Jumapili, 25 Februari 2024

SOMO: OMBEA PESA YAKO UITAWALE

SOMO: MAOMBI YA KUOMBEA PESA UNAYOISHIKA UIFANYIE MALENGO YAKO.
.๐Ÿ‰๐Ÿ‰๐Ÿ‰๐Ÿ‰๐Ÿ‰๐Ÿ‰๐Ÿ‰๐ŸŽ➖➖➖๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ
Fedha huwa inamasikio ya kumsikia Aliyeishika Pia Inayo mamlaka na nguvu ya kumtumikisha na Kumtawala Aliyeishika.

Mfano; Umelenga Mwaka Huu Ukipata ukodi shamba ulime ile hela ukija kuishika inakuambia mkeo Anaumwa na Unapigiwa Simu utaahirisha unaipeleka kwa Mgonjwa.

Pesa Usipokuwa na nguvu ya Kuitawala na Kuiendesha Yenyewe itakuendesha Karibu Katika Maombi haya
Naitwa Pastor Richard 


๐ŸŒณMAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA๐ŸŒณ

1.Unatakiwa uombe uwe na Imani Kama Huna Imani Usiombe.

2.Utaomba Siku Moja Au Roho Mtakatifu Atakavyokushuhudia Uombe Siku ngapi.

3. Utaishika Fedha Yoyote uliyonayo ndiyo iwakilishe uchumi wako .

4.Hiyo Fedha utakayoiombea Iwe Sadaka Utaitoa Kupitia maelekezo chini utakayopewa.

MISTARI TUNAYOSIMAMIA
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ€๐Ÿ€
1 Wakorintho 10:26
[26]maana, Dunia ni mali ya Bwana na vyote viijazavyo. 

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Zaburi 24:1
[1]Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA, 
Dunia na wote wakaao ndani yake. 
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Mwanzo 13:2
[2]Naye Abramu alikuwa ni tajiri sana kwa mifugo, kwa fedha, na kwa dhahabu. 

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Mhubiri 7:12
[12]Kwa maana hekima ni ulinzi, kama vile fedha ilivyo ulinzi; na ubora wa maarifa ni ya kwamba hekima humhifadhi yeye aliye nayo. 


MAOMBI OMBA HIVI.

Shika hiyo Fedha uliyonayo kwa Mkono wa Kulia Ukiwa Na Imani

MAOMBI YA KIMAMLAKA WAOMBE WATU WENYE IMANI TU
๐ŸŒณ๐ŸŒณ๐ŸŒณ๐ŸŒณ๐ŸŒณ๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‡๐Ÿ‡๐Ÿ‡๐Ÿ‡
Itazame Iambie Wewe Fedha Unamasikio Unanisikia Nakuamuru Kuanzia Leo Utanisikiliza Mimi na Kufata ninavyokuamuru Sitaki Uniletee Dharau au ubishi Nikikuita ukimbie uje mkononi mwangu nikikupanga ukae kwenye Halmashauri yangu ya ubongo nikianza kukutumia Utulie nikutumie mimi nilivyopangilia Unanisikia Si Nakusemesha Umesikia Kuanzia Leo Utakuwa chini ya Pastor Richard utatii maelekezo ya Pastor Richard Hutafanya Tena Ulivyozoea Kuniendesha Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×8 Ukiwa umeshika Fedha mkononi.



OMBA HIVI HIYO FEDHA iWE SADAKA KWA BWANA USIENDE KUITUMIA.


Bwana Hii Fedha Nimetoka Kuiombea nakuiamuru nimesimama na (Zaburi 24:1
[1]Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA, )hii ni mali yako na mimi ni mwanao Umeniamuru nje Fedha hii niitawale siyo initawale  naitoa katika madhabahu yako ya mbiguni ipokee kupitia Madhabahu hii Ya Moto wa Yesu ipate Kibali machoni Pako Katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×2


KISHA TOA
M-PESA 0759861768

TIGO PESA 0710889892

HALLO PESA 0628355985

CRDB BANK 0152361572400

JINA; RICHARD JULIUS KUSHOKA 


Shirikisha na wengine waombee Fedha wanayoishika. Wakomboe fedha yao.


Jumatatu, 19 Februari 2024

RATIBA YA ZIARA YA KOMBOA NYUMBA NA ENEO ULIPO

RATIBA YA ZIARA YA PASTOR RICHARD YA KUWAFIKIA WATOTO WA MUNGU MIKOANI KWENYE NYUMBA ZAO  TAR.4/3/2024 
Zoezi linaanza Soma ukiwa naye miongoni mfate inbox Pastor umwambie

๐ŸŒณ๐ŸŒณ๐ŸŒณ๐ŸŒณ๐ŸŒณ๐ŸŒณ๐ŸŒณ๐ŸŒณ๐ŸŒณ๐ŸŒณ๐ŸŒณ๐ŸŒณ๐ŸŒณ๐ŸŒณ๐ŸŒณ
Habari Watoto Wa Mungu 
Nilisema mwaka huu nitawafikia majumbani Kwenu na kuwafungua Kupitia Kuwafundisha na kuwaombea Soma mpaka mwisho ujue ratiba yako ipange sitopenda nifike kwa mtu aliyenitumia nauli awe bize halafu wafunguliwe wengine Nikifika Kwako nitaitaji hizo siku tatu uzitumie vizuri.

Tar.4-3-2024 mpaka Tar. 4-4-2024  Nitakuwa nikiwafikia kila mkoa watoto wa Mungu Nikizunguka mikoani kwa Watoto Wote mlipo popote mpaka nyumbani kwako nyayo hizi zikikanyaga kwako Amini utapokea Kufunguliwa Live.


UTARA TIBU UTAKAVYOKUWA KWA ANAYEFIKIWA NA PASTOR RICHARD 

Kutoka:23:20-23

1.Utagharamia kumsafirisha PASTOR RICHARD  Na Kumrudisha 

2.Atahudumia Siku 3 tu Haitahesabika Siku aliyofikia itaanza kuhesabika siku za masomo Kuanza Kwako 

3.UTARATIBU UTAKAVYOKUWA UKIFIKIWA NA PASTOR RICHARD 

MUDA WA DARASA TUTAKUWA TUKIANZA
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Saa.8:30 Mpaka Saa:6:00 Mchana ni Darasa na mafundisho Utazingatia Muda.

   ๐Ÿ‡MAOMBI NA MAOMBEZI KWA WENYE MATATIZO TUTAANZA SAA.
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 Saa.10:00 Jion mpaka 12:00 Ni Maombi PASTOR RICHARD atawaombea nakuwafungua waliofungwa .

Muda wa Pastor Richard Kukaa ni Siku 3 Siku ya 4 ataenda Kwingine Kwa Kufata Risit za Watoto Wanaofikiwa.


PASTOR RICHARD ATAWAFIKIA WATU WOTE WATAKAO KUWA TAYARI  WAMEKAMILISHA KUTUMA NAULI ZAO NA HAKIKISHA UNAZINGATIA MUDA WA DARASA NA WA MAOMBI NI VYEMA UTOE TAARIFA KWANZA MIMI NITAKUWA NIKIKUJULISHA NIKIKUAMBIA TUMA NAULI UWE TAYARI UJUE NAFATA KWAKO KUKUFIKIA.


WALENGWA 

1.Wanafamilia wote 
2.Rafiki Zako
3.Waliofungwa na nguvu za giza
4.Wenye mahitaji mbalimbali 

UNATAKIWA KWENYE DARASA 

1.Uwe na Biblia na Notbook na Pen

Usikose hivi vitatu ili ufunguliwe kupitia mafundisho.

Kama Hujaelewa Mfate Inbox umuulize



 JIPANGE NAULI NA UNIPE TAARIFA  MAPEMA INBOX YANGU KAMA NAWEWE UNATAKA PASTOR RICHARD AKUFIKIE HAPO KWAKO ULIPO.

Tarehe moja mwisho wa Kupokea Taarifa Ukinieleza Nje ya hizo Tarehe nitakuwa nishafuga Kupokea Taarifa na Nitakao wafikia ni wale watakaonitumia Taarifa na hakikisha upo tayari kufunguliwa.








MAJINA NITAKAOWAFIKIA.

1.Agness Buge๐Ÿ‘‰ Tanga Korongwe

2.Esther๐Ÿ‘‰ Bangamoyo

3.Esther ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘‰Mwanza Ilemela

4.Mary kisesa mwanza

5.Naomi ๐Ÿ‘‰musoma

Jumatatu, 12 Februari 2024

SOMO;MAOMBI YA KUOMBA MKE AU MME KWA WASIOKUWA NA WACHUMBA AU RAFIKI

SOMO;MAOMBI YA KUOMBA MKE AU MME KWA WASIOKUWA NA WACHUMBA AU RAFIKI.(Tutaomba mpaka Tulete Matokeo )
๐Ÿˆ๐Ÿˆ๐Ÿˆ๐Ÿˆ๐Ÿˆ๐Ÿˆ๐Ÿˆ๐ŸŒด๐ŸŒด๐ŸŒด๐ŸŒด๐ŸŒด๐ŸŒด๐ŸŒด๐ŸŒด๐ŸŒด
2024 Mwaka Wa Kusitawi (Mwanzo;26;13)
๐Ÿ‰๐Ÿ‰๐Ÿ‰๐Ÿ‰๐Ÿ‰๐Ÿ‰๐Ÿ‰๐Ÿ‰๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2024 Hatutembei Kinyoge Sisi.

Habari Mwana Wa Mungu Maombi ni watu wanaotaka kuolewa au Kuowa lakini hawana mahusiano wapo Singo Kabisa Haya ndiyo maombi yao kama unamchumba au rafiki lakini urafiki wenu sungu Unatakiwa Simama na maombi ya kucheleweshwa na yakujenga madhabahu ya uchumba yaombe mpaka uone mmetoleana mahali Jifunze Kuwa na Msimamo wa Kuomba mpaka uone Matokeo maombi yako yamekupa majibu.

Naitwa Pastor Richard Ninayekuandikia Maombi haya nakukuongoza kwa msaada wa Roho Mtakatifu nimetoka Maombi ya Asubuhi nasikia Sauti niandikie maombi haya.

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA NA UFAFANUZI WA MAOMBI. 

A.Usiombe ukiwa unaye mtu tayari au hujasoma ukaelewa maelekezo ya uombaji.

B.Utaomba Siku Tatu Siku ya nne utatoa Sadaka yako kwa ajili ya hayo maommbi ya kupata mke au mume Hiyo siku hutaomba utapumzika na Siku ya Tano hutaomba
Siku ya Sita utaendelea mpaka uone matokeo ndiyo utaacha.
Sadaka Yako Isiwe chini Sana au Usijishushe Kama Huna Bora Usitoe Kuliko kutoa 2000 1000 Jiwekee Kiwango cha 5000 nakuendelea Kama upo chini usitoe toa mwili wako Shuhudia watu na kuwaleta kwa Yesu. Usitoe chini ya 5000 chini ya hapo toa mwili wako na muda wako kuvuna watu nakuwauga kwenye group hiyo itakuwa Sadaka bora kwako Sadaka siyo pesa tu hata Chochote kile unaweza kushuhudiwa utoe toa.  TAMBUA SADAKA NDIYO HUKAMILISHA MAOMBI YAKO FANYA KITU KWA BWANA NAYE AFANYE KITU KWAKO HASA UNAPOUTOA MUDA WAKO TU NA MWILI WAKO UKAENDA KUSHUHUDIA NA KUWALETA WATU KWA YESU HII SADAKA NZURI KAMA UPO BIZE TOA SADAKA PESA AU KITU CHOCHOTE. Kama Huwezi Kutoa Kwa Bwana  Basi Maombi Usiombe Subiri maombi yakuomba bila kutoa utaomba.

Hizi siku mbili ya Tatu ikitoa Sadaka yako Hebu Tulia uweponi hata Nusu Saa Na Siku ya Tano Tulia nusu Saa Kwa Muda ule ule uliokuwa ukiomba Mungu Atasema nawe.
1.Atashuhudia Sauti ndani yako itasema nawe isikilize vizuri uje uniambie.

2.Atasema Kupitia Neno unaweza kupewa mstari Wa Biblia mfano.
Yeremia 29:11
[11]Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, 

3.Utaota ndoto au utaona picha ya kitu Baada Ya Maombi haya. 
Utanipigia au utatuma sauti WhatsApp kuniambia

C.Omba Kwa Imani nakufata kile ulichoelekezwa Pia Maombi haya utaomba mpaka uone matokeo hutaacha kama hujaona matokeo. SIKU TATU UTAOMBA BILA KUFUNGA SIKU YA NNE UTATOA SADAKA YAKO NAKUNIPIGIA SIKU YA TANO UNAPUMZIKA SIKU YA SITA UTAENDELEA TENA.

.Soma:
Mathayo 7:7
[7]Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa; 

Imetupasa Tuombe mpaka Tupewe Tutafute mpaka Tukipate Tunachokitafut.

D.Hakikisha Unapoingia Maombi haya ya Kuomba Mke au Mume Umeacha Wizi Wa Fungu la Kumi Unatoa Fungu la Kumi kwa Baba yako wa Kiroho na Umeshachangua Baba Wa Kiroho Mmoja Usiwe na Mababa Wengi Tafuta Baba Unayeona Atakufaa kukulea na kukushauri katika maisha ya kiroho. Huyo ndiye Awe Baba yako na Madhabahu yako.
Lazima upate Baba wa Kiroho Usiishi Bila huyo hata ukipata mchumba ataombea na kukushauri Hakikisha Kama Unafanya Kazi huli Fungu la Kumi Peleka kwake kama yupo mbali litume kwake. Malaki;3;8-9
Kutoka:23:20 


NAMNA TUTAKAVYOOMBA  HAYA MAOMBI. 
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ€๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€
Unapoomba unapoona mume au mke kama wewe unayeomba mwanamke utataja mume mwanaume utataja mke Unauganisha maombi unaendelea utaona sentesi inanyoka kama huwezi fanya tu mazoezi utazoea kuomba 

OMBA HIVI:-

1.Bwana Yesu Nashukuru Kwa Kuniwazia Mema na Kuniwazia mawazo mazuri kama ulivyosema Yeremia:29:11 Kuwa unaniwazia Mazuri unaniwazia mema nataka wazo lako la mimi kunibariki mke wangu au Mume wangu naomba litimize ili niondokane na mawazo mabaya ya kuwaza labda wewe Bwana mimi umeniacha Labda wewe Bwana Hutaki Mimi niolewe Kama njia zangu nimetubu na Nimeamua hata tabia zangu zimebadilika nilikuwa nikweli hata fungu la Kumi Sitoi Nilikuwa Mwizi Kwa Sababu Sikupata mafundisho yaliyonijenga kiroho ninaomba Katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×4

Omba ombi hili ukiwa umesimama umekusanya mikono au Umenyiosha juu



2.Bwana Yesu Mimi Sipendi Niwe Nafanya dhambi ya Kuzini Lakini Mwili wangu unafikia Kipindi naitaji kufanya hivyo mume sina au mke sina naingia kishawishi cha Kuzini nakujifarinji nitatubu Mbona Daudi alizini namimi nitasamehewa mawazo hayo akilini mwangu ndiyo hufanya maamuzi ya mimi kukosa na wewe siyo kwamba Sijasoma Mathayo;5;27 Ulivyosema ninajua umenikataza nisizini Naomba Sasa Nipe Mweza wangu uliyekusundia niolewe naye au nimuowe Muda wangu Bwana umefika mwenyewe nipo tayari kuupokea ubavu wangu Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×3(Omba ukiwa umepiga magoti ombi hili)


3.Nakuita Bwana Kwenye Eneo la mimi Kiowa au kuolewa limekuwa changamoto Sana Imefikia Kipindi watu wananisema mimi na mikosi mara na Vifungo Bwana Bwana Bwana Mimi ni Wako hii Mikosi itoke wapi hizi vifungo vitoke Wapi Tazama nimekuwa nikijitoa kufanya kazi yako nimewahubiria wengi wameokoka kupitia mimi pia mimi ninachoamini nakujua ulishanikomboa ukanihamisha kwenye malaana ya ukoo vifungo vya ukoo Umesema Wokolosai;1;13 Nami nahamisha kila kizuizi Nasema Kwamba roho inayonizuia mimi nisiowe au  nisiolewe Nayiapisha Kwa Jina la Yesu Ondoka Uniachie Kwa Jina La Yesu Niachie Kwa Jina la Yesu Nafyatua Nafyatua Kila Mitengo Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×5 (Tembea tembea nakufanya ishara za kikakamavu kama sauti toa kwa msisitizo)


4.Ndoa Zote Za Kipepo ndoa za majini mahaba yanayofukuza watu sahihi kwangu kupitia hasira zangu nasema vueni Pete zenu ondokeni Nasema Toeni Sura Zenu mimi siyo wa kukataliwa siyo wa kucheleweshwa siyo wa kukalishwa nyumbani najifungua kila Kifungo Katika Jina la Yesu.Amen 

.Rudia×4(Anayetakiwa mwenye tatizo la Jini mahaba  ombi hili omba kwa kumanisha)



5.Naona mke wangu au mume wangu Amejisahau kuwa mimi namsubiri aje Tufunge naye ndoa Sasa huko aliko natembeza fimbo Natembeza Fimbo wewe mke wangu utatembea uje kwangu uje kwangu mimi muda wangu wa kuolewa umeshafika nakutandika fimbo utakuja tu utatembea tu lazima utembee nayaka nikutane nawewe Katika Jina la Yesu.Amen 

Endelea Kuomba Kadiri maneno unavyoona yanakuja ruhusu Roho Mtakatifu akufundishe endelea kuomba tu mpaka kinywa kinyamaze maneno yakutamka taishe

Simamia Hiki Kitabu kwa Hayo maombi utakayoendelea nayo.

Mithali 19:14
[14]Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; 
Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA. 




NAKAZIA Haya maombi omba mpaka Usabambishe Majibu na Matokeo Juu ya Kile Unachokiomba omba Fata ulivyoongozwa ili kufikia majibu yako.


Hata kama ujui Tamka Jifunze  Kutamka maombi haya uliyoandikiwa omba mara kwa mara

.Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni Kanisa la Holy Spirit church Tanzania 
Moto wa Yesu 

MAOMBI YA SIKU 28

MAOMBI YA SIKU  28  UFAFANUZI WAKE

Haya Maombi Yanaenda Kushughulika Na Watoto Wanaopita kwenye mapito na walio hawawezi kuomba Tunatakiwa kuwavusha.

TUNAOMBEA YAFATAYO.

1.Wanangroup Wote Group namba 1 na 2 na nsmba 3 Tunaombea mahitaji Yao.

2 Tunaombea Watoto Wote Wa Pastor Richard Popote walipo

3.Tunawataja Kwa majina na kuyawasulisha kwa Mungu ndugu zetu Na Pastor Richard Tunamuombea

4.Ombea Kanisa la Holy Spirit church Tanzania 

5.Tunaombea VIONGOZI wa Maombi mikoani Mungu Awape Watu zaidi wanaopenda Maombi watakaoshirikiana nao.



MAMBO YA KUZINGATIA 

1 Hutafunga unatakiwa uwe umekula

2.Unatakiwa utembee utembee unapoomba

3.Unatakiwa Tamka Kwa Ujasiri na Uondoe hofu unapoomba

4.Toa Sauti na Maneno Yasikike

5.Hutatoa Sadaka Labda usikie sauti inakuangiza uyatolee Sadaka utatii lakini usiposikia Sauti inakushuhudia usitoe..

6.Tunayaomba Saa kumi kamili mpaka kumi na mbili jioni. Tutaomba Siku 28 Tukijiugamanisha na Upako wa Kanisani



NAMNA YA KUOMBA 

1 Roho Mtakatifu ndiye atakuongoza
Utaona kinywa chako kinafunguka katika kuomba omba.

2.Usikatishe Maombi omba mpaka maneno yaishe.


WANAOFIKA KANISANI  WATATUKUTA TUNAENDELEA NA MAOMBI  HAYA Asubuhi tutapata masomo jioni Tutaingia Maombi Utakaa siku tatu ukija Uje umejipanga hilo 

Mungu atembee na Wote mnaofika kesho.

Ijumaa, 9 Februari 2024

SOMO;MAOMBI YA KUSHUGHULIKIA ROHO YA KUTOFANYIA KAZI UNACHOFUNDISHWA

SOMO; MAOMBI YA KUSHUGHULIKIA ROHO KUCHUKUA NENO UNAPOFUNDISHWA HUFANYII KAZI ..
.
Habari Mwanangu Leo Hii Nataka Nifundishe maombi yakuiba unachofundishwa au Kusahau Sahau ulichofundishwa Na Mchungaji Hii Unaweza Ukaona Kama Hali Ya Kawaida Kuwa unaona maombi au masomo unasoma Juu juu au unasikia Neno unapuuza hii inakuja kukufanya ukose Nguvu ya Kusimama na Mungu nakusitawi kwa kuwa huna mizizi .Kuna matatizo unayapitia Leo Kwa Kuwa Hukutii na Kufata ulivyoongozwa na Kufundishwa Eidha na Baba Yako wa Kiroho.
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni 
Kanisa la Holy Spirit church Tanzania Moto wa Yesu


MISITARI YA KUSIMAMIA. 
=////=======//////=======

Mathayo 13:20-23
[20]Naye aliyepandwa penye miamba, huyo ndiye alisikiaye lile neno, akalipokea mara kwa furaha; 

[21]lakini hana mizizi ndani yake, bali hudumu kwa muda; ikitukia dhiki au udhia kwa ajili ya lile neno, mara huchukizwa. 


[22]Naye aliyepandwa penye miiba, huyo ndiye alisikiaye lile neno; na shughuli za dunia, na udanganyifu wa mali hulisonga lile neno; likawa halizai. 


[23]Naye aliyepandwa penye udongo mzuri, huyo ndiye alisikiaye lile neno, na kuelewa nalo; yeye ndiye azaaye matunda, huyu mia, na huyu sitini, na huyu thelathini. 

DALILI ZINAZOKUJULISHA ADUI ANACHUKUA BARAKA ZAKO ZA NENO.

1.Unakuwa ukisikiliza Neno unaanza kusizia au mawazo nje ya Pale.

2.Unaanza Kusoma Nusu au Kupitia Juujuu Masomo yanayopostiwa.

3.Unaanza Kudharau na Kuona hata peke yako unaweza kujiongoza pasipo kuwa na Baba Wa Kiroho.

4.Unaanza Kuteswa na mapepo magonjwa laana mbali mbali kwa kuwa huhifadhi Neno la Mungu.

5.Unabaki viwango vya chini chini Sana.


MAMBO YA KUZINGATIA HAYA MAOMBI. 

1.Tutaomba Siku 2 Walengwa ni walioibiwa nguvu yakufanyia kazi wanachoelekezwa.

2.Tutaenda mbele za Mungu kwa Machozi Yaani Tutanyenyekea chini ya miguu hutaomba umesimama.

3.Tutakuwa Na Sadaka Yetu Kiasi unachosukumwa utoe Tutaitoa siku ya Pili baada ya Maombi.

4.Tuamue Kubadilika Tupandwe KWENYE UNDOGO MZURI TUWE WATENDEAJI WA NENO LA MUNGU TUKUBALI NENO LITUTENGENEZE NAKUTUBADILISHA KIROHO NA KIMWILI. 

5.WEKA PATANO UTATII NA KUFANYIA KAZI NENO LA MUNGU NA UNAVYOELEKEZWA NA BABA YAKO WA KIROHO ALIYEKUPA MUNGU Akuongoze Kiroho.
Soma Kutoka;23;20


6.Fanya MAZOEZI ya Kujifunza Kuwa Karibu na Mungu nakuomba mara kwa mara ili kinywa chako kizoee kuomba.

7.Maombi haya Omba Kwa Muda wako uliotulia Usifunge omba bila kufunga.

       JINSI YA KUOMBA 
      ================
#Piga magoti kusanya mikono yako au nyosha juu unapoomba

1.Bwana Yesu Nakushukuru Kupitia Somo hili umenikumbusha namna ya mimi ipasavyo kuishi ndani Ya Neno lako ni kweli nimekuwa bize Sana na Dunia na Utafutaji sipati hata muda wa kutafakari Neno lako Naomba Unifundishe Kupangilia Muda Wangu niwe napata muda wa kusoma na Kutafakari ninachofundishwa Katika Jina la Yesu.Amen 


2.Naomba Mungu unipe ufahamu wa kuhifadhi na Kufanyia Kazi Unachonifundisha na kunielekeza Kupitia Baba Yangu Wa Kiroho na Watumishi wote uliokusundia Wanilee Kiroho Katika Jina la Yesu.Amen 


3.Mimi sitapandwa kwenye miiba na wala sitaelemewa na Ubize nikaacha Neno lako Bwana mimi nitalitumia Neno lako wakati wote maana nitalitunza moyoni mwangu Mimi nitakuwa Baraka Kwa Wegine Nuru Kwa Wegine Katika Jina la Yesu.Amen 


4.Tumaini langu niwewe Ruhusu Roho Mtakatifu Aje Anifundishe na Kunielekeza Anisaindie kuelewa vizuri maandiko hata ninachokuwa nakisoma nikielewe Katika Jina la Yesu.Amen. 



5.Hapa endelea Kuomba maneno yanayokuja ndani yako Tamka na Kaza Sauti unapokuwa unaomba Jifunze kutamka hata kama unaona uvivu omba kemea roho zinazokuzuia usiombe.


KISHA SHIKA SADAKA YAKO KAMA UNAYO.

Baba yangu kupitia maombi haya nimekuja mbele zako na hii Sadaka ipokee uyape kibali maombi yangu Bwana Ninakutolea Katika Madhabahu hii Ya Moto Wa Yesu Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×3


TOA KWA

M-PESA +255759861768

TIGO PESA +255710889892

HALO PESA +255628355985
.
Bank CRDB 01523615724000

Western Union/Moneygram/Worldremit 

JINA; RICHARD JULIUS KUSHOKA 
Nchi Tanzania 

Ijumaa, 2 Februari 2024

Link za Magroup WhatsApp

LINK ZA MAGROUP 

1๐Ÿ‘‰Groups Namba 1

Naitwa Pastor Richard Nachukua Nafasi hii kukaribisha katika group la Maombi na Mafundisho 
Kutoka Kanisa la Holy Spirit church Tanzania 
Lipo Morogoro Wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni 
 
       •°UTARATIBU NDANI•°
=====================÷÷÷===
1.Kila Ijumaa Kila Mwanagroup Anafunga maombi masaa 12 au 6 Kama Anashida Somo na utaratibu hutolewa na misitari ya kusoma na Jumanne Group nzima ni siku ya Wamama Wanamaombi  Kukesha wakiliombea Kanisa na Watoto wote wa Pastor Richard. 

2.Siku Zingine Zote ni Za Maombi na Mafundisho ya Maombi na Darasa la Wanandoa na Uchumba Post utaona Kila Post ya Maombi unatakiwa Uombe na Ufate ulivyoelekezwa Kuomba hii ni kila mwanagroup lazima Asimame mwenyewe apende kujifunza kufata Post za maombi nakuyaomba hayo maombi hata kama hana Sadaka. Fanya mazoezi ya kuomba mara kwa mara utakuwa vizuri zaidi kuliko kuleft uchukie Maombi.

2024 Kauli mbiu 

Ni Mwaka Wa Kusitawi 
Mwanzo:26;13
Na Hatutembei Kinyoge Tunatembea Kifalme

Watumie link rafiki zako na ndugu kila unapoona mtu ameleft

Bonyeza hapa๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
https://chat.whatsapp.com/FJj9rcj75YTGeP6ZZMYJTy



2๐Ÿ‘‰Groups Namba 2

NAITWA PASTOR RICHARD NI Askofu na mwanzilishi wa makanisa Ya Holy Spirit church Tanzania( Moto wa Yesu)
Nipo Morogoro Wiliya ya Kilosa Kata Ya mbigiri Kijiji cha mateteni (Dumila)

•°UTARATIBU NDANI•°
=====================÷÷÷===
1.Kila Ijumaa Kila Mwanagroup Anafunga maombi masaa 12 au 6 Kama Anashida Somo na utaratibu hutolewa na misitari ya kusoma na Jumanne Group nzima ni siku ya Wamama Wanamaombi  Kukesha wakiliombea Kanisa na Watoto wote wa Pastor Richard. 

2.Siku Zingine Zote ni Za Maombi na Mafundisho ya Maombi na Darasa la Wanandoa na Uchumba Post utaona Kila Post ya Maombi unatakiwa Uombe na Ufate ulivyoelekezwa Kuomba hii ni kila mwanagroup lazima Asimame mwenyewe apende kujifunza kufata Post za maombi nakuyaomba hayo maombi hata kama hana Sadaka. Fanya mazoezi ya kuomba mara kwa mara utakuwa vizuri zaidi kuliko kuleft uchukie Maombi.

2024 Kauli mbiu 

Ni Mwaka Wa Kusitawi 
Mwanzo:26;13
Na Hatutembei Kinyoge Tunatembea Kifalme

Watumie link rafiki zako na ndugu kila unapoona mtu ameleft

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡Bonyeza hapa๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

https://chat.whatsapp.com/KGQn5aH8CiwKNuGI8NgFgq




3.๐Ÿ‘‰Group namba 3

Naitwa Pastor Richard Ni Askofu na Muasisi wa Makanisa ya Holy Spirit church Tanzania (Moto wa Yesu)
Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni (Dumila)

Nawakaribisha Group namba 3 Ikiwa Group namba 1 na 2 Yamejaa Sasa Tupo namba 3. Ukiingia Add rafiki zako

•°UTARATIBU NDANI•°
=====================÷÷÷===
1.Kila Ijumaa Kila Mwanagroup Anafunga maombi masaa 12 au 6 Kama Anashida Somo na utaratibu hutolewa na misitari ya kusoma na Jumanne Group nzima ni siku ya Wamama Wanamaombi  Kukesha wakiliombea Kanisa na Watoto wote wa Pastor Richard. 

2.Siku Zingine Zote ni Za Maombi na Mafundisho ya Maombi na Darasa la Wanandoa na Uchumba Post utaona Kila Post ya Maombi unatakiwa Uombe na Ufate ulivyoelekezwa Kuomba hii ni kila mwanagroup lazima Asimame mwenyewe apende kujifunza kufata Post za maombi nakuyaomba hayo maombi hata kama hana Sadaka. Fanya mazoezi ya kuomba mara kwa mara utakuwa vizuri zaidi kuliko kuleft uchukie Maombi.

2024 Kauli mbiu 

Ni Mwaka Wa Kusitawi 
Mwanzo:26;13
Na Hatutembei Kinyoge Tunatembea Kifalme

Watumie link rafiki zako na ndugu kila unapoona mtu ameleft


๐Ÿ‘‰๐Ÿพ๐Ÿ‘‰๐ŸพWatumie Link Uwaunge Watu wengine

 Bonya hapa ninaposota ujiuge๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

https://chat.whatsapp.com/L4PQijdjZqQ2P1sYKYYPqe

Alhamisi, 1 Februari 2024

MAJINA YA WALIOFUNGA

MAJINA YA WALIOFUNGA IJUMAA YA LEO Tar  26/04/2024


IJUMAA YA 17 Mwaka 2024 Mwaka Wa Kusitawi na Bwana  

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Hakiki Jina lako kama lipo haya ni majina ya waliofunga  nitakayo yaombea Leo hii Hakikisha umefunga

Hata kama Huna Sadaka hakikisha unafunga na unanitumia mahitaji yako na majina kamili kabla ya Saa.2:30 


Sadaka ya Maombi ya Kufunga huwa hakuna kiwango unatoa hata kama unamia mbili 1000/= Inakubalika lakini jifunze maombi ya kufunga uwe unakuwa na Sadaka Na Usijishushe katika Eneo la Sadaka.(Matendo:10;4)


Zaburi:20:3

Hakikisha ukitoa Sadaka taarifa zako unipe na Sadaka uliyotoa kwenye WhatsApp inbox siyo kawaida ukituma kawaida sitaona sms nyigi ukinijulisha Sadaka yako na Jina utaliona kama huna Sadaka nawewe niambie nimefunga leo sina Sadaka unatuma na maitaji unayoyaombea WhatsApp 

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‘‰HAJATOA SADAKA ✖

๐Ÿ‘‰AMETOA SADAKA ✅



1.Pina David ๐Ÿ‘‰Sh.5000 ✅

2.Agnes Kitundu๐Ÿ‘‰Sh.2000✅

3 Iren Magambo๐Ÿ‘‰sh.2000✅

4.Joseph Venance ๐Ÿ‘‰Sh.2000✅

5 .Furaha Mdegele๐Ÿ‘‰sh.

6.Zawadi Moleli ๐Ÿ‘‰sh.1000✅

7.Anneth Shirima ๐Ÿ‘‰Sh.1500✅

8.Edina Masatu๐Ÿ‘‰Sh.5000✅

9.Victoria Mbwambo๐Ÿ‘‰Sh.

10.Catherine Agustino ๐Ÿ‘‰Sh 

11.Tulibake Kyoma๐Ÿ‘‰Sh.5000✅

12.Rehema Lugano๐Ÿ‘‰Sh.1000✅

13.Merry Lutumo๐Ÿ‘‰Sh.2500✅

14.Christina Daud๐Ÿ‘‰Sh.1000✅

15.Rahel Marko๐Ÿ‘‰Sh.

16.Agness Buge๐Ÿ‘‰Sh.5000✅

17.Anna chilongoza๐Ÿ‘‰Sh.1500✅

18.Happy Lugano๐Ÿ‘‰Sh.3000✅

19.Fatuma Hashim๐Ÿ‘‰Sh.1500✅

20.Noela Rugina๐Ÿ‘‰Sh.2000✅

21.Dafroza Boniface ๐Ÿ‘‰Sh.1000✅

22.Magreth Tairo๐Ÿ‘‰Sh.

23.Rois Kibondi๐Ÿ‘‰Sh.2000✅

24.Veronica Andrea๐Ÿ‘‰Sh2000✅

25.Elizabeth Sunga ๐Ÿ‘‰Sh.1500✅

26.Devotha charles๐Ÿ‘‰Sh.

27.Wema Logani๐Ÿ‘‰Sh.1000✅

28.Chtistina Frank๐Ÿ‘‰Sh.1450✅

29.Antia  Shutulumo๐Ÿ‘‰Sh.

30. NAOMI JOEL๐Ÿ‘‰Sh.2500✅

31.Safina Iddi๐Ÿ‘‰Sh.1500✅

32.Medrick๐Ÿ‘‰Sh.

33.Chrustina Magweiga๐Ÿ‘‰Sh.

34.Dorothea Kasi๐Ÿ‘‰Sh.

35.Heary Handi๐Ÿ‘‰Sh.

44.Vivian Laurence๐Ÿ‘‰Sh.5000✅

45.Eunece Makere๐Ÿ‘‰Sh.2000✅

46.Emiliana Israel๐Ÿ‘‰Sh.1000✅

47.Sophia Stanley ๐Ÿ‘‰✖

48.Evodia ngowo๐Ÿ‘‰sh.1000✅

49.Selina James๐Ÿ‘‰Sh.1000✅

50.Sarah Ernest ๐Ÿ‘‰Sh.3000✅

51 .Samira Nuvye๐Ÿ‘‰Sh.3000✅

.52.Safina Sijui mbwana๐Ÿ‘‰✖

53.Veneranda Nduguru๐Ÿ‘‰sh.

54. Happy mnzava ๐Ÿ‘‰✖

55.Blandina Emanuel ๐Ÿ‘‰Sh.2000✅

56.Patricia๐Ÿ‘‰Sh.5000✅

57.Happness  Nicholas ๐Ÿ‘‰✖

58.Neema Jafet๐Ÿ‘‰✖

59.Presada Ignus๐Ÿ‘‰✖

60.Sofia ๐Ÿ‘‰Sh.1000✅

61.Jesca Jaffa๐Ÿ‘‰Sh.5000✅

62.Sarah Ngonyani๐Ÿ‘‰Sh.2000✅

63.Jossphini Msomi๐Ÿ‘‰Sh.1000✅

64.Evalini mhagama๐Ÿ‘‰Sh.3000✅


➖➖➖➖๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡➖➖➖➖➖➖
65.Monica mafuru๐Ÿ‘‰Sh.1500

66.Happnes Albart๐Ÿ‘‰Sh

67.Agness Buge ๐Ÿ‘‰Sh.5000✅

68.Furaha Kungwa๐Ÿ‘‰✖

69.Merry Kennedy ๐Ÿ‘‰Sh.

70.Happy Balama๐Ÿ‘‰Sh.✖

71.Evanjalista Valerian ๐Ÿ‘‰Sh.2500✅

73.Zawadi Moleli ๐Ÿ‘‰Sh.1000✅

74.Dativa Machalo๐Ÿ‘‰Sh.✖

75.Glory Charles๐Ÿ‘‰✖

76.Christina Kazaula๐Ÿ‘‰Sh.5000✅

77.Zaituni Hamis๐Ÿ‘‰Sh.

78.Florentina Hubert๐Ÿ‘‰Sh.

79.Stephano Niko๐Ÿ‘‰Sh.

80.Blandina Emmanueli ๐Ÿ‘‰Sh.2000✅

81.Agness Mchopa๐Ÿ‘‰Sh.

82 Veneranda Nduguru๐Ÿ‘‰Sh.

83.Rahel Marko๐Ÿ‘‰Sh.

84.Samira Nuvye๐Ÿ‘‰Sh.

85.Anna Anatory๐Ÿ‘‰Sh.
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
MAJINA YA LEO TAR.5-4-2024

86.Monica mfulu๐Ÿ‘‰Sh.2000✅

87.Ragina Nkadi๐Ÿ‘‰✖

88.Agnes Buge๐Ÿ‘‰Sh.5000✅

89.Stevaery Noah๐Ÿ‘‰✖

90.Zawadi Moleli ๐Ÿ‘‰✖

91.Selina Maganza๐Ÿ‘‰Sh.

92.Silivia Dickinson ๐Ÿ‘‰Sh.1000✅

93.Maria maro๐Ÿ‘‰Sh.1000✅

94.Juliana Joseph๐Ÿ‘‰Sh.2000✅

95.Renes Deogratias ๐Ÿ‘‰✖

96.Christina mgweiga๐Ÿ‘‰Sh.2000✅

97.Hossana Mohammed ๐Ÿ‘‰Sh.3000✅

98.Fatuma Ramadhani ๐Ÿ‘‰✖

99.Shamimu Mstafa๐Ÿ‘‰Sh.4000✅

100.Medrist  mpwamina๐Ÿ‘‰✖

101.Glory charles ๐Ÿ‘‰Sh.

102.Renes Deogratias ๐Ÿ‘‰Sh.1000✅
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖⬅️⬅️⬅️⬅️⬅️⬅️⬅️⬅️⬅️⬅️⬅️⬅️⬅️
103.Janet Raymond ๐Ÿ‘‰1500✅

104.Elizabeth Joseph๐Ÿ‘‰✖

105.Editha Senga๐Ÿ‘‰✖

106.Happy Albert ๐Ÿ‘‰Sh.3000✅

107.Neema ngowi๐Ÿ‘‰Sh.2000✅

108.Kisa Matimba๐Ÿ‘‰Sh.2000✅

109.EMANUELA MAPUNDA๐Ÿ‘‰Sh.

110.AYUBU JOHN๐Ÿ‘‰✖

111.Renes Deogratias ๐Ÿ‘‰✖

112.Anna Chilogani๐Ÿ‘‰Sh.1000✅

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖


113.Neema Julius๐Ÿ‘‰2000✅

114.Everada๐Ÿ‘‰ ✖

115.Mery Bunzali๐Ÿ‘‰✅

116.

117.

118.

119.

120.

ENDELEA KUTUMA MAOMBI YAKO NITAYAONA HATA KAMA SITAANDIKA HAPA KWA GROUP KUTOKANA NA MUDA UJUE NITAPATA MWISHI SAA MBILI NA NUSU USIKU





Ukituma Sadaka yako unatuma na mahitaji yako na muamala inbox yangu WhatsApp  mwisho saa mbili na nusu usiku.


Kama ni wakala tuma Jina lako na Jina la wakala na kiasi ulichotuma


Kwa wale ambao huna Sadaka unatuma Jina lako na mahitaji yako mapema kabisa


Namba za Kutoa Sadaka ya Maombi ya Kufunga 


M-PESA 0759861768


Tigo Pesa 0710889892


Halo Pesa 0628355985



Group nzima Kila Ijumaa Tunafunga  na Saa mbili na nusu napanda madhabahuni kuyaombea majina ya waliofunga.

MAOMBI YA ASUBUHI (GLORY)


Somo:MAOMBI YA KUOMBA ASUBUHI

Soma; Angizo la Bwana Yesu Luka:11 Yote
Luka 11:10
[10]Kwa kuwa kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa. 


Tembea na Bwana Katika Uaminifu Kila Siku Ikabidhi mikononi mwa Bwana Siku Yako Nzima.

••••°°°°°°••••••°°°°°•••••••°°••••••°°°°°•••

1:Nashukuru Baba umeachila Ulizi Kwangu Usiku Kucha Endelea Kunilinda Mchana Kutwa Katika Jina la Yesu. AMEN×3


2:Naibariki Siku Yangu Kwa Jina la Baba na La Mwana Na La Roho Mtakatifu Katika Jina la Yesu. AMEEN ×1


3:Nimebarikiwa mimi na familia yangu Yote Katika Jina la Yesu.AMEEN.×1


4:Bwana ni Nuru Yangu Kila Mipango iliyokuwa imefunga itamulikwa katika jina la Yesu. Amen×4


5;Natubu  Kila dhambi niliyokutenda nikaifanya kwa kujua hasa ya Wizi wa Zaka Kanisani Niondolee Dhambi hii maana imenitenga na Baraka Zako Katika Jina la Yesu. AMEN×5(OMBA KWA UNYENYEKEVU WA KUUGULIA MOYONI JUTIA DHAMBI YA WIZI WA ZAKA AU YA KUZINI) 

.

6;Natamani Nishuhudie Ukinitendea Kama Wegine nipe moyo wa kuliishi Neno lako na sheria zako Nisizini tena Nisile zaka tena nisiwe mtu wa kutembea nawewe kwa mazoea ili unitendee kitu au kukutafuta nikiwa nashida tu ukishanijibu nakuacha au kudharau wanaoniongoza kiroho kupuuza wanachonielekeza nitakase mwanao na ile kweli yako sawasawa  na Yohana;8;37 Katika Jina la Yesu. AMEEN. ×5

(Omba kwa kumanisha acha Kuzini nakuiba Zaka maana haisaidii kitu UNAPOFANYA uzinifu na Wizi wa zaka unazuia Shuhuda zako na Baraka zako mwenyewe)


7;Natamani Bwana Nisimame Nawewe lakini mawazo yangu na moyo wangu umenidaganya nikakuacha nikawa mtoto nisiye hai sishiriki ibada au kubadilika natembea kama mfungwa nisaidie mwanao nikurudie wewe na nisimame nawe Katika Jina la Yesu. AMEEN ×4


8;MALANGO YANGU YA UCHUMI YA UZAO YA KAZI YA BIASHARA YAFUNGUKE KATIKA JINA LA YESU.AMEN×3


9;Nakataa roho ya hofu woga na kuahirisha mipango Yangu Katika Jina la Yesu. AMEEN. ×2


10:Nataka Nikae nawe Bwana Siku Zote nisitoke ndani Yako Bwana Katika Jina la Yesu.AMEN.×4


WATAKATIFU WALIOFANYA

MAOMBI YA USIKU WA MANANE NA ALFAJIRI 


1.   YAKOBO-๐Ÿ‘‰Yakobo hatimaye aliitwa Israeli kwa sababu alishindana na Mungu na watu na kuwa mshindi (Mwanzo 32:28). Hata hivyo ushindi wake ulianzia katika maombi ya alfajiri alipokuwa akiomba na kuweka nadhiri zake (Mwanzo 28:18-22).


2.   SAMWELI-๐Ÿ‘‰Samweli aliomba na kumlilia Mungu usiku kucha yaani usiku na alfajiri (1 Samweli 15:10-11).


3.   BWANA YESU๐Ÿ‘‰-Bwana Yesu mara nyingi aliomba usiku kucha yaani usiku na alfajiri (Luka 6:12; Mathayo 4:2; Marko 1:35).


4.   WAZAZI WA SAMWELI๐Ÿ‘‰-Wazazi wa Samweli, waliweza kufanikiwa kumzaa mtoto Samweli aliyekuwa nabii wa kipekee, kutokana na wao kuzingatia maombi ya alfajiri (1 Samweli 1:19). Sisi nasi tukizingatia maombi ya alfajiri au uziku, tutaona mambo makuu katika maisha yetu.


5.   HEZEKIA:๐Ÿ‘‰-Hezekia naye aliomba maombi ya alfajiri (2 Nyakati 29:20). Hezekia aliongezewa maisha alipokuwa katika kufa, na Mungu alimjua kama Hezekia alikuwa mwaminifu kwake kutokana na kujikana na kufanya maombi ya alfajiri. Maombi yake ya alfajiri yalimpa ushindi dhidi ya mkono wa mfalme wa Ashuru (2 Wafalme 20:1-6).


6.   DAUDI:-๐Ÿ‘‰Daudi pia alifanya maombi ya alfajiri (Zaburi 57:8; 119:147). Ushindi mkubwa wa mfalme Daudi ulitokana na kuzingatia maombi ya alfajiri na usiku.


7.   PAULO:-Maombi ya usiku yalimfanya Paulo kutumiwa na Mungu kipekee kuliko mitume wengine. Siri kuu ni maomba ya usiku (2 Timotheo 1:3; 1 Wathesalonike 3:10).



OMBA KiLA SIKU ASUBUHI   HAYANA SADAKA LAKINI HUZUILIWI KUTOA JAPO SIJASIKIA SAUTI IKINIPA MUONGOZO HUO KATIKA MAOMBI  HAYA.

Naitwa Pastor Richard 

WhatsApp +255759861768