Ni kipindi Ambacho Bwana Amekusundia Jambo ukipishana na hiki kitu Anaenda Kutenda Kwa Mwingine.
Andiko;
Mwanzo 17:21
[21]Bali agano langu nitalifanya imara kwa Isaka, ambaye Sara atakuzalia majira kama haya mwaka ujao.
Kumbe Sara alikuwa anaitaji Azae kwa wakati Ambao Bwana Hajataka Azae hakuzaa.
Hata Wewe unataka Kuzaa Kwani Mungu ndiye Ametaka uzae au ni tamaa zako. Hapo utakuwa unapishana nae.
Andiko;
.Zaburi 102:13
[13]Wewe mwenyewe utasimama,
Na kuirehemu Sayuni,
Kwa maana ndio wakati wa kuihurumia,
Naam, majira yaliyoamriwa yamewadia.
Kumbe unaweza ukawa unasimama kufanya jambo linafeli kumbe bado wakati wake Usikate tamaa endelea kulifanya.
Pishana na vyote na Siyo majira Mungu
Mungu wetu hutembea nasisi kwa majira ukikuta upo ndani ya Mungu na unapitia mapito ujue ni majira ambayo yatapita tu.
2024 Mungu wetu Anatembea Na Sisi Kibambe Siyo Kinyoge Ukianza Kulia Lia au kulalamika Mungu Anaondoa Mkono wake kwako maana wewe umeonesha hali ya unyoge katika kipindi ambacho hutakiwi uoneshe unyoge.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni