Jumatatu, 3 Machi 2025

SOMO: MAOMBI YA KWENDA KINYUME NA UTARATIBU WA MATESO YA SHETANI.

SOMO; MAOMBI YA KWENDA KINYUME NA UTARATIBU WA SHETANI NA MATESO YAKE.

     👉👉👉👉Soma hii mpaka mwisho ipo nguvu unapoenda kinyume na kinachosumbua akili yako kwanza kwanini kikusumbue wewe Mwamba Ni Mbabe wa kiroho(Mathayo;11;12) Soma mstari huo

Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Kanisa la Holy Spirit church Tanzania Moto Wa Yesu
WhatsApp +255710889892

"Nakuletea Hili Somo lipo Kiroho inaitaji utulie unielewe namanisha nini ukinielewa ujue umepona..

PiTIA VITABU HIVI KWANZA 
  WARUMI;10:17 Isaya:3:8-10 Zaburi:34:15-22 ESTHER:Sura ya 4 

UFAFANUZI WA KINA KIROHO USICHOKIJUA.
✍✍✍✍✍✍🍇🍇🍇🍇✍✍✍✍✍
    Huwa ipo hivi ili Adui Yako Atawale nafsi yako akili yako mawazo yako fikira zako Anahakikisha Anaweka Tatizo lile Tatizo haliwezi kukutesa au Kukusumbua Endapo hataliwekea Utaratibu WA Namna litawale ndani yako.

MFANO; AYUBU:Sura ya.1
Utaona Shetani Anampa majibu Ayubu hatua ya pili Anaweka Utaratibu akumbaliane na Hiyo Hali Akaweka Utaratibu wa kujikuna na kutoka Juani maana vilikuwa vinamuwasha Lakini ILI APONE AYUBU ILIMlAZIMU HUO UTARATIBU ASIENDELEE KUITII NA KUUMBALI KWENYE AKILI YAKE MAWAZO YAKE FIKIRA ZAKE.


MFANO 2; SARA MKE WA IBRAHIM; Mwanzo sura ya 21

ALIFUNGWA TUMBO ASIZAE NA SHETANI AKATAKA AISHI HIVYO AJIONE YEYE TASA LAKINI UFAHAMU ULIFUNGUKA PALE IBRAHIMU ALIPOZAA NA MJAKAZI WAKE AKASEMA HIVI MUNGU UMERUHUSU KWELI AKASEMA NAENDA KINYUME NA UTARATIBU HUU WA SHETANI. Akazaa isaka.

👉👉👉✅Mwanzo:21:2●●●
 2 Sara akapata mimba, akamzalia Abrahamu mwana katika uzee wake, majira yale ya Mungu aliomwahidi

Hata wewe Unateseka Kwa Kuwa umekubali kwenye akili yako fikira zako mawazo yako Utaratibu wa SHETANI 

ESTHER ALIENDA KINYUME NA UTARATIBU  Point hapa"NENDA KINYUME " uone kama hutapona au Kufunguliwa. UKISOMA SURA YA 4.

Yaani Ipo hivi Kubali Usikubali Unapofata Utaratibu wa Tatizo lilowekwa ndani

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA HAYA MAOMBI. 

1:Tutaomba Siku 7 Tunafunga Masaa 12 Hakuna Kula Au Kunywa.

2:Tutadiri Na Kwenda Kinyume na Matatizo yetu Yanayotutesa Iwe huzai Iwe ni kiziwi Iwe kichwa kinakuumaga Iwe huolewagi au huowagi "CHOCHOTE KILICHOTESA MAISHA YAKO" 

3;Tutayaomba Mfululizo Siku Saba Kwa Muda huo huo utakaoupanga wewe hakikisha unaweka muda ambao hautaingiliana na Majukumu yako ya utafutaji.

4:Omba Maombi Kwa Hasira na Kwa Mamlaka Shetani Asikuzoee Kukuwekea Utaratibu na mateso yake LAZIMA TUENDE KINYUME NA MADHABAHU ZA MAGONJWA MADHABAHU ZA UKOO MADHABAHU ZA KUDHARAULIKA Nk.

5:SIKU YA MWISHO WA UTAANDAA SADAKA YAKO UTAIOMBEA 

Hivi Utaombea Sadaka Yako.
KUPITIA HAYA MAOMBI UTARATIBU WA SHETANI NA MATESO YAKE MAGONJWA YAKE NA KILA NILICHOOMBA HAITARUDIA KUENDESHWA NA UTARATIBU WA SHETENA KWENYE AKILI YANGU MAWAZO YANGU FIKIRA ZANGU MIMI RICHARD NIPO HURU KUPITIA SADAKA HII IKANENE KWENYE MADHABAHU YANGU YA MOTO WA YESU IPOKEE BWANA UKATENDE NA KULETA UDHIBITISHO KATIKA MWILI KWA JINA LA YESU.AMEN 

KISHA UTATOA KUPITIA 

TIGO PESA +255710889892

M-PESA +255759861768

HALO PESA +255628355985

CRDB BANK;0152361572400

JINA; RICHARD JULIUS KUSHOKA 

Utanipigia Ukituma Hii Sadaka


Nakuambia Ukiyaomba Vyema Haya Maombi unaenda Kupona na Kuvuka changamoto Yako.

MSTARI WA KUSIMAMIA;
👇👇👇👇👇👇👇
ESTHER;4;15-16
15 Kisha Esta alituma jibu hili kwa Mordekai:

 16 “Nenda, kusanya pamoja Wayahudi wote walioko Shushani, nanyi mfunge kwa ajili yangu. Msile wala kunywa kwa siku tatu, usiku na mchana. Mimi na wajakazi wangu tutafunga kama mnavyofanya. Baada ya kufanyika hili, nitakwenda kwa mfalme, hata ingawa ni kinyume cha sheria. Ikiwa ni kuangamia na niangamie.”

OMBA KWA MFUMO HUU.

KAMA CHANGOMO ZA OFSINI AU UTAWALA

UTAKAA KWENYE KITI Yaani Utaomba Umekaa Kwenye Kiti chochote kile Imladi kiwe na Jina Kiti.

UNAONGEA KWA MAMLAKA
Mfano nikupendekezwa upande cheo.

Kila utaratibu Ambao Shetani Umeuweka na Unataka niufate au umekuwa ukinitumikisha niishi kwenye Hali ya Nafasi hapa kazini ambayo siyo yangu sikiliza nakuja KINYUME cha Utaratibu wako Nakuja Kinyume cha Sheria Zako Katika Jina la Yesu.Amen 

Kila Kazi Ambazo nilitakiwa nizipate Utaratibu wako wa kuzuia ninakuambia kuanzia Sasa  Uachie Utaratibu wako wa kuzuia kwangu siutaki katika Jina la Yesu.Amen 

KWA WENYE CHANGAMOTO ZA KIAFYA NA ZINGINE ISIPOKUWA YA UJAUZITO YAANI WANAOTAKA MTOTO WA WATASHIKA TUMBO.
WENGINE TUTATEMBEA TEMBEA

MAGONJWA; Kila Utaratibu wa kuumwa mgogo uti wa mgogo Kuumwa mwili huu utaratibu siyo wa Mungu wangu ni wako shetani kuanzia Sasa magonjwa yako yaondoe mwilini Mwanagu Yaondoe Siutaki utaratibu wako wa kunipa magonjwa magonjwa katika Jina la Yesu.Amen 

KIZIWI: Shika Masikio Semesha masikio yaambie Hivi nyinyi masikio yangu Mungu si aliwaumba mniongoze Kusikia siyo nisisikie Sasa nawaambia Yule aliyewafunga na akaweka Utaratibu nisiwe nasikia huo utaratibu ninauvunja siutaki kabisa katika Jina la Yesu.Amen 

Endelea kuomba maneno yataendelea kuja.

KUOWA/KUOLEWA: Utaratibu wa Kuwa Singo si utaki kuanzia Sasa kila nguvu ya ngiza au utumwa wowote au nguvu za kichawi au Tabia Za Shetani Zinazoweka Utaratibu ndani yangu nisiowe au nisiolewe ninaukataa huo utaratibu namtaka mke wangu namtaka mume wangu katika Jina la Yesu.Amen. 

BIASHARA; Wewe Uliyezuia Wateja Wasije hivi nani kakupa amri uweke utaratibu huu kwangu nasema hebu achia wateja wangu wanted kunipigia simu sitaki utaratibu wa kuzuiliwa wateja uniwekee nasimama kinyume nawewe shetani katika Jina la Yesu.Amen 

Endelea Kuomba Maneno yatakuja lakini omba kwa mtindo wa kuongea na kitu.

Unajua Ni Utaratibu upi shetani ameuweka kwako Simama Kinyume nao.


HITIMISHO 

Tuombe Kwa Uaminifu Kadiri unavyosoma ufahamu wako utanielewa namanisha nini kisha hata kuomba utaomba vizuri Sana.

Kama Utakuwa Unaswali Tafadhali niulize WhatsApp inbox yangu +255710889892 Natumia Tigo Saivi.

"POINT HAPA "NI KWENDA KINYUME NA
UTARATIBU WA SHETANI"
Hii point ukinielewa Esta alitumia Neno hili Kujipatia ushindi nawewe unaweza kutumia Neno hili kujipatia ushindi.

Shirikisha maombi haya na wegine

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni