Jumapili, 14 Julai 2024

SOMO; MAOMBI YA KUOMBEA CONECTION

SOMO: MAOMBI YA KUOMBEA CONNECTION

  TUNASIMAMIA  Isaya,43;4 Mwanzo;12;13

Naitwa Pastor Richard 
Nipo Morogoro Veta Dakawa 
WhatsApp  Group la Maombi+255759861768

1:Maombi haya Utayaomba muda wako wowote Uliotulia 

2;Kama Utashuhudiwa uyatolee Sadaka basi unatuma Sadaka yako unanipigia lakini sijapewa maelekezo ya wewe utoe Sadaka 
👇👇👇👇👇👇👏👏👏👏👏👏👏
MAMBO YA KUZINGATIA SOMA HIZI AINA MBILI ZA CONECTION 
::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::;::;::::::::::::::
1;AINA YA CONECTION YA KIROHO 

Katika Maisha Yako Elewa Watu Huwa ni Sehemu ya Mabadiliko katika maisha yako ni Sehemu ya Mafanikio Kama Hutakutana Na Connection Watu Waliondaliwa Wawe kiunganishi Kufikia Hitaji lako Liwe la Kiroho Tunaitaji Baba wa Kiroho Awe Conection Na Mungu Tunaitaji Tutoe Zaka Iwe connect katika Maombi Yetu Kama Unaomba Huna Hivi vitu Viwili Madhabahu yako haitakupa matokeo Sababu lazima uwe na mlezi wa kiroho utakayemshirikisha kila kitu halafu ataenda kwa Mungu Akuombee na utakuwa mwaminifu kwa huyo Mchungaji uliyemchangua awe baba yako wa kiroho kutoa zaka huwezi kuiambia Madhabahu usiyoitolea zaka iwe connection ya kushusha majibu yako Jifunze hili. Kama ni mtoto wa kiroho wa Pastor Richard chochote unachokifanya au kujishughulisha nacho kitolee zaka ili Conection iwe inaleta majibu kwako. BABA YAKO WA KIROHO usimuite Pastor au mtumishi au Richard muite Baba.

MAOMBI YA KUOMBEA CONECTION YA KIROHO. 

OMBA HIVI KWA MTIRIRIKO HUU.
======$$$$$=======$$$$$=======
Baba Ninasimama mbele ya kiti chako mimi mwanao Richa Umesema Katika Kutoka ;23:20 Tazama unamtuma malaika aje kwa ajili yangu Aniongoze na Anilee kiroho Anishauri nakuniombea Namuitaji Baba yangu wa Kiroho uliyemwandaa kwa ajili yangu nikutanishe Naye ili Anilee na Kunitangulia katika njia yako Baba Naomba Nipate Amani moyoni mwangu wa kumweleza matatizo yangu naye anipokee nakuyaombea kama hatakuwa Baba yangu wa kiroho nipe ishara ndani yangu ya kukosa Amani nami nikiona hali hii itanijulisha kuwa nimefika kwa Baba yangu au bado nikifika katika madhabahu yangu nifanye niwe mwaminifu wa zaka na kushiriki kila kitu Naomba Baba Yangu Mungu wa majeshi Jemedari wa Vita ukajibu haraka katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia × 3


2:AINA YA CONECTION YA KIMWILI 

Hawa  ni Watu Wanaotakiwa Tukutane nao watupe kazi watuajili Watusapot Wafanye kitu kwa ajili ya maisha Yetu Huwa ni watu muhimu Sana Waje Kwa Muda Muafaka unaotakiwa kwako.



;MAOMBI YA KUOMBEA CONECTION YA KIMWILI 

        OMBA KWA MTIRIRIKO HUU.
================================
Baba Yangu Ninaomba Leo hii Uniinulie Conection Juu ya Maisha Yangu Naitaji nipate kazi lakini Sina Connection Naitaji Nivuke Lakini Sina Conection Naitaji nikamilishe mambo mbalimbali Mimi mwenyewe national Siwezi niinulie watu wakubwa wakubwa wenye vyeo vikubwa maofisini wenye Sauti na Mamlaka Baba Nakusihi Mwanao Richard Sikia Kilio hiki na Ukifanyie Kazi kwa haraka Baba yangu Sawasawa Na Neno la Isaya;43;4 utawatoa watu waje kwa ajili yangu popote walipo huu muda nawaitaji Sana Waje Kwenye Maisha Yangu Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×3


Jifunze Kuwa mara kwa mara ombea Connection Mungu akikupa Itunze na uitumie Vizuri.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni