Jumanne, 9 Januari 2024

Mambo Ya Kuagalia Unapota Kuowa au Kuolewa

MAMBO 10 YA KUYAANGALIA NAKUYAFANYIA KAZI MNAPOTAKA Kuowa au Kuolewa
Naitwa Pastor Richard Karibu Katika Darasa la Wanandoa Tujaribu Kuangalia mambo yanayotupasa Tuyazingatie Kabla Ya Kuowa au Kuolewa.

Fanyia kazi haya ili utengeneze Familia Bora.


1:TAZAMA UCHUMI  WAKO.
Kwa mwanaume ni vyema ajiagalie anataka kuanzisha swala la kuowa je Yupo vizuri kipato. Ili isije kutokea muda unafika Bint ukamtolee mahari ukaanza Kona nyigi na uswahili mwingi mpaka mtoto wa kike Anabaki Anakudharau anakuona kama Muongo.

Anzisha Uchumba ukiwa umejipanga kuowa au kuolewa siyo kupotezeana muda nakuzuia wanaume waoaji au wanawake waolewaji.

Soma Mithali;16;3


2:TAZAMA AKILI YAKO IMEKOMAA.

Swala la Kuowa au Kuolewa linamuitaji mtu mwenye ufahamu na kujitambua yeye ni nani na nini anatakiwa akifanye kwa wakati ngani na eneo ngani..Kama ukipoteza sifa hii kubwa ukawa hujielewi kila jambo mpaka ukumbushwe Ni bora ukaachana na mawazo kuowa maana utakuja kumtesa mtoto wa mtu bure kwa kukosa ufahamu.

Soma Zaburi;49;20


3:DHIBITI HASIRA ZAKO KABLA YAKUWAZA KUOWA AU KUOLEWA.

Mithali.15;18

4:Imani
Ni vyema uzingatie hili Sana.

Mithali:21:2


5.Uaminifu

ZABURI:145:18

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni