Zoezi linaanza Soma ukiwa naye miongoni mfate inbox Pastor umwambie
π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³
Habari Watoto Wa Mungu
Nilisema mwaka huu nitawafikia majumbani Kwenu na kuwafungua Kupitia Kuwafundisha na kuwaombea Soma mpaka mwisho ujue ratiba yako ipange sitopenda nifike kwa mtu aliyenitumia nauli awe bize halafu wafunguliwe wengine Nikifika Kwako nitaitaji hizo siku tatu uzitumie vizuri.
Tar.4-3-2024 mpaka Tar. 4-4-2024 Nitakuwa nikiwafikia kila mkoa watoto wa Mungu Nikizunguka mikoani kwa Watoto Wote mlipo popote mpaka nyumbani kwako nyayo hizi zikikanyaga kwako Amini utapokea Kufunguliwa Live.
UTARA TIBU UTAKAVYOKUWA KWA ANAYEFIKIWA NA PASTOR RICHARD
Kutoka:23:20-23
1.Utagharamia kumsafirisha PASTOR RICHARD Na Kumrudisha
2.Atahudumia Siku 3 tu Haitahesabika Siku aliyofikia itaanza kuhesabika siku za masomo Kuanza Kwako
3.UTARATIBU UTAKAVYOKUWA UKIFIKIWA NA PASTOR RICHARD
MUDA WA DARASA TUTAKUWA TUKIANZA
πππππππππππππ
Saa.8:30 Mpaka Saa:6:00 Mchana ni Darasa na mafundisho Utazingatia Muda.
πMAOMBI NA MAOMBEZI KWA WENYE MATATIZO TUTAANZA SAA.
ππππππππππππππ
Saa.10:00 Jion mpaka 12:00 Ni Maombi PASTOR RICHARD atawaombea nakuwafungua waliofungwa .
Muda wa Pastor Richard Kukaa ni Siku 3 Siku ya 4 ataenda Kwingine Kwa Kufata Risit za Watoto Wanaofikiwa.
PASTOR RICHARD ATAWAFIKIA WATU WOTE WATAKAO KUWA TAYARI WAMEKAMILISHA KUTUMA NAULI ZAO NA HAKIKISHA UNAZINGATIA MUDA WA DARASA NA WA MAOMBI NI VYEMA UTOE TAARIFA KWANZA MIMI NITAKUWA NIKIKUJULISHA NIKIKUAMBIA TUMA NAULI UWE TAYARI UJUE NAFATA KWAKO KUKUFIKIA.
WALENGWA
1.Wanafamilia wote
2.Rafiki Zako
3.Waliofungwa na nguvu za giza
4.Wenye mahitaji mbalimbali
UNATAKIWA KWENYE DARASA
1.Uwe na Biblia na Notbook na Pen
Usikose hivi vitatu ili ufunguliwe kupitia mafundisho.
Kama Hujaelewa Mfate Inbox umuulize
JIPANGE NAULI NA UNIPE TAARIFA MAPEMA INBOX YANGU KAMA NAWEWE UNATAKA PASTOR RICHARD AKUFIKIE HAPO KWAKO ULIPO.
Tarehe moja mwisho wa Kupokea Taarifa Ukinieleza Nje ya hizo Tarehe nitakuwa nishafuga Kupokea Taarifa na Nitakao wafikia ni wale watakaonitumia Taarifa na hakikisha upo tayari kufunguliwa.
MAJINA NITAKAOWAFIKIA.
1.Agness Bugeπ Tanga Korongwe
2.Estherπ Bangamoyo
3.Esther ππMwanza Ilemela
4.Mary kisesa mwanza
5.Naomi πmusoma
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni