UCHUMBA MASWALI NA MAJIBU
=======:::::::::=====+++++++====
1:Baba shalom Naitwa Farinda,,, samahani naomba kuuliza ivi nikitaka kufanya maombi nijue mtu sahihi wa kuolewa naye inabidi nifanyaje?
MAJIBU YAKE
Kwanza Futa Akilini Mwako Usiwe na mtu.
Omba mwambie Mungu Naomba umlete mume wangu umri wangu wa kuolewa/Kuowa umefika popote alipo namcharaza fimbo fimbo Aje haraka wiki hili Nionane naye Awe Amenyoka awe Na hofu ya Mungu kama mimi ninavyokupenda Katika Jina la Yesu.Amen
Simamia Mithali;31:10
2;UCHUMBA MASWALI NA MAJIBU.
==========:::::::::::=======
Bwana Yesu Asifiwe Naitwa Tute Baba Yangu Pole kwakweli mabint unatusaindia mno..
Baba kwe hili swala LA kuomba MTU sahh kwakwel nichangamoto mno mm wakat fulan nilikutana nakijan flan ambae nimtumishi wa Mungu hyu kijan Kna wakat alikuw anatembelea nyumba hadi nyumba kjua washirik wake cku hyo alinikta nyumbn wengne walikuw hawapo wakat pale wanauliza mambo yakuombea nilitaka baadh bt aliniuliza una mchumb elim yako nakadhalik ukwel nilijiuliza kwann ananiuliza maswal hayo na hata nilipokuw nakutana naye alikuw ananichangamkia xna na ata wakat mwengne akiniona ananiangalia xna nikimuangalia anakuw anaangalia then anaangalia pemben lakn cku ambayo piah nilishangaa ni cku ambayo tulikuw na ckukuu yavibanda(makambi) Ka ilivyo kwa kila mwaka wasabato yy alikuw anatufundisha somo la uchumba kwa vijan nilivyokja nilikuw nimechelewa nikakta wapo kwe Yale maombi ya minyoror ingawa bado walikuw hawajaanza kuomba alivyonionat alini niita yan ww ndo una kja njo hapa nikaenda akawa amemuachia MTU mkono nikaingia pale akanishik mkono hudum ikaendelea lakn wakat huo wakaw wa nakja wengne akawa anawaambia ingien kwe mraba namengne mengi ukwel nimchungaj ambae niliamin huenda ndiye mungu alieniandalia ingawa hajanitongoza bado tpo Ka marafiki mana cku zilivyoenda alihamishwa nakupangwa mtaa mwengne cz pale nikam alikuw filid cz ndo alikuw amehitim chuo ?
swali baba ang iv nnavyoomba kwa ajil ya MTU hyu nakosea ?
Maan mm naona Ka Kuna vikwanzo flan shetani anavizuia Coz ata mwaka Jana alikuja huku moshi kulikuw na maazimisho ya miak hamsin ya dini na huku sa walikuja wachungaj mbalimbali nayeye alikuwepo yan nilishangaa yupo nyum yang wakat anasalimia watu wengne anaojuana nao mm alikuw ananipga macho But Kama mchungaj halafu kijana inakuwa nichangamoto eti kaja na kunisalimia halafu mbele zawatu wengi alikuja akasimama akaniangalia then akaondoka nihistoria ndefu BUT ukwel Mungu angeruhusu hili litokee nafurahishwa Sana jinsi anavyotumika shambani mwa Bwana.
MAJIBU YA SWALI HILI.
Ansate Sana Kwa Swali Nzuri Na Mabint Wengi Wamekuwa Natabia hii wakimuona kijana au mtu anawaonesha Upendo anawachangamkia au Kuwasalimia kwa bashasha Akili zao na mioyo yao inaanza kuvutiwa taratibu Mwisho Wa Siku Wanaingia Maombi Kumuomba Mungu Awape Mume Lakini Akili zao Zinamtaka yule wa kanisani kwa kuwa humchangamkia nakumsaindia Akija Kuomba ataomba Akiwa Anatengemea Atakuja Kumtongoza ndiyo akutane na Mchungaji Asiye elewa Protoko za Mungu kukupa mume atakuambia huyo ni mumeo kumbe siyo ukimpata wa hivyo huyo unakuwa umejipa kwa Akili Zako.
MADHARA YAKE.
1;Mtazini kabla ya kusudi la ndoa kutimia.
2;Ukiingia ndani ya ndoa utapitia maumivu na machungu ndani ya ndoa utachukia kwanini uliolewa.
3;Kiuchumi utashuka Mungu huwa habariki palipo na uchungu palipo na maumivu ya moyo palipo na manug'uniko Haya maisha itakuwa sehemu yako.
UFANYE NINI SASA..?
Subiri Mungu akupe hata kama atachelewa atakuja tu Acha Kijana Kuwa na Harakaraka. Unatazama Umri Mungu anajua hilo.
Bora ndoa yenye Furaha milele Kuliko yenye machozi milele.
JIUNGE Kwenye Group la Maombi na Mafundisho upate masomo yakuponye +255710889892
Pastor Richard Wa Morogoro
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni