Ijumaa, 26 Januari 2024

SOMO;MAOMBI YA KUHAMISHA

SOMO:MAOMBI YENYE NGUVU YA KUHAMISHA KILA LINALOKUTESA.

πŸ—£πŸ—£πŸ—£πŸ—£πŸ—£πŸ—£πŸ—£πŸ—£πŸ—£πŸ—£πŸ—£

Soma urudie rudie  ili Kuelewe

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

1 Wakorintho 13:2

[2]Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si kitu mimi. 

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Katika ulimwengu wa roho kuna milima inayokuwa inakutesa milima ya madeni milima mahusiano kuvunjika vunjika milima ya kutokulipwa Pesa zako ipo milima mingi Ambayo lazima ihamishwe na ili wewe uweze kupita au kuvuka. Eneo hilo.


Nakukaribisha maombi haya Ya Kuhamisha Milima yaani matatizo.

Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni 

Kanisa la Holy Spirit church Tanzania.



MAMBO YA KUZINGATIA TUNAPOOMBA MAOMBI HAYA:


1:Tambua Matatizo au Tatizo ngani unataka uhamishe liondoke mbele Yako.

SomaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Mithali 1:2

[2]Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu; 



2.Utaomba Maombi haya Siku 14 Mfululizo Ukiwa Umefunga Masaa 12 au Masaa 6 Kama unashida ya kufunga.

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

.Soma huu mstari

Mathayo 17:21

[21][Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.] 


3:Tutakuwa Na Sadaka Kuanzia 14000 Nakuendelea Kutokana vita yetu ya vitu tunavyopambana navyo Hii Sadaka Tutaitoa siku ya kumaliza maombi haya kwa kuiombea nitakavyoelekeza chini kisha utanipigia Simu


Soma mstari huu

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Matendo ya Mitume 10:4

[4]Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu. 


4:Utafata maelekezo na Jinsi ninavyokuongoza Namna Yakuomba.



MAOMBI HAYA TUTAKAVYOOMBA NI HIVI.


Rungu la Kumpiga nalo Shetani na Falme zake ni Mstari huu Tutausoma mara tatu kuurudia.

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


Wakolosai 1:13

[13]Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake; 



Kumbe Sisi tulishamishwa kutoka kwenye nguvu za ngiza Swali la kujiuliza Kwanini unaendelea Kuteseka wakati umeokolewa ni Kwa Sababu ya dhambi eidha wewe umetenda dhambi ukajirudisha au wazazi wako 

Soma Maombolezo;4;22


Sasa hakikisha unapohamisha hama na vitu vyako vyote inawezekana wewe Umefunguliwa lakini vitu vyako havijafunguliwa kazi yako haijafunguliwa Biashara haijafunguliwa kwa hiyo tutatumia mamlaka ya kuuhamisha huo ufalme uliosimamia kazi zako Biashara zako mahusiano yako tumbo lako uzazi wako.



OMBI LA KWANZA


Ombea ufalme wa Bwana uje kwenye kazi yako uchumi wako Biashara zako tumbo lako


Mathayo 6:9

[9]Basi ninyi salini hivi; 

Baba yetu uliye mbinguni, 

Jina lako litukuzwe, 

Ufalme wako uje, 



    OMBA HIVI;

1:Baba Yangu uliye mbinguni Jina lako litukuzwe na kuinuliwa kwangu Ufalme wako uje kwenye kazi zangu  Ufalme wako uje kwenye familia yangu Ufalme wako uje kwenye Biashara Zangu Ufalme wako uje kwenye Ndoa yangu kati ya Neema na Richard...(Endelea kuweka hivyo Unataka Mungu aje kwenye eneo lipi) Katika Jina la Yesu.Amen 


Rudia Rudia × 8


Huku unatembea tembea.



2.OMBI LA PILI

Ombea Kila Jambo lilopangwa Kwenye Maisha yako Na Mungu Baba Kwako lianze Sasa Kutimia Kwa macho yako ulione Sasa hivi likitendeka.


        Mathayo:6;10

[10]Mapenzi yako yatimizwe, 

hapa duniani kama huko mbinguni. 


      OMBA HIVI 

"Bwana Yesu Ninakuomba Utimize mapenzi yako ya mimi kuwa na mke wangu/Mume wangu ulisema utanipa ubavu wangu macho yangu bado hayamuona naamini yupo lakini Sasa mlete kwangu ukatimize mapenzi yako kwangu ya kuowa/Kuolewa Katika Jina la Yesu.Amen 


Rudia rudia ×5

Omba umepiga magoti.



"Bwana Yesu Umesema unambariki yule afanyaye kazi mimi sina kazi naomba mapenzi yako yatimizwe ndani yangu naitaji kazi serikalini kwa eneo la--------(Jaza kazi) mfano.mifungo, ualimu, au Afya. Unajaza)Nipe nipate Sadaka ya kukutolea namimi hata fungu la kumi natamani nikutolee kwa viwango vikubwa Sema Kazi yangu hainipi kipato kikubwa ndiyo maana nimekuja kwako utende kwangu Katika Jina la Yesu.Amen 


Rudia rudia ×8


Endelea kuomba kwa mifano hii niliyoitoa kukuongoza.



3.OMBA MUNGU AKUEPUSHE NA TAMAA NA VISHAWISHI MBALIMBALI. 


Huwa Kuna wakati adui anakuletea majaribu ya wewe uwe mwizi wa fungu la kumi au uanze kutenda dhambi ya kuzini unaanza kutafuta andiko linalokusaport ufanye uovu wako ujue hiyo ni roho ukiendelea itakutumikisha wapo wegine wanakata tamaa au kunug unika kumbe adui anawapa mazingira hayo ili aendelee kuwatesa 


Omba hivi


Bwana Yesu ondoa Vishawishi mbele Yangu ondoa Vizuizi mbele Yangu Uniondolee Majaribu mbele yangu Ninaomba Kupitia 

Mathayo 6:13

[13]Na usitutie majaribuni, 

lakini utuokoe na yule mwovu. 

[Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele  Katika Jina la Yesu

Amina.] 


Rudia rudia ×4



MAOMBI HATARI YA KUHAMISHA 

Fata muongozo huu

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Anza kujifunika kwa Damu ya Yesu Karibisha majeshi mbinguni yaje ulipo yaweke makao mpaka umalize maombi.



Unapomaliza unaomba kukataa roho za malipizi au visasi kwako.


Omba hivi Nakataa roho za malipizi kwangu katika Jina la Yesu.Amen 


1;ANZA KUSHUGHULIKA NA MAMBO YAKO YANAYOKUTESA.


Mfano.

1:Nahamisha uvimbe ndani yangu Kwa Jina la Yesu nakug,oa nakupanda Baharini Katika Jina la Yesu.Amen 


2.Namhamisha huyu Bosi Anayezuia malipo yangu aondoke aje atakayesimamia Pesa  Zangu nilipwe Kwa Jina la Yesu.Amen 


3.Nahamisha mahusiano yaliyosungu uchumba sungu ondoka kwenye maisha yangu naleta uchumba wenye mwelekeo Katika Jina la Yesu.Amen 


4.Nahamisha roho ya kupanga naleta roho ya ujenzi wa nyumba nzuri ndani yangu Katika Jina la Yesu.Amen 


5.Nahamisha maumivu ndani yangu naleta afya katika Jina la Yesu.Amen 


6.Nahamisha Kisukari ndani yangu Naleta afya ndani yangu katika Jina la Yesu.Amen 


7 Nahamisha roho ya utasa ndani yangu naleta roho ya kuzaa watoto wengi katika Jina la Yesu.Amen 


8.Nahamisha roho ya wizi wa fungu la kumi au yakutanguliza mambo yangu nakumuweka Mungu awe namba 2 Naleta roho ya uaminifu kwa Mungu na kumtanguliza kila jambo nianze nayeye katika Jina la Yesu.Amen 


9.Nahamisha roho ya kukata tamaa kwangu naleta roho ya ujasiri Katika Jina la Yesu.Amen 


10.Endelea kutamka kwa ujasiri kwa mkazo na msisitizo hamisha hamisha vitu kwako Fata muongozo huo wa kuomba kuhamisha.



Ukiona roho imekutesa ujue imeondoa roho ya Amani ikaweka roho yakukosa Amani


Unateseka huolewi ujue imeondolewa roho ya kuolewa ikawekwa roho ya kutokuolewa.


Maombi haya omba siku 14 ukiwa unafunga masaa 12 au 6.



Siku Ya 14 Utaombea Sadaka Yako hivi


πŸ‘‰πŸ‘‰MAOMBI YA KUOMBEA SADAKA YAKO


Baba natoa hii Sadaka mbele ya kiti chako kwenye kiti cha enzi Bwana Sadaka hii ipate kukubalika machoni Pako Mungu Wangu nenda ukajibu na Kuhamisha kila kitu nilichokihamisha Sitaki nikione naomba utende Sadaka hii naitoa kupitia Madhabahu yako ya Holy Spirit Katika Jina la Yesu.Amen 


Rudia× 4


KISHA ITOE KWA


M-PESA 0759861768


TIGO PESA 0710889892


HALO  PESA 0628355985


CRDB BANK 0152361572400


JINA: RICHARD JULIUS KUSHOKA 


Hakiki Jina Kabla hujadhibitisha kuituma.


Baada Ya Kutuma nipingie Simu nikuombee nakukufunika kwa ulizi ili mashambulizi ya roho ulizopambana nazo zisiaze kukusumbua.



Tuma kwenye magroup yako maombi haya.

πŸ‘‰πŸΎπŸ‘‰πŸΎπŸ‘‰πŸΎUsiombe bila kusoma ukaelewa mambo ya kuzingatia

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni