Inawezeka Ulishawahi Kuweka Nadhiri halafu ukajisahulisha hukuiondoa na Sasa Mambo yako unaona yanafunga Kwa Sababu ya Nadhiri Karibu Tuondoe Nadhiri Zetu.
Muhubiri:5:4 Ayubu;22;27 Hesabu.30 1samweli;1:11
Nadhiri ni Kiapo cha Nafsi kati yako na Mungu Kumweleza Akifanya jambo fulani nawewe utafanya.
UTOFAUTI KATI YA AHADI NA NADHIRI.
AHADI Ni Makubaliano ya kufanya Jambo fulani mkimshirikisha Mungu katika makubaliano hayo munaweza kuwa wawili au kundi mmoja wenu akaahidi atafanya jambo.
Ambayo huwa inaenda kuwa kifungo kwake kama hatafanya Soma Sura yote Hesabu:30
NADHIRI Ni Kiapo unachomuapia Mungu Kati ya Nafsi yako na Mungu unaweza kutamka haya maneno Peke Yako Kuwa Mungu Ukinipa mume mwaka huu nikaolewa nitakufanyia hili au ukiniokoa nikaacha hiki nitakutumikia Hicho ni Kiapo ukiacha Kufanya utamfanya Mungu akuadhibu Sana.
JINSI YA KUIONDOA NADHIRI.
Kumbukumbu la Torati 23:21
[21]Utakapoweka nadhiri kwa BWANA, Mungu wako, usiwe mlegevu katika kuiondoa; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, hataacha kuitaka kwako; nayo hivi itakuwa dhambi kwako.
1;Utafanya Kama Ambavyo ulimuwekea nadhiri Mungu. ULICHOKISEMA NDIYO UTAKACHOKITENGUA KWA KUKIFANYA.
Soma 1Samweli;1:11
2.Usichelewe Ukiona Dalili za ulimwambia Ameanza Kulifanya nawewe Tafuta hiyo Nadhiri uiondoe.
Ayubu:22:27 Muhubiri;5:4
3.Utaitowa Kwa Baba Yako wa Kiroho Ambaye mtumishi Mungu Amekupa au Uwasiliane na Pastor Richard akupe maelekezo kama huna Baba wa Kiroho.
Matendo;18;18 Zaburi:61;5
MAMBO YA KUFANYIA KAZI KABLA HUJAIONDOA
1:TAFADHALI KAMA HUJUI KUIONDOA NADHIRI AU HUNIELEWA USIFANYE NIPIGIE SIMU NIKUELEKEZE NA USICHANGANYE AHADI NA NADHIRI.
2:KILA NADHIRI ULIYOIWEKA INAMAELEKEZO YAKE NAMNA YA KUOMBA UNAPOIONDOA UTANIPIGIA UNIELEZE NADHIRI YAKO KISHA NITAKUPA MUONGOZO
3:NADHIRI USIPOIONDOA HUWA KIFUNGO KIBAYA SANA NA HUKUPELEKA KUITWA MWENYE DHAMBI.
4:TAFADHALI NI BORA USIWEKE NADHIRI KULIKO UWEKE UWE MLENGEVU KUIONDOA.
5:NADHIRI HUENDELEA KUDAI HATA KAMA UKIPOTEZEA MUNGU HAPOTEZEI.
6;NITUMIE WHATSAPP UJUMBE KABLA HUJANIPIGIA KWA 0759861768
MAOMBI YA KUOMBA UNAPOIFUTA NADHIRI AMBAYO HAIJATIMIA.
Baba Yangu Uliye mbiguni Ninafuta Kila maneno niliyoyatamka Kupitia kuweka Nadhiri yangu japo hukujibu na hukutenda naelewa Sababu hukutaka iwe kwa majira niliyoyataka mimi Bwana Naabatanisha Sadaka Yangu Hii Kupitia Kufuta hii Nadhiri Naomba ipokee Katika Madhabahu hii ya Moto wa Yesu Katika Jina la Yesu.Amen
Kisha itume Sadaka yako kwa Tigo Pesa +255710889892 Halo Pesa 0628355985
Jina Richard Julius Kushoka
KAMA NA MUNGU AMEJIBU NADHIRI YAKO
Baba yangu Nakushukuru Kujibu Maombi yangu Na Kuitimiza Nadhiri yangu ninaomba Bwana niondoe na ninafanya kama nilivyokuwa Nimeapa ukinifanyia au ukinipa ....Nitafanya hivi(Taja) Naitoa na kuitengua Nadhiri yangu kwenye madhabahu hii ya Holy Spirit church Naomba ipokee ikatende Kwenye madhabahu yako ya Moto wa Yesu Ameni
Utanipigia kabla hujatuma hii sadaka.
HITIMISHO
Mimi ninaona vyema Sana nadhiri yako ukaiondoa kuliko unavyojifanya kama hujawahi kuweka nadhiri na kama hujawahi kuweka sikushauri uweke nadhiri kabisa.
Wito
Wito wangu wote Tujifungue na nadhiri zetu zote tuanze upya na Bwana
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa
Kutoka Kanisa la Holy Spirit church Tanzania
Wapo watu wanateswa na laana ya nadhiri zao hawajawahi kuziondoa. NIULIZE SWALI LA NADHIRI KUONDOA
Share somo hili
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni