π€²π€²π€²π€²π€²π€²π€²π€²π€²π€²π€²π€²π€²
Ndugu Yangu Katika Ulimwengu Wa roho hauwezi kuutesa mwili au kuufunga mwili original wanachokifanya Adui Zako Wanachukua Nafsi yako na Mwili Wako Wanaleta Mwili Fake Katika Muonekano wa roho lakini Katika Damu na nyama utaona ule ule kumbe siyo.
Mfano: Mtu Anaendeshwa na madeni magonjwa mwilini Pake Hayaishi mapepo hayaishagi Ameombewa Sana Kumbe Sababu Unaombea Fake original Anakuwa yupo kuzimu.
TAFADHALI SOMA KWA UMAKINI MANENO HAYA TAFAKARI.
"1 Timotheo 5:6
Bali, yeye asiyejizuia nafsi yake amekufa ingawa yu hai.
Kumbe Unaweza ukaona Umekufa kumbe upo hai unaona unamagonjwa kumbe originally haumwi.
Yohana 11:14, 39-43
14 Basi hapo Yesu akawaambia waziwazi, Lazaro amekufa.
39 Yesu akasema, Liondoeni jiwe. Martha, dada yake yule aliyefariki, akamwambia, Bwana, ananuka sasa; maana amekuwa maiti siku nne.
40 Yesu akamwambia, Mimi sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu?
41 Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia.
42 Nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia sikuzote; lakini kwa ajili ya mkutano huu wanaohudhuria nalisema haya, ili wapate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma.
43 Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.
HII MISTARI TUNAJIFUNZA KITU YESU ALIVYOMFUFUA LAZARO.
Maombi Ya Bwana Yesu Kuuita Mwili Alitaja mambo matatu.
1;Jina la Aliyekufa
2:Akatumia Neno "NJOO"
3:Uchungu na Kuugua Moyo Kuona Mzingo.
Yesu Aliona Mzingo ndiyo Maana Alimwita kwa Uchungu.
MAOMBI HAYA TUNAVYOPASA KUYAOMBA.
Soma hii mistari ya Ushindi Kabla Hujaomba
.
Zaburi 118:17
Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya Bwana.
"""""::::::"""""......""""""......."""""".......
Zaburi 118:19-20
19 Nifungulieni malango ya haki, Nitaingia na kumshukuru Bwana.
20 Lango hili ni la Bwana, Wenye haki ndio watakaoliingia.
ππππππππ
Zaburi 35:1-6
1 Ee Bwana, utete nao wanaoteta nami, Upigane nao wanaopigana nami.
2 Uishike ngao na kigao, Usimame unisaidie.
3 Uutoe na mkuki uwapinge wanaonifuatia, Uiambie nafsi yangu, Mimi ni wokovu wako.
4 Waaibishwe, wafedheheshwe, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, wafadhaishwe, Wanaonizulia mabaya.
5 Wawe kama makapi mbele ya upepo, Malaika wa Bwana akiwaangusha chini.
6 Njia yao na iwe giza na utelezi, Malaika wa Bwana akiwafuatia.
UTAOMBA HIVI
Ita Mwili original kataa mwili wa magonjwa mateso nk
1●ITA MWILI WAKO ORIGINALLY
Utatamka maneno haya.
Naita Mwili wangu original njooo fake Ondoka kwenye maisha yangu
Mwili wangu hauna magonjwa mwili wangu hauna Vifungo Mwili Wangu Upo huru Nina Afya Nina Amani Ondoka Mwili Fake Kwa Jina La Yesu Mwili wangu usio na madeni mawazo yangu moyo wangu Narundisha kila kitu kilichofake kiondoke katika Jina la Yesu
Rudia mara nyingi zaidi uwezavyo.pia Kila hali ya maisha hiyo ni fake kataa lete original.
.2:●KIRI KUMKATAA FAKE NA MWILI WAKE.
Nakiri kuukataa huu mwili Siyo wangu ninachojua mwili wangu original hauna magonjwa mwili wangu original hauna vifungo Ninautaka mwili huo kwa Jina la Yesu Sitaki Sitaki Sitaki mwili wenu katika Jina la Yesu.Amen.
Nakiri Kwamba hofu hii siyo yangu mawazo haya ya kukubaliana mateso yenu au vifungo siyo mimi nimekataa original ninakataa kuteswa mliponifungia mniachie.
3:●ORIGINALLY AJITAMKIE USHINDI.
Mimi mwili Original Ninatambua Nipo huru na Kila Kifungo chenu roho ya kunifunga nisiolewe au nisiowe nasema nitaowa au kuolewa kila Eneo langu mlilorithisha kuzimu nasema kwamba hamtaweza mimi mwili original
Nina Imani ninavuka nakuvusha wengine Sina hofu wala siongopi Sina magonjwa Sina vifungo
Endelea Kukiri Kukataa Yale Unayapitia Sababu wewe ni Original.
Tembea Tembea ndani kwako
4●FUNGA WALIZI WALIOLINDA MWILI ORIGINALLY ASIJE KWENYE MWILI WAKE.
Natamka Kuanzia Leo mwili Original Hautaondoshwa Tena Umerundi mifupa yangu imerundi mawazo yangu yamerundi Katika Jina la Yesu.Amen
5●MSHUKURU MUNGU
Nyosha mikono Juu Piga makofi Kiri mwili uliofunguliwa usio na vifungo MSHUKURU Mungu Kwa Ajili ya Pastor Richard Kumfunulia haya Maombi Mshukuru Mungu Kwa Ajili Ya Kukutenga Na mwili Fake kuurundisha mwili wako.
Piga makofi ukimtukuza Bwana
HITIMISHO
Haya ni mambo ya rohoni Sana ni ngumu kujua Kama Bila Roho huwezi kujua unaweza kug,ag,ania kuomba Kumbe unashughulika na mwili fake.
Wito
Chochea Kuomba fanya mazoezi ya kuomba mara kwa mara
WhatsApp Pastor Richard +255759861768
Share
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni