"DARASA LA UCHUMBA"
Tusome Mithali;12:1-5 Mithali;18;15
▪︎°▪︎°▪︎°▪︎°▪︎°▪︎°▪︎°▪︎°▪︎°▪︎°▪︎°▪︎
Tunapojifunza hivi Tunapata Maarifa na ipo inakusaindia wewe unayefikiria kujiua kwa sababu ya mapenzi ni Suruhisho au Kug;ag,Ania Usipopendwa ndio upendo Acha nikuambia Mahusiano ni Darasa Pana Sana Kama ukiwa hupendi kujifunza masomo ya uchumba kutoka kwa waalimu mbalimbali ya Mahusiano yatakuliza kila Siku Sababu hayaitaji uzame rohoni yanaitaji Elimu ujifunze.
Mfano Somo la leo nafundisha ni Bora uchumba ukauvunja kama hueleweki kuliko kuingia kwenye ndoa itakayokufanya utamani kutoka Usiweze Kutoka. Kumbe Mungu alianza kusema nawewe huku mwanzo hukusikia Karibu Mwalimu Wa Wanandoa Pastor Richard Wa Morogoro.
MAMBO MATATU KWANINI TUSEME VUNJA MAHUSIANO YASIYOELEWEKA.
1: Picha Nzima Ya Mtu Kama Mtawezana ndani ya ndoa hupimwa huku mwanzo je mnasikilizana Je Hamsumbuani Je Mnawasiliana Vizuri Kama Huku mwanzo tu mawasiliano yenu ya manati Hamsikilizani wala hakuna amani na mwezake kila mmoja Mnablock mwezi hamtafutani.
HAYA MAHUSIANO VUNJA SABABU YATAKAPOENDELEA YAKAINGIA KWENYE NDOA YATAKUTESA.
2:Kama Mahusiano Yako Hayaeleweki Maana Yake Kati Yenu Hayupo Tayari Kuingia Kwenye Maisha Ya ndoa Na ukilazimisha Mahusiano Hayo Ujue Ndoa ndani haitakuwa na Amani.
3:Ni Bora Ukavunja Uchumba Kama Hueleweki Kuliko Kuja Kuishi na ndoa itakayokutesa milele eti kisa ulikuwa umri umeenda ukaona uwafurahishe wazazi uolewe.
4: Tambua Usiingie Kwenye Uchumba na Mtu uliyetafutiwa au Kuuganishwa na mtu wewe hukumpenda ukaamua umpende kwa Sababu ya Heshima ya Huyo Mtu.
5: Jinsi Utakavyokuwa Strong Kwenye Uchumba ndivyo utakavyokuwa Imara Kwenye Ndoa.
TAHADHALI;
Uchumba Siyo Ndoa na Hakuna Kifungo Kitakachokutesa Ukivunja Kuliko Agano la ndoa uje uhagaike kulivunja Kiroho Husumbua Sana.
Shirikisha ujumbe huu ukiwa unaswali Uliza inbox
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni