Jumamosi, 9 Januari 2021

Misingi unapotaka kuolewa au kuoa

MISINGI MINZURI UNAPOANZISHA MAISHA YA NDOA
Isaya;40;21👉🏿51;12-17;👉🏿54:11
Waebrania:4:3 👉🏿1:4👉🏿10:11👉🏿
Zaburi;11:3👉🏿82;5👉🏿
Ayubu;38;4-6

1;MKE AU MME ANAPATIKANA KWA MAOMBI.
Unapoomba hutakiwi uwe unamtu Akilini mwako ili Kupokea kilichochema.

Hupaswi Uelekeze Asilimia Zako Kwa Mtu Fulani Kwa SIFA Zako Za Kimwili;

2:UNAPOMPATA HATUA YA KWANZA NENDENI KWA MCHUNGAJI

Hapo mkifika mtapewa muongozo wa Kwenda Kwa Wazazi na Hamtakiwi mzini maana mtazoeana na hamtaoana KWA Kuwa Mkono wa Bwana utakuwa Umejitenga nanyi. Mchungaji harusiwi Kutangaza Uchumba au Kumwambia mtu inakuwa Siri Yake mpaka mkileta barua ya mahali Kupokelewa upande wa Bint ya Kukabidhiwa Atatangaza Uchumba halali.

3:MKATOE POSA POSA HUWA SIO MAHALI
Ukienda KUTOA Posa familia au wajomba watakupangia thamani ya kumchukua Bint Yao Kitu Kitakachowadhihirishia Mtoto wao umempenda nikufaulu mtihani huo na mahali huwa sio mpaka Pesa hutengemea na Familia wengine hutoa mtihani Mdongo TU wa wewe KUTUMIA Akili ukifaulu unaoa wegine hutoa Pesa ya Kumnunua nguo maalumu mama Yake wegine kulima hapa hutengemea familia Utaratibu wao.

4:MAHALI UKITOA
Kuna barua mtakayopewa hiyo ndio muipeleke kwa mchungaji kwa ajili ya Kutangaza Uchumba wenu Kwa hiyo Uchumba hukamilika Kwa Kuposwa nakutolewa mahali Bint Anaejirahisha Kuwa na Uchumba Usiotabulika humkosea Mungu na Kijana wakiume ukifanya hivyo UNAKUWA unavunja maana Ya Kijana Aliyeokoka.

5;NDOA
Ndoa hufungwa kulingana na Uwezo wenu usitake Kuifanya sherehe iwe kumbwa nakuingia maisha ya ndoa  na madeni.

6:Maisha ya ndoa
Hutengemea na Uchanguzi au Maamuzi ulioufanya huku kabla ya Kuingia Kama uliaza Kwa Kuzini ndoa Yako haitaisha matatizo na mikosi Kama uliaza Kwa Kutokuzini ndoa Yako itakuwa na Amani

Kama Wewe mkristho je umefata misingi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni