1Samweli;1:19_20
Tumia Baraka Ya Hanna na Mfano Wa Maombi Yake.
1SAMWELI:2:21,
21 Bwana akawa mwenye neema kwa Hana, naye akapata mimba akazaa wana watatu na binti wawili. Wakati huo, kijana Samweli akaendelea kukua mbele za Bwana.
MAJIRA YA MUNGU KUTENDA.
Soma 1Samweli;1;19
FATA HAYA MAELEKEZO.
1;Asubuhi kuanzia Saa. 11:00-12:30 ALFAJIRI.
Tafuteni mtoto.
2:Hakikisha Unaombea Tendo la ndoa kabla hamjaanza na mweza wako.
3;Tolea Sadaka Maombi Haya Kila Mara Utaona nguvu ya Majibu
4;Uelewe Kalenda vizuri ya siku zako.
TAMKA MANENO HAYA UKIWA UMESHIKA TUMBO.
Omba haya maombi kisha tafuteni mtoto na mumeo utapokea muujiza huu.
Sema hivi: Bwana Kuwa Mwenye Neema Kwangu Nibariki Tumbo langu Kama Hana ulivyomkumbuka ukampa Mapacha watatu mara 2 Nami Nipe Watoto mapacha watatu maana moyo wangu nimekuwa mwaminifu katika maombi kukumbusha nimekuwa mwaminifu wa zaka katika madhabahu yangu kwa Baba yangu wa kiroho uliyenipa Pastor Richard kama Hanna alivyokuwa mwaminifu kwa Baba Yake Wa Kiroho Elly Nami Sitaacha Kukusifu na kukutolea shukurani kama Hanna.Ninaomba Nikiamini Kwa nguvu ya Jina la Yesu.Amen
Rudia ×4 Tamka kwa kuikaza sauti yako na kwa mamlaka.
JIANDAE KULEA MAPACHA
Nifate inbox ukiwa hujanielewa Mwanangu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni