"DARASA la UCHUMBA"
Karibu Mdau Wa Elimu Ya Mahusiano Mimi Mwalimu Wa Wanandoa Pastor Richard Nakukaribisha Katika Somo hili Kichwa Chetu Kinasomeka Mapenzi Yana Lugha mbili Tu. Ambazo ndiyo Zinaweza Kuharibu mahusiano na kuyafunga au Kufugulua mahusiano.
Tujifunze Pamoja.
1:LUGHA YA KWANZA NI KUSEMA "HAPANA" Hii Lugha humanisha Kukataa mtu kukukataa na mahusiano kukukataa Unapokuwa Unamahusiano yaliyogoma yatakusumbua hata kama wewe ukisema ndiyo menyewe Yakisema Hapana ni Hapana Usilazimishe.
2;LUGHA YA PILI NI KUSEMA "NDIYO"
Hii Lugha humanisha Kukubali mtu kukubali uwe naye kwenye mahusiano kwa ajili ya malengo fulani Kwa Hiyo Hii Lugha Ikikubali Ujue mahusiano utayatawala na Kuyaendesha Unavyotaka
Chunguza upo kwenye Lugha ipi ya mahusiano kwako.
YAKOBO;5:12
12 Zaidi ya yote, ndugu zangu, msiape, iwe kwa mbingu au kwa dunia, au kwa kitu kingine chochote. “Ndiyo” yenu na iwe ndiyo, na “Hapana” yenu iwe hapana, la sivyo mtahukumiwa.
Somo hili linakupa mwanga ujue Mahusiano hayana Lugha Moja.
Kama unaswali uliza inbox
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni