Somo:MAOMBI YA KUOMBA ASUBUHI
Soma; Angizo la Bwana Yesu Luka:11 Yote
Luka 11:10
[10]Kwa kuwa kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa.
Tembea na Bwana Katika Uaminifu Kila Siku Ikabidhi mikononi mwa Bwana Siku Yako Nzima.
••••°°°°°°••••••°°°°°•••••••°°••••••°°°°°•••
1:Nashukuru Baba umeachila Ulizi Kwangu Usiku Kucha Endelea Kunilinda Mchana Kutwa Katika Jina la Yesu. AMEN×3
2:Naibariki Siku Yangu Kwa Jina la Baba na La Mwana Na La Roho Mtakatifu Katika Jina la Yesu. AMEEN ×1
3:Nimebarikiwa mimi na familia yangu Yote Katika Jina la Yesu.AMEEN.×1
4:Bwana ni Nuru Yangu Kila Mipango iliyokuwa imefunga itamulikwa katika jina la Yesu. Amen×4
5;Natubu Kila dhambi niliyokutenda nikaifanya kwa kujua hasa ya Wizi wa Zaka Kanisani Niondolee Dhambi hii maana imenitenga na Baraka Zako Katika Jina la Yesu. AMEN×5(OMBA KWA UNYENYEKEVU WA KUUGULIA MOYONI JUTIA DHAMBI YA WIZI WA ZAKA AU YA KUZINI)
.
6;Natamani Nishuhudie Ukinitendea Kama Wegine nipe moyo wa kuliishi Neno lako na sheria zako Nisizini tena Nisile zaka tena nisiwe mtu wa kutembea nawewe kwa mazoea ili unitendee kitu au kukutafuta nikiwa nashida tu ukishanijibu nakuacha au kudharau wanaoniongoza kiroho kupuuza wanachonielekeza nitakase mwanao na ile kweli yako sawasawa na Yohana;8;37 Katika Jina la Yesu. AMEEN. ×5
(Omba kwa kumanisha acha Kuzini nakuiba Zaka maana haisaidii kitu UNAPOFANYA uzinifu na Wizi wa zaka unazuia Shuhuda zako na Baraka zako mwenyewe)
7;Natamani Bwana Nisimame Nawewe lakini mawazo yangu na moyo wangu umenidaganya nikakuacha nikawa mtoto nisiye hai sishiriki ibada au kubadilika natembea kama mfungwa nisaidie mwanao nikurudie wewe na nisimame nawe Katika Jina la Yesu. AMEEN ×4
8;MALANGO YANGU YA UCHUMI YA UZAO YA KAZI YA BIASHARA YAFUNGUKE KATIKA JINA LA YESU.AMEN×3
9;Nakataa roho ya hofu woga na kuahirisha mipango Yangu Katika Jina la Yesu. AMEEN. ×2
10:Nataka Nikae nawe Bwana Siku Zote nisitoke ndani Yako Bwana Katika Jina la Yesu.AMEN.×4
WATAKATIFU WALIOFANYA
MAOMBI YA USIKU WA MANANE NA ALFAJIRI
1. YAKOBO-👉Yakobo hatimaye aliitwa Israeli kwa sababu alishindana na Mungu na watu na kuwa mshindi (Mwanzo 32:28). Hata hivyo ushindi wake ulianzia katika maombi ya alfajiri alipokuwa akiomba na kuweka nadhiri zake (Mwanzo 28:18-22).
2. SAMWELI-👉Samweli aliomba na kumlilia Mungu usiku kucha yaani usiku na alfajiri (1 Samweli 15:10-11).
3. BWANA YESU👉-Bwana Yesu mara nyingi aliomba usiku kucha yaani usiku na alfajiri (Luka 6:12; Mathayo 4:2; Marko 1:35).
4. WAZAZI WA SAMWELI👉-Wazazi wa Samweli, waliweza kufanikiwa kumzaa mtoto Samweli aliyekuwa nabii wa kipekee, kutokana na wao kuzingatia maombi ya alfajiri (1 Samweli 1:19). Sisi nasi tukizingatia maombi ya alfajiri au uziku, tutaona mambo makuu katika maisha yetu.
5. HEZEKIA:👉-Hezekia naye aliomba maombi ya alfajiri (2 Nyakati 29:20). Hezekia aliongezewa maisha alipokuwa katika kufa, na Mungu alimjua kama Hezekia alikuwa mwaminifu kwake kutokana na kujikana na kufanya maombi ya alfajiri. Maombi yake ya alfajiri yalimpa ushindi dhidi ya mkono wa mfalme wa Ashuru (2 Wafalme 20:1-6).
6. DAUDI:-👉Daudi pia alifanya maombi ya alfajiri (Zaburi 57:8; 119:147). Ushindi mkubwa wa mfalme Daudi ulitokana na kuzingatia maombi ya alfajiri na usiku.
7. PAULO:-Maombi ya usiku yalimfanya Paulo kutumiwa na Mungu kipekee kuliko mitume wengine. Siri kuu ni maomba ya usiku (2 Timotheo 1:3; 1 Wathesalonike 3:10).
OMBA KiLA SIKU ASUBUHI HAYANA SADAKA LAKINI HUZUILIWI KUTOA JAPO SIJASIKIA SAUTI IKINIPA MUONGOZO HUO KATIKA MAOMBI HAYA.
Naitwa Pastor Richard
WhatsApp +255759861768
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni