Jumamosi, 29 Machi 2025

UCHUMBA MASWALI NA MAJIBU

UCHUMBA MASWALI NA MAJIBU 

=======:::::::::=====+++++++====
1:Baba shalom Naitwa Farinda,,, samahani naomba kuuliza ivi nikitaka kufanya maombi nijue mtu sahihi wa kuolewa naye inabidi nifanyaje?

MAJIBU YAKE

Kwanza Futa Akilini Mwako Usiwe na mtu.
Omba mwambie Mungu Naomba umlete mume wangu umri wangu wa kuolewa/Kuowa umefika popote alipo namcharaza fimbo fimbo Aje haraka wiki hili Nionane naye Awe Amenyoka awe Na hofu ya Mungu kama mimi ninavyokupenda Katika Jina la Yesu.Amen 
Simamia Mithali;31:10


2;UCHUMBA MASWALI NA MAJIBU.
==========:::::::::::=======
Bwana Yesu Asifiwe Naitwa Tute Baba Yangu Pole kwakweli mabint unatusaindia mno..
Baba kwe hili swala LA kuomba MTU sahh kwakwel nichangamoto mno   mm wakat fulan nilikutana nakijan flan ambae nimtumishi wa Mungu  hyu kijan  Kna wakat alikuw anatembelea  nyumba hadi nyumba kjua washirik wake cku hyo alinikta nyumbn  wengne walikuw hawapo  wakat pale wanauliza mambo yakuombea nilitaka baadh bt aliniuliza una mchumb elim yako  nakadhalik ukwel nilijiuliza kwann ananiuliza maswal hayo  na hata nilipokuw nakutana naye alikuw ananichangamkia xna na ata wakat mwengne akiniona ananiangalia xna    nikimuangalia anakuw anaangalia then anaangalia pemben  lakn cku ambayo piah nilishangaa  ni cku ambayo tulikuw na ckukuu yavibanda(makambi) Ka ilivyo kwa kila mwaka wasabato yy alikuw anatufundisha somo la uchumba  kwa vijan nilivyokja nilikuw nimechelewa nikakta wapo kwe Yale maombi ya minyoror ingawa bado walikuw hawajaanza kuomba alivyonionat  alini niita yan ww ndo una kja njo hapa  nikaenda  akawa amemuachia MTU mkono nikaingia pale akanishik mkono   hudum ikaendelea  lakn wakat huo wakaw wa nakja wengne akawa anawaambia ingien kwe  mraba   namengne mengi ukwel  nimchungaj ambae niliamin  huenda ndiye mungu alieniandalia ingawa hajanitongoza bado tpo Ka marafiki mana cku zilivyoenda alihamishwa nakupangwa mtaa mwengne  cz pale nikam alikuw filid cz ndo alikuw amehitim chuo ?

swali baba ang iv nnavyoomba kwa ajil ya MTU hyu nakosea ?

 Maan mm naona Ka Kuna vikwanzo flan  shetani anavizuia  Coz ata mwaka Jana alikuja huku moshi kulikuw na maazimisho ya miak hamsin ya dini  na huku  sa walikuja wachungaj mbalimbali nayeye alikuwepo   yan nilishangaa yupo nyum yang wakat anasalimia watu wengne anaojuana nao mm alikuw  ananipga macho  But Kama mchungaj halafu kijana  inakuwa nichangamoto  eti kaja na kunisalimia halafu mbele zawatu wengi alikuja akasimama akaniangalia then akaondoka nihistoria ndefu BUT  ukwel Mungu angeruhusu  hili litokee  nafurahishwa Sana jinsi anavyotumika shambani mwa Bwana.

MAJIBU YA SWALI HILI.
Ansate Sana Kwa Swali Nzuri Na Mabint Wengi Wamekuwa Natabia hii wakimuona kijana au mtu anawaonesha Upendo anawachangamkia au Kuwasalimia kwa bashasha Akili zao na mioyo yao inaanza kuvutiwa taratibu Mwisho Wa Siku Wanaingia Maombi Kumuomba Mungu Awape Mume Lakini Akili zao Zinamtaka yule wa kanisani kwa kuwa humchangamkia nakumsaindia Akija Kuomba ataomba Akiwa Anatengemea Atakuja Kumtongoza ndiyo akutane na Mchungaji Asiye elewa Protoko za Mungu kukupa mume atakuambia huyo ni mumeo kumbe siyo ukimpata wa hivyo huyo unakuwa umejipa kwa Akili Zako.

MADHARA YAKE.
1;Mtazini kabla ya kusudi la ndoa kutimia.

2;Ukiingia ndani ya ndoa  utapitia maumivu na machungu ndani ya ndoa utachukia kwanini uliolewa.


3;Kiuchumi utashuka Mungu huwa habariki palipo na uchungu palipo na maumivu ya moyo palipo na manug'uniko Haya maisha itakuwa sehemu yako.


UFANYE NINI SASA..?

Subiri Mungu akupe hata kama atachelewa atakuja tu Acha Kijana Kuwa na Harakaraka. Unatazama Umri Mungu anajua hilo.

Bora ndoa yenye Furaha milele Kuliko yenye machozi milele.


JIUNGE Kwenye Group la Maombi na Mafundisho upate masomo yakuponye +255710889892
Pastor Richard Wa Morogoro

Jumanne, 25 Machi 2025

NDOTO ZA SHULENI

NDOTO  ZA SHULENI NA MAANA ZAKE.

Karibuni Sana LEO Tuone Ndoto za Kuota Shuleni Na Maana Zake.

Ndoto huwa ni Taarifa Unayojulishwa jambo linalokuja au lilopita au lilopo

Ayubu;33:14-15 

1:Ukiota Upo mazingira ya shule ya msingi na Unifom

👉👉Unajulishwa Umefungwa Usifanikiwe waitajika uombe kukemea hiyo roho.


2:Ukiota Upo shuleni unamwagilia mimea

👉👉Unajulishwa Watu Utakuwa unawafanyia kazi wezako wanafanikiwa kwa ulicho nacho wewe hutafanikiwa.


3;Ukiota Upo Palendi(Mstarini

👉👉Unajulishwa umeuganishwa na roho ya Kusimama katika hatua zako zisisonge mbele uombe uikatae hiyo roho.


4:Ukiota Upo Unacheza na Wanafunzi wezako shuleni

👉👉Unajulishwa Utateseka kwa Kuwa mpuuziaji wa vitu katika maisha yako.


5:Ukiota Upo shuleni Mwalimu anafundisha wewe huna daftari au Kalamu

👉👉 Unajulishwa Huwezi Kuweka Kumbukumbu Ya Vitu unavyoelekezwa au Kushauriwa ndiyo sababu hufanikiwi


6:Ukiota Unalia Upo maeneo ya shuleni

👉👉 Unajulishwa Unauchungu Kwakuwa Mambo hayaendi mbele kama utakavyo


7:Ukiota Upo shuleni mnafanya Mtihani wezako wanakusanya wewe Upo TU 

👉👉Unajulishwa Huwezi kutatua changamoto unazopitia mpaka usaidiwe ndio utavuka kataa hiyo roho.


8: Ukiota Upo Kwenye chumba Cha Mtihani hujagawiwa Karatasi Wezako wamegawiwa

👉👉Unajulishwa Karibuni Utakutana na changamoto kabla haijakukuta Omba Kemea


9:Ukiota Upo Darasani unafundishwa somo la Hisabati

👉👉Unajulishwa Huwezi kufanikiwa Sababu huna malengo wala mikakati.


10:Ukiota Upo Darasani mnapiga Kelele Mwalimu anaingia

👉👉Unajulishwa wewe unamaneno mengi SI mtendaji wa unachokiongea ndiyo maana huendelei. Omba kemea ndoto hiyo.


11:Ukiota Upo Shule ya O,level

 👉👉Unajulishwa Unamwaga wa Kufanikiwa lakini Waitaji mtu mwenye hekima akuongoze kufikia mafanikio yako


12;Ukiota Upo High School mpaka chuo

👉👉Unajulishwa Unamafanikio lakini jishughulishe na kitu Mungu atakibariki.


13: Ukiota Upo unasoma na Wanafunzi wa chuo lakini wewe hujawahi Kufika au Kusoma chuo

👉👉Unajulishwa Mafanikio yako yaitaji ukae na watu waliokuwa kiroho na kielemu utafanikiwa


14: Ukiota Upo shuleni unakula

👉👉Unajulishwa matatizo yako Yanayokutesa uliyapata ukiwa shuleni.


15;Ukiota Upo shuleni lakini maeneo ya chooni au Bafuni Ndoto ikaja hivyo

👉👉Unajulishwa Ulikanyaga Dawa ukiwa shuleni Mungu Akakukinga nazo hazijakuzuru lakini Waitaji uombee kukemea roho hizo.


16:Ukiota Upo Darasani unawafundisha wezako Mwalimu nae amekaa

👉👉Unajulishwa Utafanikiwa Kile ufanyacho Kupitia kuwasaidia watu wegine.


17:Ukiota Upo O,olevo au High school Unafundishwa na Mwalimu Wa chuo

👉👉Unajulishwa Upo unakwama kusonga mbele Kwakuwa unaitajika ukae na mtu aliyekuwa kiroho au aliyefanikiwa Kimwili ndipo utatoka kwenye pito Hilo.


18:Ukiota Upo shuleni umevaa nguo za nyumbani

👉👉Unajulishwa Unapenda Kujifunza na Kutafuta mafanikio lakini Tabia hubadiliki Unapaswa ubadilike Tabia yako Utafanikiwa


19:Ukiota wewe Ni Mwalimu Upo unafundisha shuleni kwako

👉👉Unajulishwa roho ya kutumikishwa hutaendelea kwa Kuwa unatumikishwa kila utakalokufanya. Uombe kemea


20:Ukiota wewe Mwalimu umeitwa na mkuu wako akakufokea

👉👉Unajulishwa utaitwa na mkuu wako atakuonya 


NDOTO ZA SHULENI WALIZOOTA WATU ZA MASHULENI


1:Bwana Yesu asifiwe baba.Naitwa Happy Nipo Njombe Samahani naomba kujua maana ya hii ndoto nimeota usiku wa kuamkia Leo. Nimeota tulikuwa kwenye shule ya msingi niliyosoma tulikuwa Mimi na rafiki yangu, tumeenda kufundisha darasa la kwanza lakini tulipofika darasani tukamkuta mwalimu mwingine anafundisha na zilikuwa zimebaki dakika kumi na Tano tu muda wa mapumziko ufike basi tukawa tunaondoka. Lakini wakati tunaondoka tukapita nyuma ya majengo ya shule tukawa tunaona Kuna uchafu mwingi karibu kila sehemu tuliyopita kulikuwa na kinyesi Cha binadamu. Je hii ndoto Ina maana gani baba?? Inaninyima raha kabisa.


MAANA YAKE

Unajulishwa unarundishwa nyuma kiroho na hatua za maisha yako kupitia kukosa marafiki sahihi.


Tengeneza list ya watu unaoongozana nao Muombe Mungu akupe.

Jumanne, 18 Machi 2025

MALIPO YA KIWANJA CHA LWANDA

Mke wangu alituma Laki kupitia wakala Rama aliendakutoa Laki Moja sh.100000


TAR.18/3/2025 Saa Tatu na Dakika 49
Nimemtumia Lwanda hela ya Kiwanja

CCI5H6QIBB1 Confirmed. TADEOS DAMIAN ABDALA has received Tsh 200000 on 18-MAR-25 21:50:03.007.

Tarehe 10/4/2025

KUMB:1961ef6762c78b0c Muamala umefanikiwa TZS70000 YAS/ZANTEL kwenda TADEOS DAMIAN A 255772271485 Risiti:003-1961ef6762c78b0c 2025-04-10 12:09:50 CRDB SIMBANKING APP


JUMLA LAKI TATU SABINI sh.370000

Jumapili, 9 Machi 2025

Utaratibu Wa Group Letu

🤲🤲UTARATIBU WA GROUP LETU LA MAOMBI 🤲🤲👇👇👇🤲🤲🤲

ADMIN;

Admin; Ni Mmoja tu Bishop Richard Tz Namba ya WhatsApp ya Admin +255710889892

Hii Namba Bishop Richard Atatumia kuwasiliana nawewe WhatsApp Kwenye inbox Yako na Kwenye Group itapost Masomo, Shuhuda, Ukiona Namba Tofauti na Hii Ujue Matapeli.


EPUKA MATAPELI WATAKAO KUFATA INBOX KWA NAMBA TOFAUTI NA ADMIN BISHOP RICHARD TZ


HATUPOSIT LINK ZAIDI YA MASOMO NA MAOMBI SHUHUDA.
UKIONA LINK ZA MAGROUP AU PROMOTION AU MIKOPO NK UJUE SIYO PASTOR RICHARD.


Nijulishe INBOX Uwapo na changamoto Na Unieleze Mimi Changamoto yako Kupitia Namba Ya WhatsApp +255710889892


1;Tunapenda Kila Mwanagroup Kwa hiari yake Afate UTARATIBU huu ili afunguliwe USILAZIMISHWE UFATE UTARATIBU WA GROUP LETU. 


A.)Awe Tayari Kuamka Usiku wa manane Maombi kila siku na Ijumaa afunge na mahitaji anitumie inbox na majina  na Sadaka ya Maombi ya kufunga Kama anakuwa hajaelewa anifate inbox.


B)Kila Somo na Audio awe tayari kusoma na kupitia mistari ya Biblia katika somo hilo litakalo Postiwa.


C) Awe Mtoto wa Kiroho wa Madhabahu ya Moto wa Yesu.na Awe tayari kujifunza kujisimamia mwenyewe kwa kufanya mazoezi ya kuomba Kupitia maombi mbalimbali yanayokuwa yanatumwa kwenye Group.


D).Awe Mwaminifu kutuma fungu la Kumi na akituma anipingie Kila Mwezi Hii ndiyo itamjulisha Yeye kuwa ni mtoto wa Madhabahu hii.


KAMA HUNA KAZI UNIPIGIE SIMU SAA.12;00 Jioni 
NITAMUOMBEA NA ATAPATA KAZI ATAKUWA AKITOA ZAKA(FUNGU LA KUMI)

Simu +255759861768 Piga ukiwa huna kazi Nitakuombea Amini Utapata Kazi.


Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro(BISHOP RICHARD TZ)

Jumatatu, 3 Machi 2025

SOMO: MAOMBI YA KWENDA KINYUME NA UTARATIBU WA MATESO YA SHETANI.

SOMO; MAOMBI YA KWENDA KINYUME NA UTARATIBU WA SHETANI NA MATESO YAKE.

     👉👉👉👉Soma hii mpaka mwisho ipo nguvu unapoenda kinyume na kinachosumbua akili yako kwanza kwanini kikusumbue wewe Mwamba Ni Mbabe wa kiroho(Mathayo;11;12) Soma mstari huo

Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Kanisa la Holy Spirit church Tanzania Moto Wa Yesu
WhatsApp +255710889892

"Nakuletea Hili Somo lipo Kiroho inaitaji utulie unielewe namanisha nini ukinielewa ujue umepona..

PiTIA VITABU HIVI KWANZA 
  WARUMI;10:17 Isaya:3:8-10 Zaburi:34:15-22 ESTHER:Sura ya 4 

UFAFANUZI WA KINA KIROHO USICHOKIJUA.
✍✍✍✍✍✍🍇🍇🍇🍇✍✍✍✍✍
    Huwa ipo hivi ili Adui Yako Atawale nafsi yako akili yako mawazo yako fikira zako Anahakikisha Anaweka Tatizo lile Tatizo haliwezi kukutesa au Kukusumbua Endapo hataliwekea Utaratibu WA Namna litawale ndani yako.

MFANO; AYUBU:Sura ya.1
Utaona Shetani Anampa majibu Ayubu hatua ya pili Anaweka Utaratibu akumbaliane na Hiyo Hali Akaweka Utaratibu wa kujikuna na kutoka Juani maana vilikuwa vinamuwasha Lakini ILI APONE AYUBU ILIMlAZIMU HUO UTARATIBU ASIENDELEE KUITII NA KUUMBALI KWENYE AKILI YAKE MAWAZO YAKE FIKIRA ZAKE.


MFANO 2; SARA MKE WA IBRAHIM; Mwanzo sura ya 21

ALIFUNGWA TUMBO ASIZAE NA SHETANI AKATAKA AISHI HIVYO AJIONE YEYE TASA LAKINI UFAHAMU ULIFUNGUKA PALE IBRAHIMU ALIPOZAA NA MJAKAZI WAKE AKASEMA HIVI MUNGU UMERUHUSU KWELI AKASEMA NAENDA KINYUME NA UTARATIBU HUU WA SHETANI. Akazaa isaka.

👉👉👉✅Mwanzo:21:2●●●
 2 Sara akapata mimba, akamzalia Abrahamu mwana katika uzee wake, majira yale ya Mungu aliomwahidi

Hata wewe Unateseka Kwa Kuwa umekubali kwenye akili yako fikira zako mawazo yako Utaratibu wa SHETANI 

ESTHER ALIENDA KINYUME NA UTARATIBU  Point hapa"NENDA KINYUME " uone kama hutapona au Kufunguliwa. UKISOMA SURA YA 4.

Yaani Ipo hivi Kubali Usikubali Unapofata Utaratibu wa Tatizo lilowekwa ndani

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA HAYA MAOMBI. 

1:Tutaomba Siku 7 Tunafunga Masaa 12 Hakuna Kula Au Kunywa.

2:Tutadiri Na Kwenda Kinyume na Matatizo yetu Yanayotutesa Iwe huzai Iwe ni kiziwi Iwe kichwa kinakuumaga Iwe huolewagi au huowagi "CHOCHOTE KILICHOTESA MAISHA YAKO" 

3;Tutayaomba Mfululizo Siku Saba Kwa Muda huo huo utakaoupanga wewe hakikisha unaweka muda ambao hautaingiliana na Majukumu yako ya utafutaji.

4:Omba Maombi Kwa Hasira na Kwa Mamlaka Shetani Asikuzoee Kukuwekea Utaratibu na mateso yake LAZIMA TUENDE KINYUME NA MADHABAHU ZA MAGONJWA MADHABAHU ZA UKOO MADHABAHU ZA KUDHARAULIKA Nk.

5:SIKU YA MWISHO WA UTAANDAA SADAKA YAKO UTAIOMBEA 

Hivi Utaombea Sadaka Yako.
KUPITIA HAYA MAOMBI UTARATIBU WA SHETANI NA MATESO YAKE MAGONJWA YAKE NA KILA NILICHOOMBA HAITARUDIA KUENDESHWA NA UTARATIBU WA SHETENA KWENYE AKILI YANGU MAWAZO YANGU FIKIRA ZANGU MIMI RICHARD NIPO HURU KUPITIA SADAKA HII IKANENE KWENYE MADHABAHU YANGU YA MOTO WA YESU IPOKEE BWANA UKATENDE NA KULETA UDHIBITISHO KATIKA MWILI KWA JINA LA YESU.AMEN 

KISHA UTATOA KUPITIA 

TIGO PESA +255710889892

M-PESA +255759861768

HALO PESA +255628355985

CRDB BANK;0152361572400

JINA; RICHARD JULIUS KUSHOKA 

Utanipigia Ukituma Hii Sadaka


Nakuambia Ukiyaomba Vyema Haya Maombi unaenda Kupona na Kuvuka changamoto Yako.

MSTARI WA KUSIMAMIA;
👇👇👇👇👇👇👇
ESTHER;4;15-16
15 Kisha Esta alituma jibu hili kwa Mordekai:

 16 “Nenda, kusanya pamoja Wayahudi wote walioko Shushani, nanyi mfunge kwa ajili yangu. Msile wala kunywa kwa siku tatu, usiku na mchana. Mimi na wajakazi wangu tutafunga kama mnavyofanya. Baada ya kufanyika hili, nitakwenda kwa mfalme, hata ingawa ni kinyume cha sheria. Ikiwa ni kuangamia na niangamie.”

OMBA KWA MFUMO HUU.

KAMA CHANGOMO ZA OFSINI AU UTAWALA

UTAKAA KWENYE KITI Yaani Utaomba Umekaa Kwenye Kiti chochote kile Imladi kiwe na Jina Kiti.

UNAONGEA KWA MAMLAKA
Mfano nikupendekezwa upande cheo.

Kila utaratibu Ambao Shetani Umeuweka na Unataka niufate au umekuwa ukinitumikisha niishi kwenye Hali ya Nafasi hapa kazini ambayo siyo yangu sikiliza nakuja KINYUME cha Utaratibu wako Nakuja Kinyume cha Sheria Zako Katika Jina la Yesu.Amen 

Kila Kazi Ambazo nilitakiwa nizipate Utaratibu wako wa kuzuia ninakuambia kuanzia Sasa  Uachie Utaratibu wako wa kuzuia kwangu siutaki katika Jina la Yesu.Amen 

KWA WENYE CHANGAMOTO ZA KIAFYA NA ZINGINE ISIPOKUWA YA UJAUZITO YAANI WANAOTAKA MTOTO WA WATASHIKA TUMBO.
WENGINE TUTATEMBEA TEMBEA

MAGONJWA; Kila Utaratibu wa kuumwa mgogo uti wa mgogo Kuumwa mwili huu utaratibu siyo wa Mungu wangu ni wako shetani kuanzia Sasa magonjwa yako yaondoe mwilini Mwanagu Yaondoe Siutaki utaratibu wako wa kunipa magonjwa magonjwa katika Jina la Yesu.Amen 

KIZIWI: Shika Masikio Semesha masikio yaambie Hivi nyinyi masikio yangu Mungu si aliwaumba mniongoze Kusikia siyo nisisikie Sasa nawaambia Yule aliyewafunga na akaweka Utaratibu nisiwe nasikia huo utaratibu ninauvunja siutaki kabisa katika Jina la Yesu.Amen 

Endelea kuomba maneno yataendelea kuja.

KUOWA/KUOLEWA: Utaratibu wa Kuwa Singo si utaki kuanzia Sasa kila nguvu ya ngiza au utumwa wowote au nguvu za kichawi au Tabia Za Shetani Zinazoweka Utaratibu ndani yangu nisiowe au nisiolewe ninaukataa huo utaratibu namtaka mke wangu namtaka mume wangu katika Jina la Yesu.Amen. 

BIASHARA; Wewe Uliyezuia Wateja Wasije hivi nani kakupa amri uweke utaratibu huu kwangu nasema hebu achia wateja wangu wanted kunipigia simu sitaki utaratibu wa kuzuiliwa wateja uniwekee nasimama kinyume nawewe shetani katika Jina la Yesu.Amen 

Endelea Kuomba Maneno yatakuja lakini omba kwa mtindo wa kuongea na kitu.

Unajua Ni Utaratibu upi shetani ameuweka kwako Simama Kinyume nao.


HITIMISHO 

Tuombe Kwa Uaminifu Kadiri unavyosoma ufahamu wako utanielewa namanisha nini kisha hata kuomba utaomba vizuri Sana.

Kama Utakuwa Unaswali Tafadhali niulize WhatsApp inbox yangu +255710889892 Natumia Tigo Saivi.

"POINT HAPA "NI KWENDA KINYUME NA
UTARATIBU WA SHETANI"
Hii point ukinielewa Esta alitumia Neno hili Kujipatia ushindi nawewe unaweza kutumia Neno hili kujipatia ushindi.

Shirikisha maombi haya na wegine