Mwanzo;4;17 Luka;1;31
Namna ya Kuomba haya Maombi.
Zingatia Yafatayo.
1:Uwe mjamzito
2:Uwe upo katika muda wa kujifungua
3:Utashika Tumbo unapoomba.
4:Utaomba mara Moja Tu na Ukijifungua unatuma Shukurani kwenye madhabahu hii unanipigia Simu.
OMBA MAOMBI HIVI;
=======================
Baba Nafungua njia za uzazi nafungua kondo la uzazi chupa ya uzazi ipasuke mtoto akageuke tayari kutoka nje Kila nguvu inayozuia Uchungu Iachie Katika Jina la Yesu Nawaombea waunguzi wote walioandaliwa kwa ajili ya kunizalisha Bwana uwatawale mawazo yao wakanizalishe Salama nakataa roho ya operation Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia mara 5;
Damu ya Yesu inifunike ifunike kitanda na nguo na vifaa vitakavyo tumika kwa ajili yangu wakati najifungua Katika Jina la Yesu.Amen.
.Rudia mara 1
Mtumie ndugu yako Ambaye Muda umefika wakujifungua.
Kama Hujaungwa Kwenye Group la Maombi na Mafundisho Muombe Pastor Richard Akuunge +255759861768
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni