Alhamisi, 25 Julai 2024

SOMO; OGOPA MAMBO 5 KWENYE UCHUMBA

🌳DARASA LA UCHUMBA 🌳

SOMO; OGOPA MAMBO 5 KWENYE UCHUMBA.

Katika mahusiano au uchumba ukiona hizi Tabia Kwa Mwezi Wako Ujue Unaenda Kulizwa au Kuumizwa

1:Ogopa mchumba wako Akiwa Hajui Thamani Yako.

Kama mwezako hatambui thamani yako lazima atakutumia kwa tamaa za mwili tu hatakuowa au hutamuowa bora ukiona hii tabia Stop.
.
Soma ; Ayubu;28;13

2;OGOPA MCHUMBA ANAYEKUAMBIA KUZINI KABLA HAJAKUWEKA KUWA MKE AU MME

   πŸ‘‰πŸΎMathayo:5:27πŸ‘πŸΏ

Kama Mkiwa Kwenye uchumba mtu anaanza kukuambia uzini naye au umzalie Kabla Hajakufanya kuwa mkewe au mmewe elewa hapo unaenda kulizwa .

3:OGOPA KUMPENDA MTU ASIYE NA MALENGO YA KUISHI NAWEWE.

Waefeso:5:10

Kama Moyo wako unampenda mtu Ambaye yeye yupo kwako kwa Sababu ya kitu fulani au yeye akawa hana malengo ya kuishi naye wewe unamalengo uishi naye. Utakuwa unataka Kulizwa na Kujuta Ogopa.

4:OGOPA MTU MWENYE WATOTO KILA KONA.

1 Wakorintho 7;32

Kama mchumba wako anawatoto kila mtoto Baba yake kuanzia watoto watatu nakuendelea ukijichanganya unaowa bado hii roho ya kuzini itamtumikisha Ogopa kuwa na Tabia hii.

5:OGOPA MCHUMBA ASIYE NA HOFU YA MUNGU

Kumb.Torati:6:5

Kama Utakuwa na mchumba asiye na hofu na Mungu chochote afanyacho sawa haongopi dhambi.

Hii hatari kwako ni rahisi kufanya dhambi na kukutesa bila hofu.

HITIMISHO

Ni jambo nzuri kuwa na Tafadhali ya haya Tuliojifunza LEO

Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa 

Jumatatu, 15 Julai 2024

Maswali na Majibu ya Watu

         MCHUMBA WANGU ANATAKA NIMZALIE MTOTO NDIYO ANIOWE...
=====$$$$$==$$$$$$====$$$==≈

 Pastor Richard shaloom
Me naitwa Mary naish mto wa mbu - arusha Nina mtoto mmoja nimezalia nyumban 
Niko na mchumba tumepanga mambo mengi sana lakin Kuna Siku aliniambia anahitaji nimzalie mtoto nikamwambia Mimi sipo tayar Kuzalia nyumban Tena kwa mara ya pili, kama kweli umenipenda na unania ya kuishi na Mimi na kuzaa na Mimi  Fata utaratibu tuoane Kisha tutazaa
Ameninyamazia Leo ni wiki ya 3 hanijibu meseji na anaingia online anaview status anapita nmejikuta nikiumia sana sielew nifanye nn naomba msaada wako pastor Uniongoze na kunishauri..?

MAJIBU YA PASTOR RICHARD 
=============$$$$$$=======
Kwanza Mary Mwanangu nikupongeze kwa ufahamu wako kjitambua wewe ni mwanamke muolewaji siyo mwanamke mchumba wa kuitwa mama baadala ya mke.

Sifa ya Mwanaume muoaji Anatambua Thamani Yako Na Hana Haraka Ya Kuzini nawewe pia Sifa ya Mwanamke Muolewaji Anatambua Thamani yake na Hakimbilii kuzalia nyumbani au kuzini kabla hajaitwa mke wa mtu.

Hii ukiijua inakupa heshima Kubwa Bint na Kutunza thamani yako ambayo uliuza kwa kuzaa na mchumba baadala ya mume huwezi rudia kosa sawasawa ulifanya hivyo wakati wa ujinga sasa unaufahamu.

Tulia na heshimu uhusiano wako na Mungu usiuvunje uhusiano wako na Mungu kwa kuzini kuurundisha itakukost Sana.

Kama Haupo Kwenye Group la Maombi na Mafundisho Muombe Pastor Richard Akuunge +255759861768




SWALI LA LUCY LINAWEZA KUWA MSAADA NA KWAKO..

Pastor Richard Bwana Yesu Apewe Sifa Naitwa Lucy Nipo Tegeta Dar Nabarikiwa Sana Tena Sana na Post zako Status Naomba Unisaindie Nipo Kwenye Mahusiano miaka 4 Lakini Mpaka Sasa hayaeleweki Nataka unionize Tufikie kwenye ndoa Naombaje Niongoze Namna yakuomba Nifikie ndoa..?

MAJIBU NA MUONGOZO WA PASTOR RICHARD 
================================
Ansate Mwanangu

1: Hatua ya Kwanza Uwe na Baba Wa Kiroho (Madhabahu) Kama Unawachungaji wengi miongoni mwao yupo Ambaye hukubariki na unashuhudiwa anaweza kukuongoza hata kama yupo mbali  Sababu unaweza ukawa unasali na kutoa zaka mahari ambapo siyo madhabahu yako.
SomaπŸ‘‰ MWANZO;22;5-19

2;Uwe mwaminifu wa zaka kwa huyo Baba yako wa kiroho utakayemchangua.

3:Mwambie Mungu kila utumapo Zaka Baba Kupitia hii Madhabahu ya....(Mfano;:
Kupitia madhabahu hii ya Moto wa Yesu Ikaongee namimi Mwaka huu niolewe Yasimamie Mahusiano Yangu uyaongoze naitoa zaka yangu katika madhabahu yangu hii ya Moto wa Yesu Ikashughulike Madhabahu ikapigane kupitia Sadaka hii inipe majibu katika Jina La Yesu.Amen 

Kisha Itume Kwa Namba Ambazo huwa natoa za kutuma zaka.

Ipo nguvu unapokuwa unamadhabahu Inayokupigania inatetea haki zako Adui Alizokuimbia.


Ukiwa unaenda Bila Madhabahu Yaani Baba Wa Kiroho huna unawachungaji tu wanakuombea hueleweki madhabahu yako ipi Baba yako ni yupi ni rahisi Mahusiano kuvunjika.

Kama huna Kazi ya Kutoa zaka mpigie huyo Baba wa kiroho akuombee Baraka za kazi au mwambie tu Akisema pokea kazi utapata sababu Baba Kasema.

Kama Unaswali niulize inbox yangu WhatsApp +255759861768

Jumapili, 14 Julai 2024

SOMO; MAOMBI YA KUOMBEA CONECTION

SOMO: MAOMBI YA KUOMBEA CONNECTION

  TUNASIMAMIA  Isaya,43;4 Mwanzo;12;13

Naitwa Pastor Richard 
Nipo Morogoro Veta Dakawa 
WhatsApp  Group la Maombi+255759861768

1:Maombi haya Utayaomba muda wako wowote Uliotulia 

2;Kama Utashuhudiwa uyatolee Sadaka basi unatuma Sadaka yako unanipigia lakini sijapewa maelekezo ya wewe utoe Sadaka 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
MAMBO YA KUZINGATIA SOMA HIZI AINA MBILI ZA CONECTION 
::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::;::;::::::::::::::
1;AINA YA CONECTION YA KIROHO 

Katika Maisha Yako Elewa Watu Huwa ni Sehemu ya Mabadiliko katika maisha yako ni Sehemu ya Mafanikio Kama Hutakutana Na Connection Watu Waliondaliwa Wawe kiunganishi Kufikia Hitaji lako Liwe la Kiroho Tunaitaji Baba wa Kiroho Awe Conection Na Mungu Tunaitaji Tutoe Zaka Iwe connect katika Maombi Yetu Kama Unaomba Huna Hivi vitu Viwili Madhabahu yako haitakupa matokeo Sababu lazima uwe na mlezi wa kiroho utakayemshirikisha kila kitu halafu ataenda kwa Mungu Akuombee na utakuwa mwaminifu kwa huyo Mchungaji uliyemchangua awe baba yako wa kiroho kutoa zaka huwezi kuiambia Madhabahu usiyoitolea zaka iwe connection ya kushusha majibu yako Jifunze hili. Kama ni mtoto wa kiroho wa Pastor Richard chochote unachokifanya au kujishughulisha nacho kitolee zaka ili Conection iwe inaleta majibu kwako. BABA YAKO WA KIROHO usimuite Pastor au mtumishi au Richard muite Baba.

MAOMBI YA KUOMBEA CONECTION YA KIROHO. 

OMBA HIVI KWA MTIRIRIKO HUU.
======$$$$$=======$$$$$=======
Baba Ninasimama mbele ya kiti chako mimi mwanao Richa Umesema Katika Kutoka ;23:20 Tazama unamtuma malaika aje kwa ajili yangu Aniongoze na Anilee kiroho Anishauri nakuniombea Namuitaji Baba yangu wa Kiroho uliyemwandaa kwa ajili yangu nikutanishe Naye ili Anilee na Kunitangulia katika njia yako Baba Naomba Nipate Amani moyoni mwangu wa kumweleza matatizo yangu naye anipokee nakuyaombea kama hatakuwa Baba yangu wa kiroho nipe ishara ndani yangu ya kukosa Amani nami nikiona hali hii itanijulisha kuwa nimefika kwa Baba yangu au bado nikifika katika madhabahu yangu nifanye niwe mwaminifu wa zaka na kushiriki kila kitu Naomba Baba Yangu Mungu wa majeshi Jemedari wa Vita ukajibu haraka katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia × 3


2:AINA YA CONECTION YA KIMWILI 

Hawa  ni Watu Wanaotakiwa Tukutane nao watupe kazi watuajili Watusapot Wafanye kitu kwa ajili ya maisha Yetu Huwa ni watu muhimu Sana Waje Kwa Muda Muafaka unaotakiwa kwako.



;MAOMBI YA KUOMBEA CONECTION YA KIMWILI 

        OMBA KWA MTIRIRIKO HUU.
================================
Baba Yangu Ninaomba Leo hii Uniinulie Conection Juu ya Maisha Yangu Naitaji nipate kazi lakini Sina Connection Naitaji Nivuke Lakini Sina Conection Naitaji nikamilishe mambo mbalimbali Mimi mwenyewe national Siwezi niinulie watu wakubwa wakubwa wenye vyeo vikubwa maofisini wenye Sauti na Mamlaka Baba Nakusihi Mwanao Richard Sikia Kilio hiki na Ukifanyie Kazi kwa haraka Baba yangu Sawasawa Na Neno la Isaya;43;4 utawatoa watu waje kwa ajili yangu popote walipo huu muda nawaitaji Sana Waje Kwenye Maisha Yangu Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×3


Jifunze Kuwa mara kwa mara ombea Connection Mungu akikupa Itunze na uitumie Vizuri.


Ijumaa, 12 Julai 2024

MAOMBI YA KUOMBA MAMA ANAYETAZAMIA KUJIFUNGUA

MAOMBI YA  KUOMBA MAMA ANAYEKARIBIA KUJIFUNGUA 

Mwanzo;4;17 Luka;1;31

Namna ya Kuomba haya Maombi.

Zingatia Yafatayo.
1:Uwe mjamzito

2:Uwe upo katika muda wa kujifungua

3:Utashika Tumbo unapoomba.

4:Utaomba mara Moja Tu na Ukijifungua unatuma Shukurani kwenye madhabahu hii unanipigia Simu.


     OMBA MAOMBI HIVI;
=======================

Baba Nafungua njia za uzazi nafungua kondo la uzazi chupa ya uzazi ipasuke mtoto akageuke tayari kutoka nje Kila nguvu inayozuia Uchungu Iachie Katika Jina la Yesu Nawaombea waunguzi wote walioandaliwa kwa ajili ya kunizalisha Bwana uwatawale mawazo yao wakanizalishe Salama nakataa roho ya operation Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia mara 5;


Damu ya Yesu inifunike ifunike kitanda na nguo na vifaa vitakavyo tumika kwa ajili yangu wakati najifungua Katika Jina la Yesu.Amen. 

.Rudia mara 1



Mtumie ndugu yako Ambaye Muda umefika wakujifungua.


Kama Hujaungwa Kwenye Group la Maombi na Mafundisho Muombe Pastor Richard Akuunge +255759861768

Jumatatu, 8 Julai 2024

MAOMBI YA KUFUTA

  NGUVU YA MAOMBI YA KUONDOA 

Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa  Kutoka Kanisa la Holy Spirit  Tanzania 
Kuna Uponyaji Katika Kuondoa Vitu unavyoviona Havikufai Wewe na Siyo kukaa mpaka mwingine Aje Akuondolee mfano mzuri Wewe ukiombewa unaanguka mapepo lazima uondoe hayo mapepo kwa kuacha kukiri huo udhaifu kuwa unaaguka na mapepo

Mfano; Wewe huolewi ukipata wanaume Wanaishia kukundaganya tu Hii hali Kama Wewe Mwenyewe Hutaiondoa Tengemea  Itaendelea hii hali kukutesa Sababu umeishikilia hutaki kuiachia.

Unatakiwa Uache Kujikubali kuwa wewe unamatatizo ya kutokuolewa kubali wewe unaolewa si muda tembea na imani hiyo.

Kwa mfano Umekuwa ukiomba kazi hepati ujue ipo nguvu inayozuia ukiendelea kukubaliana na hiyo hali ukawa unasema mimi sipati kazi kila maombi nikituma  sijibiwi utaendelea kutokuvuka hilo eneo.
===$$$$=====$$$======$$$=====$$$$$
              Mhubiri 11:9-10
[9]Wewe kijana, uufurahie ujana wako, na moyo wako ukuchangamshe siku za ujana wako, ukaziendee njia za moyo wako, na katika maono ya macho yako, lakini ujue wewe ya kwamba kwa ajili ya hayo yote Mungu atakuleta hukumuni. 

[10]Kwa hiyo ondoa majonzi moyoni mwako, nawe uuondoe ubaya mwilini mwako; kwa maana ujana ni ubatili, na utu uzima pia. 
  

ZINGATIA HAYA  UOMBAPO;
====::::::::====:::::::::=====:::::

1;Ondoa Kinywa Kinachokufanya Ukiri Udhaifu. 

2:Weka Kinywa Chenye Kukiri Ushindi na Kujitamkia Baraka mwenyewe 

3:Fata Muongozo na Masomo Kama ninavyokuongoza Vitu vingi utaviondoa kwenye maisha yako.

4;Jikubali wewe ni wa kubarikiwa siyo wa kuteseka na kulia Lia.


TUNAVYOTAKIWA KUOMBA SASA

MSTARI WA KUSIMAMA

Marko:16;3-4


1;Bwana Yesu Naondoa Kila Mzingo wa Mawazo Akilini Mwangu Katika Jina la Yesu.Amen 

2:Bwana Yesu Naondoa Kila Mzingo wa fikira mbaya fikira za kushindwa ndani yangu katika Jina la Yesu.Amen 


3;Baba Katika Jina la Yesu Ninaondoa Kila Namna inayosababisha maisha yangu yawe ya kukwama au kutokuwa na hatua hiyo roho Ichomoke  iniachie katika Jina la Yesu.Amen 


4:Naondoa Hofu ndani yangu Hasira ndani yangu Kuanzia muda huu kwa jina la Yesu.Amen 

5:Naondoa Huzuni na Mawazo moyoni mwangu siyataki katika Jina la Yesu.Amen 

6;Naondoa Usingo ndani yangu Siutaki kabisa katika Jina la Yesu.Amen 

7:Naondoa Ndoto mabaya nazifuta Katika Jina la Yesu.Amen 

8:Naondoa Vizuizi mbele yangu sivitaki Katika Jina la Yesu.Amen 

9:Naondoa Na kufuta Kila Vifungo vya manano katika Jina la Yesu.Amen 

10:Naondoa kila ugumu  na majaribu ninayoyapitia katika Jina la Yesu.Amen 


Omba kwa mfumo huu Ombea kuondoa Vitu mbalimbali vinavyokutesa 

Sababu ukiona hali yeyote unayoipitia ujue katika ulimwengu wa roho umeisaini mwenyewe iendelee kuwa hivyo unavyoiona lazima uondoe Saini zako kila eneo ulilokubali na kuliishi.


Muda wowote haya maombi uombe

Tenga utulivu usafiri nao katika kuomba tu Maombi ya Kuondoa Yanalenga uombe ukiwa unatembea tembea Tamka neno kuondoa 

TusomeπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
            Marko 16:3-4
[3]wakasemezana wao kwa wao, Ni nani atakayetuvingirishia lile jiwe mlangoni pa kaburi? 

[4]Hata walipotazama, waliona ya kuwa lile jiwe limekwisha kuvingirishwa; nalo lilikuwa kubwa mno. 


I

Jumatano, 3 Julai 2024

SOMO;UTOFAUTI WA AGANO LA UZINIFU NA AGANO LA TENDO LA NDOA

SOMO; UTOFAUTI WA AGANO LA UZINIFU NA AGANO LA TENDO LA NDOA NDANI YA MTU.

Mwanzo 4:25
[25]Adamu akamjua mke wake tena; akazaa mwana mwanamume, akamwita jina lake Sethi; maana alisema, Mungu ameniwekea uzao mwingine mahali pa Habili; kwa sababu Kaini alimwua. 

Adam ni Mwanandoa Akiwa Na Eva Mkewe.

Kabla ya Kuowa Adam Alikuwa Akitembea na Agano la Tendo la ndoa hivyo hivyo hata Eva Kabla hajaolewa Alikuwa Akitembea na Agano  la Ndoa 

Tunasoma 
.Mwanzo 2:23
[23]Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume. 


AGANO LA TENDO LA NDOA. 
Huwa linamvuta Mtu Aingie Kwenye ndoa Linamtenga Mbali na Agano la Uzinifu Kwakuwa Tayari  Adam na Eva Walijitunza na hawakuzini Mpaka Mungu alipo wauganisha Pamoja.


Mwanzo 38:24
[24]Ikawa baada ya miezi mitatu Yuda akapewa habari kwamba, Mkweo, Tamari, amefanya uzinifu, naye ana mimba ya haramu. Yuda akasema, Mtoeni ateketezwe. 


Tamari Aliingia Kwenye Akiwa na Agano la Uzinifu lilimtesa Sana ndani ya ndoa

Mtu mwingine mke wa Hosea Aliingia Kwenye Ndoa na Agano la Uzinifu.

Hosea:2

UTOFAUTI  AGANO LA TENDO LA NDOA NA UZINIFU.
========÷÷÷÷÷=====÷÷÷÷


ISHARA ZINAZO KUJULISHA UPO AGANO LA UZINIFU 

1;Kuwa na Hali ya Mwili wako Kutumika Katika Kuzini Mara kwa Mara.

2:Kupata Wachumba Ambao ukiwapata lazima Uzini nao na Ukizini nao Tu Mnaachana.

3.Kupata Wanaume Wenye nia ya Kukuowa Unavunja hali fulani ya nyinyi kugombana Mahusiano yenu yanaishia njiani.

4;Kuwa na nguvu ya kuzalia nyumbani watoto kila mtoto na Baba yake.


5:Kuwa na mvuto wa wanaume kukutamani Kimwili siyo kukutamani wa kuowe.

6:Kuwa na Historia za kuvunja mahusiano yanayoeleweka na kudumu katika mahusiano yasiyoeleweka.




AGANO LA TENDO LA NDOA. 

1:Kuwa na Hali ya Kuchukia Dhambi ya Kuzini na Kuepuka mwenyewe. 

2:Ukifanya dhambi ya Kuzini moyo unakosa Amani na Utalia Sana.

3:Kutokuzaa Kabla ya Kuitwa mke wa mtu.

4;Kuutunza Mwili wako na Kuepusha na Dhambi.

5: Kuwa na Msimamo wa ndoa siyo uchumba. 

6:Kutokukaa Katika Agano la Uzinifu 

Huwezi Kuendeshwa na Dhambi ya Kuzini.


TUFANYE NINI SASA. 

Watu wengi Hutembea na Agano la Uzinifu Bila Wao Kujua Wanapotamani Kuowa au Kuolewa roho zinaanza Kuwazuia ndoa nakutaka kuwapeleka wawe Wanazini Bila hata utaratibu  Watajitaidi kuombewa ila roho ya uzinifu inawavuta tena Ni ngumu kuingia kwenye ndoa.


NAMNA YA KUJIONDOA KWENYE ROHO HII.

1:Kuweka msimamo wa kutokuzini.

2:Kukataa  kuitwa mama kabla ya kuitwa mke wa mtu.

3:Kukataa Kuwa unajirahisisha.


Dhambi ya kuzini huhitaji msimamo tu kwamba sitaki kuzini 


Ansate Sana

Niulize inbox Swali kama Hujaelewa