ππππππππ΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄
2024 Mwaka Wa Kusitawi (Mwanzo;26;13)
πππππππππΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
2024 Hatutembei Kinyoge Sisi.
Habari Mwana Wa Mungu Maombi ni watu wanaotaka kuolewa au Kuowa lakini hawana mahusiano wapo Singo Kabisa Haya ndiyo maombi yao kama unamchumba au rafiki lakini urafiki wenu sungu Unatakiwa Simama na maombi ya kucheleweshwa na yakujenga madhabahu ya uchumba yaombe mpaka uone mmetoleana mahali Jifunze Kuwa na Msimamo wa Kuomba mpaka uone Matokeo maombi yako yamekupa majibu.
Naitwa Pastor Richard Ninayekuandikia Maombi haya nakukuongoza kwa msaada wa Roho Mtakatifu nimetoka Maombi ya Asubuhi nasikia Sauti niandikie maombi haya.
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA NA UFAFANUZI WA MAOMBI.
A.Usiombe ukiwa unaye mtu tayari au hujasoma ukaelewa maelekezo ya uombaji.
B.Utaomba Siku Tatu Siku ya nne utatoa Sadaka yako kwa ajili ya hayo maommbi ya kupata mke au mume Hiyo siku hutaomba utapumzika na Siku ya Tano hutaomba
Siku ya Sita utaendelea mpaka uone matokeo ndiyo utaacha.
Sadaka Yako Isiwe chini Sana au Usijishushe Kama Huna Bora Usitoe Kuliko kutoa 2000 1000 Jiwekee Kiwango cha 5000 nakuendelea Kama upo chini usitoe toa mwili wako Shuhudia watu na kuwaleta kwa Yesu. Usitoe chini ya 5000 chini ya hapo toa mwili wako na muda wako kuvuna watu nakuwauga kwenye group hiyo itakuwa Sadaka bora kwako Sadaka siyo pesa tu hata Chochote kile unaweza kushuhudiwa utoe toa. TAMBUA SADAKA NDIYO HUKAMILISHA MAOMBI YAKO FANYA KITU KWA BWANA NAYE AFANYE KITU KWAKO HASA UNAPOUTOA MUDA WAKO TU NA MWILI WAKO UKAENDA KUSHUHUDIA NA KUWALETA WATU KWA YESU HII SADAKA NZURI KAMA UPO BIZE TOA SADAKA PESA AU KITU CHOCHOTE. Kama Huwezi Kutoa Kwa Bwana Basi Maombi Usiombe Subiri maombi yakuomba bila kutoa utaomba.
Hizi siku mbili ya Tatu ikitoa Sadaka yako Hebu Tulia uweponi hata Nusu Saa Na Siku ya Tano Tulia nusu Saa Kwa Muda ule ule uliokuwa ukiomba Mungu Atasema nawe.
1.Atashuhudia Sauti ndani yako itasema nawe isikilize vizuri uje uniambie.
2.Atasema Kupitia Neno unaweza kupewa mstari Wa Biblia mfano.
Yeremia 29:11
[11]Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA,
3.Utaota ndoto au utaona picha ya kitu Baada Ya Maombi haya.
Utanipigia au utatuma sauti WhatsApp kuniambia
C.Omba Kwa Imani nakufata kile ulichoelekezwa Pia Maombi haya utaomba mpaka uone matokeo hutaacha kama hujaona matokeo. SIKU TATU UTAOMBA BILA KUFUNGA SIKU YA NNE UTATOA SADAKA YAKO NAKUNIPIGIA SIKU YA TANO UNAPUMZIKA SIKU YA SITA UTAENDELEA TENA.
.Soma:
Mathayo 7:7
[7]Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa;
Imetupasa Tuombe mpaka Tupewe Tutafute mpaka Tukipate Tunachokitafut.
D.Hakikisha Unapoingia Maombi haya ya Kuomba Mke au Mume Umeacha Wizi Wa Fungu la Kumi Unatoa Fungu la Kumi kwa Baba yako wa Kiroho na Umeshachangua Baba Wa Kiroho Mmoja Usiwe na Mababa Wengi Tafuta Baba Unayeona Atakufaa kukulea na kukushauri katika maisha ya kiroho. Huyo ndiye Awe Baba yako na Madhabahu yako.
Lazima upate Baba wa Kiroho Usiishi Bila huyo hata ukipata mchumba ataombea na kukushauri Hakikisha Kama Unafanya Kazi huli Fungu la Kumi Peleka kwake kama yupo mbali litume kwake. Malaki;3;8-9
Kutoka:23:20
NAMNA TUTAKAVYOOMBA HAYA MAOMBI.
ππππππππππππππππ
Unapoomba unapoona mume au mke kama wewe unayeomba mwanamke utataja mume mwanaume utataja mke Unauganisha maombi unaendelea utaona sentesi inanyoka kama huwezi fanya tu mazoezi utazoea kuomba
OMBA HIVI:-
1.Bwana Yesu Nashukuru Kwa Kuniwazia Mema na Kuniwazia mawazo mazuri kama ulivyosema Yeremia:29:11 Kuwa unaniwazia Mazuri unaniwazia mema nataka wazo lako la mimi kunibariki mke wangu au Mume wangu naomba litimize ili niondokane na mawazo mabaya ya kuwaza labda wewe Bwana mimi umeniacha Labda wewe Bwana Hutaki Mimi niolewe Kama njia zangu nimetubu na Nimeamua hata tabia zangu zimebadilika nilikuwa nikweli hata fungu la Kumi Sitoi Nilikuwa Mwizi Kwa Sababu Sikupata mafundisho yaliyonijenga kiroho ninaomba Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×4
Omba ombi hili ukiwa umesimama umekusanya mikono au Umenyiosha juu
2.Bwana Yesu Mimi Sipendi Niwe Nafanya dhambi ya Kuzini Lakini Mwili wangu unafikia Kipindi naitaji kufanya hivyo mume sina au mke sina naingia kishawishi cha Kuzini nakujifarinji nitatubu Mbona Daudi alizini namimi nitasamehewa mawazo hayo akilini mwangu ndiyo hufanya maamuzi ya mimi kukosa na wewe siyo kwamba Sijasoma Mathayo;5;27 Ulivyosema ninajua umenikataza nisizini Naomba Sasa Nipe Mweza wangu uliyekusundia niolewe naye au nimuowe Muda wangu Bwana umefika mwenyewe nipo tayari kuupokea ubavu wangu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×3(Omba ukiwa umepiga magoti ombi hili)
3.Nakuita Bwana Kwenye Eneo la mimi Kiowa au kuolewa limekuwa changamoto Sana Imefikia Kipindi watu wananisema mimi na mikosi mara na Vifungo Bwana Bwana Bwana Mimi ni Wako hii Mikosi itoke wapi hizi vifungo vitoke Wapi Tazama nimekuwa nikijitoa kufanya kazi yako nimewahubiria wengi wameokoka kupitia mimi pia mimi ninachoamini nakujua ulishanikomboa ukanihamisha kwenye malaana ya ukoo vifungo vya ukoo Umesema Wokolosai;1;13 Nami nahamisha kila kizuizi Nasema Kwamba roho inayonizuia mimi nisiowe au nisiolewe Nayiapisha Kwa Jina la Yesu Ondoka Uniachie Kwa Jina La Yesu Niachie Kwa Jina la Yesu Nafyatua Nafyatua Kila Mitengo Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×5 (Tembea tembea nakufanya ishara za kikakamavu kama sauti toa kwa msisitizo)
4.Ndoa Zote Za Kipepo ndoa za majini mahaba yanayofukuza watu sahihi kwangu kupitia hasira zangu nasema vueni Pete zenu ondokeni Nasema Toeni Sura Zenu mimi siyo wa kukataliwa siyo wa kucheleweshwa siyo wa kukalishwa nyumbani najifungua kila Kifungo Katika Jina la Yesu.Amen
.Rudia×4(Anayetakiwa mwenye tatizo la Jini mahaba ombi hili omba kwa kumanisha)
5.Naona mke wangu au mume wangu Amejisahau kuwa mimi namsubiri aje Tufunge naye ndoa Sasa huko aliko natembeza fimbo Natembeza Fimbo wewe mke wangu utatembea uje kwangu uje kwangu mimi muda wangu wa kuolewa umeshafika nakutandika fimbo utakuja tu utatembea tu lazima utembee nayaka nikutane nawewe Katika Jina la Yesu.Amen
Endelea Kuomba Kadiri maneno unavyoona yanakuja ruhusu Roho Mtakatifu akufundishe endelea kuomba tu mpaka kinywa kinyamaze maneno yakutamka taishe
Simamia Hiki Kitabu kwa Hayo maombi utakayoendelea nayo.
Mithali 19:14
[14]Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye;
Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA.
NAKAZIA Haya maombi omba mpaka Usabambishe Majibu na Matokeo Juu ya Kile Unachokiomba omba Fata ulivyoongozwa ili kufikia majibu yako.
Hata kama ujui Tamka Jifunze Kutamka maombi haya uliyoandikiwa omba mara kwa mara
.Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni Kanisa la Holy Spirit church Tanzania
Moto wa Yesu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni