UTOAJI

Nakukaribisha Katika Somo la Utoaji wapo watu mpaka Leo hawajui Tafsiri ya Neno Utoaji kwa Mungu wala hawajuia mwanzilishi ni nani wa utoaji Somo hili litaenda kukupa Ufahamu katika Eneo la Kuwa unatoa Sadaka Kwa Mungu. 
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa  

Mithali;11:25 Luka;6;38

MAANA YA UTOAJI..?

UTOAJI Ni Kitendo cha Kupunguza ulicho nacho au kuondoa thamani ya vitu kati ya vingi ulivyo navyo.

Mfano; Una nyumba 5 Unatoa nyumba 2 Kwa Bwana unabaki na nyumba 3 Ambazo ndiyo zitakuwa zako.
5-2=3

Mfano;2 Unaelfu 10000 Unatoa 5000 kwenye hiyo hela unabaki na 5000
10000-5000=5000.

Hii ndiyo Tafsiri ya Utoaji kwa Mungu.

Mfano wa ;UTOAJI;πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Mtu akiwa ameshika boksi lenye zawadi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni