🤲🤲UTARATIBU WA GROUP LETU LA MAOMBI 🤲🤲👇👇👇🤲🤲🤲
ADMIN;
Admin; Ni Mmoja tu Bishop Richard Tz Namba ya WhatsApp ya Admin +255710889892
Hii Namba Bishop Richard Atatumia kuwasiliana nawewe WhatsApp Kwenye inbox Yako na Kwenye Group itapost Masomo, Shuhuda, Ukiona Namba Tofauti na Hii Ujue Matapeli.
EPUKA MATAPELI WATAKAO KUFATA INBOX KWA NAMBA TOFAUTI NA ADMIN BISHOP RICHARD TZ
HATUPOSIT LINK ZAIDI YA MASOMO NA MAOMBI SHUHUDA.
UKIONA LINK ZA MAGROUP AU PROMOTION AU MIKOPO NK UJUE SIYO PASTOR RICHARD.
Nijulishe INBOX Uwapo na changamoto Na Unieleze Mimi Changamoto yako Kupitia Namba Ya WhatsApp +255710889892
1;Tunapenda Kila Mwanagroup Kwa hiari yake Afate UTARATIBU huu ili afunguliwe USILAZIMISHWE UFATE UTARATIBU WA GROUP LETU.
A.)Awe Tayari Kuamka Usiku wa manane Maombi kila siku na Ijumaa afunge na mahitaji anitumie inbox na majina na Sadaka ya Maombi ya kufunga Kama anakuwa hajaelewa anifate inbox.
B)Kila Somo na Audio awe tayari kusoma na kupitia mistari ya Biblia katika somo hilo litakalo Postiwa.
C) Awe Mtoto wa Kiroho wa Madhabahu ya Moto wa Yesu.na Awe tayari kujifunza kujisimamia mwenyewe kwa kufanya mazoezi ya kuomba Kupitia maombi mbalimbali yanayokuwa yanatumwa kwenye Group.
D).Awe Mwaminifu kutuma fungu la Kumi na akituma anipingie Kila Mwezi Hii ndiyo itamjulisha Yeye kuwa ni mtoto wa Madhabahu hii.
KAMA HUNA KAZI UNIPIGIE SIMU SAA.12;00 Jioni
NITAMUOMBEA NA ATAPATA KAZI ATAKUWA AKITOA ZAKA(FUNGU LA KUMI)
Simu +255759861768 Piga ukiwa huna kazi Nitakuombea Amini Utapata Kazi.
Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro(BISHOP RICHARD TZ)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni