Kuna vitu vingine ili upone jiachanishe navyo
Katika Maisha ya ulimwengu wa roho huabatana na maisha yetu ya Damu na Nyama Kwa hiyo huwa Tunapitia hali magonjwa madhaifu madeni na Mikosi mbalimbali ambayo ipo kiroho imeshikama nasi au kuabatana nasi.
Mfano: Unaumwa ugonjwa upo ndani ya Damu umeshikamana na Damu yako mfano Unateswa na madeni madeni yapo kwenye nafsi yako yaani kiu ya kukopa imeshikamana nawewe.
KWA UFUPI NATAKA NIMANISHE KWAMBA UNATAKIWA UJIACHANISHE NA KILA HALI INAYOKUTESA;
MISTARI YA KUSIMAMIA
=====================
Ayubu 9:27 Nikisema, Mimi nitasahau kuugua kwangu, Nitaacha kununa uso nikachangamke moyo;
"Maana yake huyu Ayubu alikuwa Akiumwa Akaamua Ajitenge na magonjwa yaliyomtesa.
Wagalatia 1:15 Lakini Mungu, aliyenitenga tangu tumboni mwa mama yangu, akaniita kwa neema yake
Mungu ndiye Mwazilishi wa Kuviachanisha au Kuvitenga Vitu na Vigine. Mfano kama kichanga kinavyotenganishwa na Tumbo la Mama.
Mwanzo 1:4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.,
Maana Yake Mungu alikiachanisha ngiza na Nuru Ikawa nuru pekee yake na ngiza pekee yake kabla ya hapo vilikuwa vimeungana.
MAMBO AMBAYO UNAPASWA UELEWE KATIKA MAOMBI HAYA
1:Zingatia Kujua Nini kinakutesa Kimechukua muda ngani kikusumbua
2:Unapaswa Uwe Na Imani na Uelewe Uwezo Wa Mungu Unayemuomba.
3:Tamka Maneno Najiachanisha Au Kujitenganisha Ni maneno mawili Tu ndiyo Tunayatumia.
4:Fata Pastor Richard Alivyoelekeza
5:Haya Maombi ya Usiku Kuanzia Saa Tano mpaka Saa Tisa Usiku Katikati ya haya masaa.
MFANO WA UOMBAJI.
KUJIACHANISHA NA MAGONJWA
1:Ee Bwana Yesu Najiachanisha na magonjwa mwilini mwangu Najiachanisha kwenye Damu yangu Kwenye mifupa yangu ngozi yangu Naiachanisha na Magonjwa Katika Jina la Yesu.Amen
KUJIACHANISHA NA MADENI
2; Mimi Pastor Richard Nafsi yangu Naiachanisha na Madeni roho na kiu ya kukopa Niitenganisha ndani yangu initoke Kwa Jina la Yesu.AMEN
KUJIACHANISHA NA TUMBO LISiLOZAA.
3.Tumbo langu Naliachanisha na Tumbo lisilozaa Mayai yasiyozaa Homoni na uharibifu wa Tumbo la Adui ndani yangu Tumbo langu linazaa Tumbo langu lieberman watoto wa kike na Wakiume najitenganisha na Vifungo vyao Vyote Walivyofunga Kwenye Tumbo langu Katika Jina la Yesu.Amen
KUJIACHANISHA NA MIKOSI
4;Mikono yangu Naiachanisha na Mikosi roho ya chuma ulete roho ya mahagaiko najitenga nayo najiachanisha nayo kwa Jina la Yesu Ameen
KUJIACHANISHA NA VIFUNGO.
5.Nafsi yangu ufahamu wangu moyo wangu kinywa changu mikono yangu macho yangu Tumbo langu Mwili Wangu Wote Najiachanisha na kila Kifungo kila utumwa ndani yangu unitoke unitoke Katika Jina la Yesu.Amen
HII NIMEKUPA MUONGOZO AMBAVYO UOMBE TAMKA KUJIANISHA NA USINGO JIACHANISHE NA ROHO KUTOKUAJIRIWA.
KAMA UTAKUWA NA SWALI NIULIZE INBOX ILI UOMBE VYEMA NA USIKOSEE KAMA UNASADAKA UNAUNGANISHA KAMA HUNA BASI MAOMBI UTAOMBA KADIRI ROHO MTAKATIFU ANAVYOKUTUMA SIKU GAPI UOMBE.
NAITWA PASTOR RICHARD
WHATSAPP +255759861768
NIPO MOROGORO VETA DAKAWA
KANISA LA HOLY SPIRIT CHURCH TANZANIA