MAOMBI YA MIKOANI KESHO TUNAANZA.
IJUMAA YA KWANZA Tar.9/2/2024
Ni vyema hapo ulipo ukatafuta mtu ukawa mnaomba pamoja siyo lazima awe wa kwenye group mtu yeyote anayependa maombi maana maombi ya kushirikiana Yananguvu kuliko ya Peke Yako
Karibuni ikiwa ni mara kwanza Tunaanza..
MAMBO YA KUZINGATIA MAOMBI HAYA.
1.Utatafuta rafiki yako Anayependa maombi aliyekaribu na eneo mlipo mtaomba pamoja nakuombeana
Mathayo;20:25 Amosi:3:3
2;Kila Ijumaa Saa 10;00 Jioni mpaka 12;00Jioni Tutaomba
Tutakuwa Tunaomba Ijumaa Tu
3.Eneo Tutakapokutana ni kwa kiongozi wa maombi wa eneo hilo Alipo.
Kisha tukiwa watano nakuendelea Tutazungukiana...
4.Maombi ya Kesho Tar 9/2/2024 UTARATIBU UTAKUWA HIVI.
Soma ; 1WAKORITHO;14;40
Mambo Yote Yafanyike kwa Utaratibu
Tutafungua Kwa Maombi mafupi
Kisha Tutaimba nyimbo za sifa na kuabudu
Tutasoma Neno Kuligana na mlivyoadaa hapo mlipo
Hubiri Dakika 15 tu
Kisha Tuingie Maombi.
OMBI LA KWANZA TUTASHUGHULIKA NA ANGA LA HAPO KIONGOZI WA MAOMBI ALIPO.
Mwanzo;1;6-7
Anga ni mpaka au Kile kinachokutenga na Kitu kigine Ambayo Anga lako inaweza kuwa dhambi ya uzinifu au Kuomba huwezi ukianza unapiga miayo Au Kuolewa Au biashara nk
Chochote ukiona unataka ukifanye kinakuwa na ugumu shida ni Anga omba ufungue Anga la Eneo ulipo.
BAADHI YA MIKOA ILIYOSHIKWA NA ANGA
MKOA ANGA
1.Dar limeshikwa na Anga la Uzinzi
Mtu akienda kukaa dar akiweza kuishinda hii roho ya kuzini Amefanya kazi kweli kweli.
2.Dodoma Limeshikwa na Anga la Kuomba omba Ukienda kuishi dodoma Lazima roho ya kuomba omba pesa kwa ndugu watu wa karibu itakufatilia hata ukiwa na Kazi.
3.TANGA Limeshikwa na Uvivu Sana ukienda kuishi Tanga roho ya kutokufanya kazi na kuridhika inakufatilia Sana mpaka ujue.
4.MOROGORO Limeshikwa na Utumwa ukienda kukaa Morogoro usipokuwa vizuri utatumikishwa tu.
5.KILIMANJARO Limeshikwa na Mirungi na Pombe Usipokuwa makini utakunywa pombe .
6.ARUSHA Limeshikwa na Ubahili Na Ubishi Ukienda Kukaa Arusha roho hizi zinaweza kukutumikisha sababu upo katika Anga limeshikwa hivyo.
7.Mbeya na Songwe Limeshikwa na mikataba ya mababu na mabibi Sana Usipokuwa makini mikataba ya kichawi kichifu inaweza kukutumikisha Sababu mtawala wa eneo hilo.
8.SHINYANGA NA TABORA ,KATAVI,RUKWA ,Limeshikwa na Uchawi ukienda huko utatumikishwa usipokuwa vizuri
Nk
Kila Mkoa Kuna Anga la Eneo hilo
Shughulikia omba hivi kuligana na ulipo wewe Kiongozi wa Maombi haya
Tunaitaji Kushughulikia Anga
Roho Mtakatifu atakuongoza.
Mfano
Ninafungua Anga la Morogoro Hapa mateteni Anga lake la utumwa achia eneo hili Achia Mateteni Yangu Achia Baraka zangu zilizokusundiwa katika hili eneo nilipo katika Jina la Yesu.Amen
Usipoomba kushughulika Na Anga ndiyo limezuia Ushuhuda wako
Mume wako au mke wako omba kwa mzingo
Ombea Baraka zako zilizokusundiwa ukazipokee kupitia hilo eneo
Kataa kuishi kama wenyeji wa hilo eneo ulipo
Omba endelea kutamka tamka usinyamaze endelea kuomba mpaka maneno yakate.
OMBI LA PILI;
Tutaombea Ardhi MWANZO;2;5-20
Ardhi hii ndiyo Imebemba Baraka zetu Hata maadui zetu imebeba Laana Zetu Hata matokeo mazuri na matokeo mabaya yetu
Kabla mwanadamu hajatenda dhambi ardhi ilikuwa ikimtolea kila Aina ya Baraka lakini dhambi ikatufanya Sasa Tunateseka Tunalima hatuvuni
Sasa Ombea Ardhi ilete Baraka mashabani kwako ilete kazi yako ilete mume wako ilete kila unachota
Omba hivi.
Shika Ardhi iambie Wewe Ardhi Nakuamuru ulete ndoa yangu mume wangu mke wangu ninachoamini mke wangu amekukanyaga nachoamini mume wangu Amekukanya ninamvuta umulete hapa mbele Yangu katika Jina la Yesu.Amen
Rudia mara 5
Kila ugonjwa uliotumwa kwangu Kupitia wewe ardhi eidha nilikanyaga au kuruka ninasema nawewe ardhi ondoa ugonjwa ndani ondoa mapoonza ndani Yangu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia mara 4
Ardhi najua Umeshika Kazi Yangu mimi nateseka sina kazi huyo bosi mwenyewe aliyekusundiwa nikafanye kazi kwenye ofisi yake ninaamuru ardhi nenda ukamfanye atume nafasi 5 za kazi ambapo na Jina langu la Richard Julius Kushoka Liwemo kwenye nafasi za kazi katika Jina la Yesu.Amen
Rudia mara 4
Mume wangu au mke wangu alipokimbilia baada ya kutengana Naya Ardhi nakuamuru ukatukutanishe naturudiane Tulee watoto wetu Katika Jina la Yesu.Amen
.Rudia mara 1
Endelea Kuomba nakushughulika kila eneo Roho Mtakatifu Anavyokuongoza Piga piga charaza fimbo ingia fire fireee
MAJINA YA. VIONGOZI WA MAOMBI MIKOANI.
2024 Hatutembei Kinyoge au Kizembe Sisi ni watoto wa Kifalme
;"""":"""""'........~~~~°°°°°
1:Jina:Vedasto john,
Nchi: Tanzania
Mkoa -: Geita,
Wilaya:-chato
Eneo; Mkungo
Simu:- 0682 529 488
""":::::....."""""",,,,,,,,""""""'...
2:JINA; Lafsa Msemwa
Nchi ; Tanzania
Mkoa; Arusha
Eneo: Usariva
Simu:0767464057
""""""";;;;;;""""",,,,,,,,,,'''''"""""
3:Jina: Kiza Riziki
Nchi: South Africa
Eneo, Cape Town
Simu, +27621022728
::::"""""""........""""""""
4;Jina; Happy Laurent
Nch: Tanzania
Mkoa: Songwe(Tunduma)
Eneo; chwapwa
Simu; 0746048761
::::::""""""".......""::::"""""
5.Jina; Liberatha Isdory
Nchi; Tanzania
Mkoa; Mwanza
Wilaya;Nyamagana
Eneo : Buhongwa nyakagwe)
Simu; 0764074226
"""";;;;;......""""""........."""""
6. Jina; Nyota Jalala
Nchi: Tanzania
Mkoa; Kigoma
Eneo; Nyarungusu kambini.
Simu:0745565702
"""""......."""""".......
7.Jina;-Jenifa Godwin
Nchi; Tanzania
Mkoa; Arusha
Wilaya: Arusha DC
Eneo; Kijenge
Simu;+255762514437
"""""......"""""""......
8.Jina; Isack Ayubu
Nchi: Tanzania
Mkoa; Ruvuma
Eneo: Mji Mwema
Simu:0710575787
9.Jina ;Agness Kitundu.
Nchi; Tanzania
Mkoa: Dar es salaam
Wilaya; Kinondoni
Eneo; Mbezi Beach (Tangi Bovu)
Simu; 0672692233
Soma Sifa hizi Kwa unayetaka kuwa kiongozi wa maombi ya mkoani hapo ulipo Kisha nitumie Taarifa inbox
Sifa za Kiongozi wa Maombi
1.Awe mtu mwenye msimamo katika imani ya Kristo.
2.Awe mtoto wa Kiroho wa Pastor Richard
3.Awe ndani ya Group la maombi
4.Awe tayari kutafuta watu hata wawili wawe wanaomba pamoja kila Ijumaa saa.10 jion mpaka 12 jioni
Ndani mwaka kama unashuhudiwa Tuma majina
Andika
Jina ; Richard Kushoka
Nchi ulipo;Tanzania
Mkoa;Morogoro
Wilaya;Kilosa
Eneo utakapokuwepo;Mateteni
Simu +255759861768
Ukiri: Nipo tayari kuwa kiongozi wa maombi na kutafuta watu wa kuomba nao
Nitakuwa napost mara kwa mara najina ya viongozi mkoani
TUMESHAANZA KUWASHA MOTO MIKOANI
.jina la Kikundi Wanamaombi Moto wa Yesu(W.M)
..
MSTARI WA KUSIMAMIA
2Wakoritho 10.3-5
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni