Jumatatu, 15 Julai 2024

Maswali na Majibu ya Watu

         MCHUMBA WANGU ANATAKA NIMZALIE MTOTO NDIYO ANIOWE...
=====$$$$$==$$$$$$====$$$==≈

 Pastor Richard shaloom
Me naitwa Mary naish mto wa mbu - arusha Nina mtoto mmoja nimezalia nyumban 
Niko na mchumba tumepanga mambo mengi sana lakin Kuna Siku aliniambia anahitaji nimzalie mtoto nikamwambia Mimi sipo tayar Kuzalia nyumban Tena kwa mara ya pili, kama kweli umenipenda na unania ya kuishi na Mimi na kuzaa na Mimi  Fata utaratibu tuoane Kisha tutazaa
Ameninyamazia Leo ni wiki ya 3 hanijibu meseji na anaingia online anaview status anapita nmejikuta nikiumia sana sielew nifanye nn naomba msaada wako pastor Uniongoze na kunishauri..?

MAJIBU YA PASTOR RICHARD 
=============$$$$$$=======
Kwanza Mary Mwanangu nikupongeze kwa ufahamu wako kjitambua wewe ni mwanamke muolewaji siyo mwanamke mchumba wa kuitwa mama baadala ya mke.

Sifa ya Mwanaume muoaji Anatambua Thamani Yako Na Hana Haraka Ya Kuzini nawewe pia Sifa ya Mwanamke Muolewaji Anatambua Thamani yake na Hakimbilii kuzalia nyumbani au kuzini kabla hajaitwa mke wa mtu.

Hii ukiijua inakupa heshima Kubwa Bint na Kutunza thamani yako ambayo uliuza kwa kuzaa na mchumba baadala ya mume huwezi rudia kosa sawasawa ulifanya hivyo wakati wa ujinga sasa unaufahamu.

Tulia na heshimu uhusiano wako na Mungu usiuvunje uhusiano wako na Mungu kwa kuzini kuurundisha itakukost Sana.

Kama Haupo Kwenye Group la Maombi na Mafundisho Muombe Pastor Richard Akuunge +255759861768




SWALI LA LUCY LINAWEZA KUWA MSAADA NA KWAKO..

Pastor Richard Bwana Yesu Apewe Sifa Naitwa Lucy Nipo Tegeta Dar Nabarikiwa Sana Tena Sana na Post zako Status Naomba Unisaindie Nipo Kwenye Mahusiano miaka 4 Lakini Mpaka Sasa hayaeleweki Nataka unionize Tufikie kwenye ndoa Naombaje Niongoze Namna yakuomba Nifikie ndoa..?

MAJIBU NA MUONGOZO WA PASTOR RICHARD 
================================
Ansate Mwanangu

1: Hatua ya Kwanza Uwe na Baba Wa Kiroho (Madhabahu) Kama Unawachungaji wengi miongoni mwao yupo Ambaye hukubariki na unashuhudiwa anaweza kukuongoza hata kama yupo mbali  Sababu unaweza ukawa unasali na kutoa zaka mahari ambapo siyo madhabahu yako.
Soma👉 MWANZO;22;5-19

2;Uwe mwaminifu wa zaka kwa huyo Baba yako wa kiroho utakayemchangua.

3:Mwambie Mungu kila utumapo Zaka Baba Kupitia hii Madhabahu ya....(Mfano;:
Kupitia madhabahu hii ya Moto wa Yesu Ikaongee namimi Mwaka huu niolewe Yasimamie Mahusiano Yangu uyaongoze naitoa zaka yangu katika madhabahu yangu hii ya Moto wa Yesu Ikashughulike Madhabahu ikapigane kupitia Sadaka hii inipe majibu katika Jina La Yesu.Amen 

Kisha Itume Kwa Namba Ambazo huwa natoa za kutuma zaka.

Ipo nguvu unapokuwa unamadhabahu Inayokupigania inatetea haki zako Adui Alizokuimbia.


Ukiwa unaenda Bila Madhabahu Yaani Baba Wa Kiroho huna unawachungaji tu wanakuombea hueleweki madhabahu yako ipi Baba yako ni yupi ni rahisi Mahusiano kuvunjika.

Kama huna Kazi ya Kutoa zaka mpigie huyo Baba wa kiroho akuombee Baraka za kazi au mwambie tu Akisema pokea kazi utapata sababu Baba Kasema.

Kama Unaswali niulize inbox yangu WhatsApp +255759861768

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni