.
Habari Mwanangu Leo Hii Nataka Nifundishe maombi yakuiba unachofundishwa au Kusahau Sahau ulichofundishwa Na Mchungaji Hii Unaweza Ukaona Kama Hali Ya Kawaida Kuwa unaona maombi au masomo unasoma Juu juu au unasikia Neno unapuuza hii inakuja kukufanya ukose Nguvu ya Kusimama na Mungu nakusitawi kwa kuwa huna mizizi .Kuna matatizo unayapitia Leo Kwa Kuwa Hukutii na Kufata ulivyoongozwa na Kufundishwa Eidha na Baba Yako wa Kiroho.
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni
Kanisa la Holy Spirit church Tanzania Moto wa Yesu
MISITARI YA KUSIMAMIA.
=////=======//////=======
Mathayo 13:20-23
[20]Naye aliyepandwa penye miamba, huyo ndiye alisikiaye lile neno, akalipokea mara kwa furaha;
[21]lakini hana mizizi ndani yake, bali hudumu kwa muda; ikitukia dhiki au udhia kwa ajili ya lile neno, mara huchukizwa.
[22]Naye aliyepandwa penye miiba, huyo ndiye alisikiaye lile neno; na shughuli za dunia, na udanganyifu wa mali hulisonga lile neno; likawa halizai.
[23]Naye aliyepandwa penye udongo mzuri, huyo ndiye alisikiaye lile neno, na kuelewa nalo; yeye ndiye azaaye matunda, huyu mia, na huyu sitini, na huyu thelathini.
DALILI ZINAZOKUJULISHA ADUI ANACHUKUA BARAKA ZAKO ZA NENO.
1.Unakuwa ukisikiliza Neno unaanza kusizia au mawazo nje ya Pale.
2.Unaanza Kusoma Nusu au Kupitia Juujuu Masomo yanayopostiwa.
3.Unaanza Kudharau na Kuona hata peke yako unaweza kujiongoza pasipo kuwa na Baba Wa Kiroho.
4.Unaanza Kuteswa na mapepo magonjwa laana mbali mbali kwa kuwa huhifadhi Neno la Mungu.
5.Unabaki viwango vya chini chini Sana.
MAMBO YA KUZINGATIA HAYA MAOMBI.
1.Tutaomba Siku 2 Walengwa ni walioibiwa nguvu yakufanyia kazi wanachoelekezwa.
2.Tutaenda mbele za Mungu kwa Machozi Yaani Tutanyenyekea chini ya miguu hutaomba umesimama.
3.Tutakuwa Na Sadaka Yetu Kiasi unachosukumwa utoe Tutaitoa siku ya Pili baada ya Maombi.
4.Tuamue Kubadilika Tupandwe KWENYE UNDOGO MZURI TUWE WATENDEAJI WA NENO LA MUNGU TUKUBALI NENO LITUTENGENEZE NAKUTUBADILISHA KIROHO NA KIMWILI.
5.WEKA PATANO UTATII NA KUFANYIA KAZI NENO LA MUNGU NA UNAVYOELEKEZWA NA BABA YAKO WA KIROHO ALIYEKUPA MUNGU Akuongoze Kiroho.
Soma Kutoka;23;20
6.Fanya MAZOEZI ya Kujifunza Kuwa Karibu na Mungu nakuomba mara kwa mara ili kinywa chako kizoee kuomba.
7.Maombi haya Omba Kwa Muda wako uliotulia Usifunge omba bila kufunga.
JINSI YA KUOMBA
================
#Piga magoti kusanya mikono yako au nyosha juu unapoomba
1.Bwana Yesu Nakushukuru Kupitia Somo hili umenikumbusha namna ya mimi ipasavyo kuishi ndani Ya Neno lako ni kweli nimekuwa bize Sana na Dunia na Utafutaji sipati hata muda wa kutafakari Neno lako Naomba Unifundishe Kupangilia Muda Wangu niwe napata muda wa kusoma na Kutafakari ninachofundishwa Katika Jina la Yesu.Amen
2.Naomba Mungu unipe ufahamu wa kuhifadhi na Kufanyia Kazi Unachonifundisha na kunielekeza Kupitia Baba Yangu Wa Kiroho na Watumishi wote uliokusundia Wanilee Kiroho Katika Jina la Yesu.Amen
3.Mimi sitapandwa kwenye miiba na wala sitaelemewa na Ubize nikaacha Neno lako Bwana mimi nitalitumia Neno lako wakati wote maana nitalitunza moyoni mwangu Mimi nitakuwa Baraka Kwa Wegine Nuru Kwa Wegine Katika Jina la Yesu.Amen
4.Tumaini langu niwewe Ruhusu Roho Mtakatifu Aje Anifundishe na Kunielekeza Anisaindie kuelewa vizuri maandiko hata ninachokuwa nakisoma nikielewe Katika Jina la Yesu.Amen.
5.Hapa endelea Kuomba maneno yanayokuja ndani yako Tamka na Kaza Sauti unapokuwa unaomba Jifunze kutamka hata kama unaona uvivu omba kemea roho zinazokuzuia usiombe.
KISHA SHIKA SADAKA YAKO KAMA UNAYO.
Baba yangu kupitia maombi haya nimekuja mbele zako na hii Sadaka ipokee uyape kibali maombi yangu Bwana Ninakutolea Katika Madhabahu hii Ya Moto Wa Yesu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×3
TOA KWA
M-PESA +255759861768
TIGO PESA +255710889892
HALO PESA +255628355985
.
Bank CRDB 01523615724000
Western Union/Moneygram/Worldremit
JINA; RICHARD JULIUS KUSHOKA
Nchi Tanzania
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni