Haya Maombi Yanaenda Kushughulika Na Watoto Wanaopita kwenye mapito na walio hawawezi kuomba Tunatakiwa kuwavusha.
TUNAOMBEA YAFATAYO.
1.Wanangroup Wote Group namba 1 na 2 na nsmba 3 Tunaombea mahitaji Yao.
2 Tunaombea Watoto Wote Wa Pastor Richard Popote walipo
3.Tunawataja Kwa majina na kuyawasulisha kwa Mungu ndugu zetu Na Pastor Richard Tunamuombea
4.Ombea Kanisa la Holy Spirit church Tanzania
5.Tunaombea VIONGOZI wa Maombi mikoani Mungu Awape Watu zaidi wanaopenda Maombi watakaoshirikiana nao.
MAMBO YA KUZINGATIA
1 Hutafunga unatakiwa uwe umekula
2.Unatakiwa utembee utembee unapoomba
3.Unatakiwa Tamka Kwa Ujasiri na Uondoe hofu unapoomba
4.Toa Sauti na Maneno Yasikike
5.Hutatoa Sadaka Labda usikie sauti inakuangiza uyatolee Sadaka utatii lakini usiposikia Sauti inakushuhudia usitoe..
6.Tunayaomba Saa kumi kamili mpaka kumi na mbili jioni. Tutaomba Siku 28 Tukijiugamanisha na Upako wa Kanisani
NAMNA YA KUOMBA
1 Roho Mtakatifu ndiye atakuongoza
Utaona kinywa chako kinafunguka katika kuomba omba.
2.Usikatishe Maombi omba mpaka maneno yaishe.
WANAOFIKA KANISANI WATATUKUTA TUNAENDELEA NA MAOMBI HAYA Asubuhi tutapata masomo jioni Tutaingia Maombi Utakaa siku tatu ukija Uje umejipanga hilo
Mungu atembee na Wote mnaofika kesho.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni