Alhamisi, 18 Januari 2024

MAJINA YA VIONGOZI WA VIKUNDI

MAJINA YA VIONGOZI WA VIKUNDI VYA MAOMBI KILA MIKOA-NCHI.


Maombi haya yataanza mwezi wa 2 Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa 2 Kila Kiongozi ataanza  na rafiki yake wawili nakuendelea waliotayari  Kila Ijumaa watakutana Saa 10 jioni mpaka 12 jioni Utaratibu WA Ibada hii ya Maombi Tayari upo. Ukiwa unasikia msukumo Kuomba Pamoja na wezako utengeneze kikundi uwe kiongozi wa eneo hilo Andika 
👇👇👇👇👇👇👇👇
Mfano huu nitumie inbox

Jina kamili;Felix Patrick Mbena

Nchi ulipo;Tanzania 

Mkoa/Wilaya;Morogoro/Kilosa

Eneo /Mtaa /Kijiji Utakapokuwepo;Mateteni

UKIRI;
Nipo tayari kuanzisha kikundi cha maombi na kuomba pamoja na wegine kwa kufata Utaratibu ulivyoelekezwa Yesu niongoze

Naomba viongozi vikundi hivi hurusiwi ulete mafunuo ya maji, chumvi, mafuta Kama ikitokea Roho Mtakatifu amekushuhudia ufanye hivyo utanipigia kwanza unanieleza kisha nitaongea na Baba kudhibitisha ni Roho Wake au hapana.

MSINGI WETU;👇👇
Msingi wetu: Watu Wafundishwe Neno la Mungu na Maombi ili iwasaindie kujisimamia Wao
Mathayo;28;19-20

FUNDISHA WATU NA UWAFANYE WAWE WANAFUNZI WA KRISTO NAO WAKAWAFUNDISHE WEGINE.


MAJINA YA VIONGOZI WALIOTAYARI
👇👇👇
1:JINA; Lafsa Msemwa

Nchi ; Tanzania

Mkoa; Arusha 

Eneo: Usariva 

Simu:0767464057




2:Jina: Kiza Riziki

Nchi: South Africa

Eneo, Cape Town

Simu, 27621022728


3.Jina; Happy Laurent

Nch: Tanzania 

Mkoa: Songwe(Tunduma)

Eneo; chwapwa

Simu;0746048761


4.


5.


6.


7.


8.


9.


10.


Nakaribisha Waliotayari Tuma Taarifa kwa kuandika Jina nchi ulipo mkoa na eneo Kisha ukiri wako nitumie inbox nizidi kuyaombea hayo majina Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa pili tutaanza Kukutana na itakuwa endelevu  

Namna ya kuanza tafuta rafiki zako waliotayari muanze kwa kufata muongozo nilioutoa namna ya kuendesha.

       Imetolewa;
Askofu mkuu Richard Julius Kushoka 

Kanisa la Holy Spirit church Tanzania 

Makao Makuu Morogoro Wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni